Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Hata aliekuwa boss wake (kwa sasa ni marehemu) kule mwanzo mwanzo alianza kwa speed hivyo kadri siku zilivyokuwa zinaenda mgigo ukawa unpugwa vile vile
 
Mh Rais, Tanroads pindua meza yao, kule kuna ufisadi mkubwa, Engineer Patrick Mfugale achunguzwe, Engineer Marwa aliyekuwa meneja wa tanroads mkoa wa Mwanza na sasa ni RC Njombe achunguzwe.
 
Atakayefanikisha kukamatwa kwa "KIGOGO" atapewa donge nono..
Mimi na walevi wenzangu tutatoa donge nono kwa Atakayefanikisha kukamatwa kwa atayemkamatisha "KIGOGO"
...... KIGOGO apewe uraisi wa twira... Milele na milele hata akivunja katiba atajua mwenyewe...
Maza SSH piga spanaaaaaaaaa
 
Alimuambia Kakoko kesho asiende Kazini kwa Vitasa vya mlango vimeshabadilishwa na asubiri taarifa tu.
Na kweli Mh. Samia kashatoa taarifa ya kumsimamisha kazi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Duuh huko twitter kigogo anazidi kujizolea umaarufu. Ngoja nijiunge twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…