Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Yule jamaa aliwaharibu akili kabisa sasa mmebaki kuwa mandondocha tu, unaambiwa ni mchango wewe unasema ni matunda ya Magufuli!Sio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Vipi makusanyo ya trillion 2 na yenyewe ni sababu ya JPM? Au ndio mnaforce Kila sehemu atajwe JPM mridhike.Sio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Acha kupotosha hiyo ni corporate social responsibility so ni lazima mtoe baadhi ya faida kwa ajili ya community inayowazunguka Ili waone tija ya uwekezaji. Hiyo ni PR sio hongo, acheni kupotosha.Hakuna serikali makini inaweza pokea charity kama hiyo ni kuchochea ukwepaji kodi.
Jenga wewe ivyo viwandaKwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa kuna 'upigaji'mwingi sana.
Nadhani wahusika wameshajua udhaifu wa serikali yao.
Ni afadhali kujenga viwanda hata kama wanafunzi wakisomea chini ya mti, wakimaliza wapate ajira.
Kila fedha kuelekezwa kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa kuna tatizo mahali
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza masomo katika muhula ujao wa masomo
Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo mwezi Juni ni 72000 lakini wale wanaotarajiwa kuanza kidato cha 5 wakiwa ni zaidi ya 192000 hivyo kuwa na ongezeko la wanafunzi zaidi ya 120000
Rais Samia amewaomba watanzania wengine kuunga mkono jitihada za serikali huku akisisitiza kuwa kwa sasa suala la madarasa watakayosoma watoto wa Kitanzania wa kidato cha 5 kwa muhula ujao wa masomo ndilo suala linalomnyima usingizi kwa sasa.
Katika mchango walioutoa Barick utawasilishwa kwa awamu tatu tofauti wakianza na kutoa Dola Milioni 10.
KABUDI AND MAGUFULI WALIUA WATU AND MAY BE YOU BEING ONE OF THEM, THEY WERE KILLERS, TO ME THAT IS RUBBISH AND NASTY MONEY! EVIL MONEY FROM THE HANDS TAINTED WITH BLOOD OF DEAD INNOCENT PEOPLESio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Nani aliesema hongo? Binafsi nilichosema wawe makini hayo mambo yana madhara ya kikodi; au kwenye ukwepaji wake.Acha kupotosha hiyo ni corporate social responsibility so ni lazima mtoe baadhi ya faida kwa ajili ya community inayowazunguka Ili waone tija ya uwekezaji. Hiyo ni PR sio hongo, acheni kupotosha.
JPM alipokea kishika uchumba je ilikua ni hongo?? Maana Ile haikua deni Wala Nini ilikua pesa ya good faith tu ila mlipokea na mkampigia makofi ila akipewa Samia mnatoka povu.
Kwanini wasiibe kwenye transfer pricing ambako sheria sio kali kivile ndio waje waibe kwenye charity ambako inakuja Bado serikalini??Serikali inatakiwa kuwa makini hayo mambo yana mbinu zake kwenye kutengeneza losses na kutafuta tax rebate; hasa kwa nchi kama Tanzania ambapo taasisi nyingi hazifuati IFRS kwenye kuandaa financial statement zao
Upungufu mkubwa kwa vijana wasomi wa Tanzania siku hizi ni habari kama hizi.Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo mwezi Juni ni 72000 lakini wale wanaotarajiwa kuanza kidato cha 5 wakiwa ni zaidi ya 192000 hivyo kuwa na ongezeko la wanafunzi zaidi ya 120000
You are still misleading, hata kama isingeitwa expense ukitoa charity huingizi faida mind you Kodi inakatwa kwenye income au expense inayoingiza faida. Sasa kama ni charity why would u include it in the taxable income? Hata mtu binafsi tu au makanisa pesa ya misaada au kuagiza asset ambayo inatumika kanisani since haiingizi faida u can't tax it per se.donations (local and national) zote ni expenses zina utaratibu tofauti tu wa kuzitoa.
Kuna mjadala mzuri hapa.Nani aliesema hongo? Binafsi nilichosema wawe makini ambayo yana madhara ya kikodi; au kwenye ukwepaji wake.
Ndugu donations (local and national) zote ni expenses zina utaratibu tofauti tu wa kuzitoa.
National donations unazitoa kabla ya kulipa kodi kama una hela ya ku-cover; hakuna deni unalipeleka mbele mwaka unaofuata mpaka linaisha.
Na kwa kanuni za IFRS uwezi kuandika charitable donations zaidi ya ulizotoa, sio ulizoahidi.
Hayo mambo inabidi uwe na uelewa wa corporate tax, unadhani hizo hela wanazotoa kama CSR awazidai baadae; you are not serious.
Nadhani swala ni kukubaliana tu kwamba pande zote mbili zina hoja.Kwanini wasiibe kwenye transfer pricing ambako sheria sio kali kivile ndio waje waibe kwenye charity ambako inakuja Bado serikalini??
Charity inatolewa kabla ya kulipa kodi kwenye net incomeKwanini wasiibe kwenye transfer pricing ambako sheria sio kali kivile ndio waje waibe kwenye charity ambako inakuja Bado serikalini??
Nenda ukampige kofiSio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Why are you overstating hiyo charity yaani inawezekana kweli charity iwe 80% ya Net income?? Hivi USD 30 Million ni 80% ya Net income za Barrick hapa Tanzania?? Si unaona unavyo mislead.Charity inatolewa kabla ya kulipa kodi kwenye net income
Net Income 40
QCD. 30
T.I. 10
Kama kuna losses hapo mziki unachezwa vingine mbeleni kwenye kudadavua kodi.
Ni unnecessary gain kwa serikali, mpaka hiyo hela irudi.
Transfer pricing ndio kitu gani?
Mkuu upo, maoni Yako ni muhimu sana kwenye mjadalaKuna mjadala mzuri hapa.
Nadhani swala ni kukubaliana tu kwamba pande zote mbili zina hoja.
Nina 'project' inayoni-'distract' kwa sasa.Mkuu upo, maoni Yako ni muhimu sana kwenye mjadala
Nani katoa hela Barrick au Twiga ndio implication zilipo.Why are you overstating hiyo charity yaani inawezekana kweli charity iwe 80% ya Net income?? Hivi USD 30 Million ni 80% ya Net income za Barrick hapa Tanzania?? Si unaona unavyo mislead.
Maadam pesa inaenda serikalini hata wakiidai baadae isikae kwenye taxable income shida ikwapi si wameshawasilisha serikalini directly? Au unataka wafanyiwe tax cascading/double taxation??
Kingine transfer pricing ni pale mfano Revenue ni USD 200 Million basi Barrick Tz inanunua "refinery" kutoka Barrick Australia kwa USD 50 Million ilihali market price ni USD 20 Million so hiyo extra 30 Million inakua ndio excess iliyohamishwa Ili tu expenses ziongezeke so Kodi inapungua kwa serikali ya Tanzania.
Why wasitumie transfer pricing eti wajifiche kwenye Charity.