Rais Samia Suluhu ana emotional intelligence, utulivu wa hali ya juu

Wacha nikuambie kitu kuwa huo sio utulivu bali kiburi kwa anao waongoza kiongozi wa umma kwa nafasi yake huwezi kuwa kimya katika ajenda kubwa ya kitaifa bila kuijibia kwa maelezo ya kutosha na ya kueleweka kwa watu wote unao ongoza.

Taifa hili lingekuwa linatumia parliamentary democracy mpaka sasa maza angekuwa amekwisha wajibishwa na bunge haraka sana.

Hii presidential system ndio inampa kiburi ambacho wewe unaiita utulivu kwa sababu nafasi yake ipo safe katika kuwajibishwa ni ngumu sana hilo kutokea.

Maza hana utulivu bali ana kiburi kwa anao waongoza ila hana kiburi kwa walio mpa hayo madaraka( ukiielewa hii sentensi ya mwisho utakuwa umekua kimwili na kiakili usipo ielewa wewe bado dogo)
Punguza jazba!!hayo ni maamuzi yake akiongea Sawa na hata asipo sema ni Sawa pia Mbona hakuna ulazima huo,, wanaosema Kwa sasa ni wengi mnoo nafikiri kaona haina haja na yeye aseme!
 
Mama anafaa sana
2025-2030 anatutosha kutuvusha
MAMA LA MAMA HANA MBAMBAMBAAAAAA[emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Mengine unamsingizia hasa hayo ya kushindwa makesi.

Wapi Watu wanafanya watakavyo Mkuu?
Mnataka Ile ya kila kitu Rais akitolee ufafanuzi kama Hana Wasaidizi wake?
Au unataka Ile ya Rais kudhalilisha Wasaidizi wake hadharani ili aonekane mchapakazi ilhali hafuati sheria kuwawajibisha hao anaowadhalilisha hadharani?

Hutaki kila mmoja abaki kwenye nafasi yake?

Kama ishu ni kusainishana mikataba ya kimangungo, hizi kesi tunazoshindwa sasa hivi Huyo Samia alikuwa Rais?

Simtetei Rais Ila najaribu kuonyesha kuwa kama taifa tunatatizo la kimfumo, kisheria na kimaadili
Kumbe watu tunatofautiana sana katika kupima uongozi wa Rais!

Mimi naona Rais hajakaa kimya hata kidogo katika suala hili la Bandari, anaongea sana, tena kila siku kupitia wapambe wake pamoja na walamba viatu ama machawa.

Kitendo cha kukamatwa watu wanaopinga mkataba mbovu na kupewa kesi za mchongo, Mawaziri kutoka hadharani na kutoa vitisho kwa mambo yanayoruhusiwa kisheria na kikatiba, kina Wasira kuacha shughuli zao na kupanda majukwaani na kuanza kumwaga fitina, Kikwete kupanda mimbari za kidini na kupiga ngebe zake, kauli zote hizo ndiye yeye Samia kaziongea, ni zake na ndiyo msimamo wake huo.

Hakuna mtu anayeweza kukurupuka kutoa mambo kichwani bila ya kuwasiliana na boss wake kwanza, hayupo.

Ninachoweza kumtetea Rais ni kwenye jambo la ubambikiwaji wa kesi za kina Slaa, hilo laweza kuwa limeasisiwa na Ndumbaro pamoja na Wambura kwa minajiri ya kumfurahisha Rais kujionesha kuwa ni wachapa kazi, ndiyo maana kalikemea.

Lingekuwa limetoka kwake, kina Slaa wangelikuwa bado wanasota Ndani

Lakini hata hivyo, kina Ndumbaro hao si wanaamka na kupeana "hi" na Rais kila siku, wanaweza kutoka nje ya mstari wake kweli?

Nilichokuwa nakitegemea sasa Rais afanye conclusion ya jambo hili ambao ndiyo utakuwa ni msimamo wa Serikali.

Hakuna wazo jipya ama ushauri mpya utakaotolewa zaidi ya haya yaliyokwishatolewa na wananchi kamchanganyikeni kwa sasa.

Ujue nini, kuendelea kulikalia kimya jambo hili kwa sifa za ukimya ni sawa na kubet!
 
RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai Watu wenye zero emotional intelligence.

Hana Wenge, Hana pupa wala kupaparika. Hana kihedemswede kurukaruka kama mcheza Rede.

Mwanzoni alipochukua madaraka kidogo wenge lilitaka kumvaa, oooh! Mimi mwanamke, ooh! Blah blah! Sisi Watibeli tukasema enhee! Kuna haribika hapa.
Lakini baadaye kidogo akatuliza wenge.
Nafikiri ulikuwa ugeni wa nafasi aliyopewa.

Oooh! Huyo ni mwanamke, Mwanamke hawezi kuongoza bhana!
Mara ohooo! Huyo sijui mzanzibara anaongozaje watanganyika. Mara oooh! Huyu Mama sijui mumetolea wapi, Kwanza anarimotiwa na rimoti Ipo msoga.
Oooh! Huyo Mama yenu anaikabidhi nchi Kwa wajomba zake sijui Ndugu gani Huko arabuni.
Hapajatulia, oooh! Sijawahi kuona Mama dikteta, huyu ndiye atakuwa amevunja rekodi ya Ulimwengu kuwa Mwanamke wa Kwanza kuwa Dikteta.

Maneno hayo na mengine mengi Mno, mengine kuyasema inaweza kuwa ni aibu, lakini Rais Samia bado anautulivu.

Huwezi kuwa na utulivu ukiwa katika mashinikizo ya aina hiyo kama hauna emotional intelligence. Huwezi!

Tena Kwa nafasi kubwa aliyonayo, ukizingati ni Muafrika kama Sisi na wote tunajua jinsi Sisi waafrika tunavyo-act endapo Watu hasa tunaowamudu wakileta kile tutakachoona ni kushushiwa heshima.
Mbali na Uafrika lakini pia ni Mwanamke, ambayo ni Sifa ya dunia nzima kuwa Wanawake wapo very emotional, na wengi wao ni zero emotional intelligence. Lakini Kwa Samia hiyo iko tofauti.

Tumeona viongozi kadhaa waliopita wakitekenywa kidogo jinsi watakavyo react. Tumeona na kama wewe hukuona basi ni wewe. Lakini hata Huko makazini au majumbani tunajua pale kiongozi anapotekenywa kidogo jinsi atakavyo reacts bila kujali sheria zipo au hazipo.

Ni nadra Sana ukute kiongozi mwenye Utulivu, Hekima na busara katika kuyaendea mambo. Ni ngumu kiongozi hasa Kwa level ya Rais kuchokolewa alafu asitumie mamlaka yake bila kujali ni Kwa Njia halali au haramu.

Sisi Watibeli hatusifii Watu ili tupate sijui vyeo au tutambulike au sijui viongozi watuone wamaana. Hiyo kwetu haipo hivyo Kwa sababu Sisi wenyewe tumezaliwa tunavyeo, tunatambulika na kujitambua. Hatuhitaji sijui favour ya Rais au kiongozi kumpongeza au kumkosoa.

Ndio maana pamoja na kumsifia na kumpongeza Rais Samia Kwa utulivu aliuonyesha lakini bado haifichuli ukweli kuhusu mapungufu ambayo anaweza kuwa nayo.
Kuhusu mkataba WA Bandari ni ufanyiwe marekebisho Kwa manufaa ya Nchi.

Kama Rais Samia angekuwa hana emotional intelligence ingekuwa kivumbi na jasho huko kwenye majukwaa.
Angekuwa kila Siku anapambana kujibu makombora anayotumiwa, kisha naye Atume vijembe. Viongozi wa hivyo tumewaona.
Lakini ninyi semeni, yeye atasikia kama mnasema kweli au laa hiyo haina maana yoyote kwake.

Kuhusu wale wakushtakiwa sijui Kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Hilo Kwa Sisi Watibeli tunaita Wenge au kupaparika. Huko ni kukosa utulivu.

Kiongozi lazima awe na;

1. Akili
Upeo mkubwa wa kupambanua, kuchambua, kutatua changamoto za Watu wake. Maoni.

2. Uwezo wa kudhibiti hisia zake.
Kiongozi hatakiwi kuongozwa na mihemko kama mtoto anayebalehe.
Sikiliza, tulia, tafakari, chukua hatua kama kuna haja.

3. Mtu mwenye uwezo na sio mtu anayejitutumua kuonyesha anauwezo.
Hili ni tatizo Kwa jamii zetu za Afrika.
Yaani Watu uwezo Hawana lakini wanavyojitutumua sasa. Ndio maana dhulma na kutotendeka Kwa Haki kunatawala.

4. Uwezo wa kuwaunganisha Watu.
Unajua kabisa Watu unaowaongoza ni Wengi. Na kila mtu anaupeo na Akili zake. Sasa kutofautiana mawazo ndio unakasirika kama jinga Fulani hivi. Unakasirika nini kama wewe ni Kiongozi Bora kweli. Kiongozi lazima utambue kuwa Watu wanatofautiana na kila mmoja katika tofauti hizo anapaswa kuheshimiwa.
Kuna Watu wapole na wapo wakali, kuna Watu wenye kisirani na watu Watulivu. Kuna wenye Akili na wajinga. Mitazamo ya mafanikio inatofautiana.
Watu hao hawawezi kulingana. Na hata unavyodili nao lazima udili nao Kwa Akili.

Kila mmoja umtumie katika nafasi sahihi. Hata wajinga wanaumuhimu wao katika Dunia. Nafasi zao zipo na zikitumiwa vizuri ni faida Kwa nchi.

Kujua Watu na kujijua mwenye ndio tafsiri ya Hekima na busara Kwa sababu utajua nini chakufanya Kwa usahihi katika Wakati sahihi.

Jambo moja ambalo litanitia mashaka na ninalihofia ni pale Rais Samia ambaye ni Mwanamke awe na utulivu na emotional intelligence ambayo itawashinda viongozi wajao ambao tutakuwa wanaume.

Wanaume kwetu Hii ni challenge. Tumezoea kuona Wanawake ni Watu wa kukurupuka, kufanya vitu Kwa hasira na mihemko lakini Kwa Samia imekuwa tofauti.

Kikawaida ukiona nguvu kubwa inatumika ujue Akili ni ndogo. Na ukiona mtu anaendeshwa na mihemko ujue muda huo Akili haipo. Na ukiona mtu haendeshwi na mihemko ujue Akili yake inafanya kazi vizuri.
Ndio kuna ule msemo usema, usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha(mihemko). Hiyo ndio maana ya uongozi Kwa namna nyingine.

Hongera Rais Samia, lakini bado hoja ya mkataba WA Bandari uitilie maanani. Penye marekebisho Parekebishwe.

Ni Yule Mtibeli. Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Alitukanwa MKENDA akiwa wazir wa viwanda mbele ya Raisi wa Uganda na waheshimiwa kama wate akaambiwa "Nonsense" Hiyo unasemaje

Wakati wa uwasilishaji wa Ripoti ya CAG mwaka 2023 nilisikia neno STUPID. Lilitamkwa na nani?

Wakati wa Mahojiano ya BBC 2022 na Salimu Kikeke alipouliza swala la Katiba Nilisikia anajibu " WEWE NDO WAMEKUTUMA"

Kwa hayo machache tukiacha ya Ndugai. Naomba ufafanuzi
 
Emotional intelligence ya kuuza mali za watanganyika?.

Ukiwa baba wa familia ukaona jambo alafu ukakaa kimya nani atakuja kukujibia?
Naunga mkono

Huu sio Emotional Intelligence bali hana jipya na majibu ya kutosha kaona akae kimya asije kuharibu zaidi.
 
RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai Watu wenye zero emotional intelligence.

Hana Wenge, Hana pupa wala kupaparika. Hana kihedemswede kurukaruka kama mcheza Rede.

Mwanzoni alipochukua madaraka kidogo wenge lilitaka kumvaa, oooh! Mimi mwanamke, ooh! Blah blah! Sisi Watibeli tukasema enhee! Kuna haribika hapa.
Lakini baadaye kidogo akatuliza wenge.
Nafikiri ulikuwa ugeni wa nafasi aliyopewa.

Oooh! Huyo ni mwanamke, Mwanamke hawezi kuongoza bhana!
Mara ohooo! Huyo sijui mzanzibara anaongozaje watanganyika. Mara oooh! Huyu Mama sijui mumetolea wapi, Kwanza anarimotiwa na rimoti Ipo msoga.
Oooh! Huyo Mama yenu anaikabidhi nchi Kwa wajomba zake sijui Ndugu gani Huko arabuni.
Hapajatulia, oooh! Sijawahi kuona Mama dikteta, huyu ndiye atakuwa amevunja rekodi ya Ulimwengu kuwa Mwanamke wa Kwanza kuwa Dikteta.

Maneno hayo na mengine mengi Mno, mengine kuyasema inaweza kuwa ni aibu, lakini Rais Samia bado anautulivu.

Huwezi kuwa na utulivu ukiwa katika mashinikizo ya aina hiyo kama hauna emotional intelligence. Huwezi!

Tena Kwa nafasi kubwa aliyonayo, ukizingati ni Muafrika kama Sisi na wote tunajua jinsi Sisi waafrika tunavyo-act endapo Watu hasa tunaowamudu wakileta kile tutakachoona ni kushushiwa heshima.
Mbali na Uafrika lakini pia ni Mwanamke, ambayo ni Sifa ya dunia nzima kuwa Wanawake wapo very emotional, na wengi wao ni zero emotional intelligence. Lakini Kwa Samia hiyo iko tofauti.

Tumeona viongozi kadhaa waliopita wakitekenywa kidogo jinsi watakavyo react. Tumeona na kama wewe hukuona basi ni wewe. Lakini hata Huko makazini au majumbani tunajua pale kiongozi anapotekenywa kidogo jinsi atakavyo reacts bila kujali sheria zipo au hazipo.

Ni nadra Sana ukute kiongozi mwenye Utulivu, Hekima na busara katika kuyaendea mambo. Ni ngumu kiongozi hasa Kwa level ya Rais kuchokolewa alafu asitumie mamlaka yake bila kujali ni Kwa Njia halali au haramu.

Sisi Watibeli hatusifii Watu ili tupate sijui vyeo au tutambulike au sijui viongozi watuone wamaana. Hiyo kwetu haipo hivyo Kwa sababu Sisi wenyewe tumezaliwa tunavyeo, tunatambulika na kujitambua. Hatuhitaji sijui favour ya Rais au kiongozi kumpongeza au kumkosoa.

Ndio maana pamoja na kumsifia na kumpongeza Rais Samia Kwa utulivu aliuonyesha lakini bado haifichuli ukweli kuhusu mapungufu ambayo anaweza kuwa nayo.
Kuhusu mkataba WA Bandari ni ufanyiwe marekebisho Kwa manufaa ya Nchi.

Kama Rais Samia angekuwa hana emotional intelligence ingekuwa kivumbi na jasho huko kwenye majukwaa.
Angekuwa kila Siku anapambana kujibu makombora anayotumiwa, kisha naye Atume vijembe. Viongozi wa hivyo tumewaona.
Lakini ninyi semeni, yeye atasikia kama mnasema kweli au laa hiyo haina maana yoyote kwake.

Kuhusu wale wakushtakiwa sijui Kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Hilo Kwa Sisi Watibeli tunaita Wenge au kupaparika. Huko ni kukosa utulivu.

Kiongozi lazima awe na;

1. Akili
Upeo mkubwa wa kupambanua, kuchambua, kutatua changamoto za Watu wake. Maoni.

2. Uwezo wa kudhibiti hisia zake.
Kiongozi hatakiwi kuongozwa na mihemko kama mtoto anayebalehe.
Sikiliza, tulia, tafakari, chukua hatua kama kuna haja.

3. Mtu mwenye uwezo na sio mtu anayejitutumua kuonyesha anauwezo.
Hili ni tatizo Kwa jamii zetu za Afrika.
Yaani Watu uwezo Hawana lakini wanavyojitutumua sasa. Ndio maana dhulma na kutotendeka Kwa Haki kunatawala.

4. Uwezo wa kuwaunganisha Watu.
Unajua kabisa Watu unaowaongoza ni Wengi. Na kila mtu anaupeo na Akili zake. Sasa kutofautiana mawazo ndio unakasirika kama jinga Fulani hivi. Unakasirika nini kama wewe ni Kiongozi Bora kweli. Kiongozi lazima utambue kuwa Watu wanatofautiana na kila mmoja katika tofauti hizo anapaswa kuheshimiwa.
Kuna Watu wapole na wapo wakali, kuna Watu wenye kisirani na watu Watulivu. Kuna wenye Akili na wajinga. Mitazamo ya mafanikio inatofautiana.
Watu hao hawawezi kulingana. Na hata unavyodili nao lazima udili nao Kwa Akili.

Kila mmoja umtumie katika nafasi sahihi. Hata wajinga wanaumuhimu wao katika Dunia. Nafasi zao zipo na zikitumiwa vizuri ni faida Kwa nchi.

Kujua Watu na kujijua mwenye ndio tafsiri ya Hekima na busara Kwa sababu utajua nini chakufanya Kwa usahihi katika Wakati sahihi.

Jambo moja ambalo litanitia mashaka na ninalihofia ni pale Rais Samia ambaye ni Mwanamke awe na utulivu na emotional intelligence ambayo itawashinda viongozi wajao ambao tutakuwa wanaume.

Wanaume kwetu Hii ni challenge. Tumezoea kuona Wanawake ni Watu wa kukurupuka, kufanya vitu Kwa hasira na mihemko lakini Kwa Samia imekuwa tofauti.

Kikawaida ukiona nguvu kubwa inatumika ujue Akili ni ndogo. Na ukiona mtu anaendeshwa na mihemko ujue muda huo Akili haipo. Na ukiona mtu haendeshwi na mihemko ujue Akili yake inafanya kazi vizuri.
Ndio kuna ule msemo usema, usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha(mihemko). Hiyo ndio maana ya uongozi Kwa namna nyingine.

Hongera Rais Samia, lakini bado hoja ya mkataba WA Bandari uitilie maanani. Penye marekebisho Parekebishwe.

Ni Yule Mtibeli. Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam

Emotional intelligence - Kajaliwa na Mungu, nampongeza, ana utulivu kushinda wanaume wengi viongozi, kwa mbali namfananisha na utulivu wa Ally Hassan mwinyi, na Mwinyi Rais wa sasa wa znz
 
Kumbe watu tunatofautiana sana katika kupima uongozi wa Rais!

Mimi naona Rais hajakaa kimya hata kidogo katika suala hili la Bandari, anaongea sana, tena kila siku kupitia wapambe wake pamoja na walamba viatu ama machawa.

Kitendo cha kukamatwa watu wanaopinga mkataba mbovu na kupewa kesi za mchongo, Mawaziri kutoka hadharani na kutoa vitisho kwa mambo yanayoruhusiwa kisheria na kikatiba, kina Wasira kuacha shughuli zao na kupanda majukwaani na kuanza kumwaga fitina, Kikwete kupanda mimbari za kidini na kupiga ngebe zake, kauli zote hizo ndiye yeye Samia kaziongea, ni zake na ndiyo msimamo wake huo.

Hakuna mtu anayeweza kukurupuka kutoa mambo kichwani bila ya kuwasiliana na boss wake kwanza, hayupo.

Ninachoweza kumtetea Rais ni kwenye jambo la ubambikiwaji wa kesi za kina Slaa, hilo laweza kuwa limeasisiwa na Ndumbaro na Wambura kwa minajiri ya kumfurahisha Rais kujionesha kuwa ni wachapa kazi, ndiyo maana kalikemea.

Lingekuwa limetoka kwake, kina Slaa wangelikuwa bado wanasota Ndani

Lakini hata hivyo, kina Ndumbaro hao si wanaamka na kupeana "hi" na Rais kila siku, wanaweza kutoka nje ya mstari wake kweli?

Nilichokuwa nakitegemea sasa Rais afanye conclusion ya jambo hili ambao ndiyo utakuwa ni msimamo wa Serikali.

Hakuna wazo jipya ama ushauri mpya utakaotolewa zaidi ya haya yaliyokwishatolewa na wananchi kamchanganyikeni kwa sasa.

Ujue nini, kuendelea kulikalia kimya jambo hili kwa sifa za ukimya ni sawa na kubet!
Uzi ufungwe. Yaani watu wanapewa kesi za UHAINI mtu anasema Rais ana emotional intelligence hahahahhah. Hajui kelele za wapambe wake ndio za Rais mwenyewe?Mpaka JK katoka hadharani hawajui haya ni maagizo yake mwenyewe Samia?
 
RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai Watu wenye zero emotional intelligence.

Hana Wenge, Hana pupa wala kupaparika. Hana kihedemswede kurukaruka kama mcheza Rede.

Mwanzoni alipochukua madaraka kidogo wenge lilitaka kumvaa, oooh! Mimi mwanamke, ooh! Blah blah! Sisi Watibeli tukasema enhee! Kuna haribika hapa.
Lakini baadaye kidogo akatuliza wenge.
Nafikiri ulikuwa ugeni wa nafasi aliyopewa.

Oooh! Huyo ni mwanamke, Mwanamke hawezi kuongoza bhana!
Mara ohooo! Huyo sijui mzanzibara anaongozaje watanganyika. Mara oooh! Huyu Mama sijui mumetolea wapi, Kwanza anarimotiwa na rimoti Ipo msoga.
Oooh! Huyo Mama yenu anaikabidhi nchi Kwa wajomba zake sijui Ndugu gani Huko arabuni.
Hapajatulia, oooh! Sijawahi kuona Mama dikteta, huyu ndiye atakuwa amevunja rekodi ya Ulimwengu kuwa Mwanamke wa Kwanza kuwa Dikteta.

Maneno hayo na mengine mengi Mno, mengine kuyasema inaweza kuwa ni aibu, lakini Rais Samia bado anautulivu.

Huwezi kuwa na utulivu ukiwa katika mashinikizo ya aina hiyo kama hauna emotional intelligence. Huwezi!

Tena Kwa nafasi kubwa aliyonayo, ukizingati ni Muafrika kama Sisi na wote tunajua jinsi Sisi waafrika tunavyo-act endapo Watu hasa tunaowamudu wakileta kile tutakachoona ni kushushiwa heshima.
Mbali na Uafrika lakini pia ni Mwanamke, ambayo ni Sifa ya dunia nzima kuwa Wanawake wapo very emotional, na wengi wao ni zero emotional intelligence. Lakini Kwa Samia hiyo iko tofauti.

Tumeona viongozi kadhaa waliopita wakitekenywa kidogo jinsi watakavyo react. Tumeona na kama wewe hukuona basi ni wewe. Lakini hata Huko makazini au majumbani tunajua pale kiongozi anapotekenywa kidogo jinsi atakavyo reacts bila kujali sheria zipo au hazipo.

Ni nadra Sana ukute kiongozi mwenye Utulivu, Hekima na busara katika kuyaendea mambo. Ni ngumu kiongozi hasa Kwa level ya Rais kuchokolewa alafu asitumie mamlaka yake bila kujali ni Kwa Njia halali au haramu.

Sisi Watibeli hatusifii Watu ili tupate sijui vyeo au tutambulike au sijui viongozi watuone wamaana. Hiyo kwetu haipo hivyo Kwa sababu Sisi wenyewe tumezaliwa tunavyeo, tunatambulika na kujitambua. Hatuhitaji sijui favour ya Rais au kiongozi kumpongeza au kumkosoa.

Ndio maana pamoja na kumsifia na kumpongeza Rais Samia Kwa utulivu aliuonyesha lakini bado haifichuli ukweli kuhusu mapungufu ambayo anaweza kuwa nayo.
Kuhusu mkataba WA Bandari ni ufanyiwe marekebisho Kwa manufaa ya Nchi.

Kama Rais Samia angekuwa hana emotional intelligence ingekuwa kivumbi na jasho huko kwenye majukwaa.
Angekuwa kila Siku anapambana kujibu makombora anayotumiwa, kisha naye Atume vijembe. Viongozi wa hivyo tumewaona.
Lakini ninyi semeni, yeye atasikia kama mnasema kweli au laa hiyo haina maana yoyote kwake.

Kuhusu wale wakushtakiwa sijui Kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Hilo Kwa Sisi Watibeli tunaita Wenge au kupaparika. Huko ni kukosa utulivu.

Kiongozi lazima awe na;

1. Akili
Upeo mkubwa wa kupambanua, kuchambua, kutatua changamoto za Watu wake. Maoni.

2. Uwezo wa kudhibiti hisia zake.
Kiongozi hatakiwi kuongozwa na mihemko kama mtoto anayebalehe.
Sikiliza, tulia, tafakari, chukua hatua kama kuna haja.

3. Mtu mwenye uwezo na sio mtu anayejitutumua kuonyesha anauwezo.
Hili ni tatizo Kwa jamii zetu za Afrika.
Yaani Watu uwezo Hawana lakini wanavyojitutumua sasa. Ndio maana dhulma na kutotendeka Kwa Haki kunatawala.

4. Uwezo wa kuwaunganisha Watu.
Unajua kabisa Watu unaowaongoza ni Wengi. Na kila mtu anaupeo na Akili zake. Sasa kutofautiana mawazo ndio unakasirika kama jinga Fulani hivi. Unakasirika nini kama wewe ni Kiongozi Bora kweli. Kiongozi lazima utambue kuwa Watu wanatofautiana na kila mmoja katika tofauti hizo anapaswa kuheshimiwa.
Kuna Watu wapole na wapo wakali, kuna Watu wenye kisirani na watu Watulivu. Kuna wenye Akili na wajinga. Mitazamo ya mafanikio inatofautiana.
Watu hao hawawezi kulingana. Na hata unavyodili nao lazima udili nao Kwa Akili.

Kila mmoja umtumie katika nafasi sahihi. Hata wajinga wanaumuhimu wao katika Dunia. Nafasi zao zipo na zikitumiwa vizuri ni faida Kwa nchi.

Kujua Watu na kujijua mwenye ndio tafsiri ya Hekima na busara Kwa sababu utajua nini chakufanya Kwa usahihi katika Wakati sahihi.

Jambo moja ambalo litanitia mashaka na ninalihofia ni pale Rais Samia ambaye ni Mwanamke awe na utulivu na emotional intelligence ambayo itawashinda viongozi wajao ambao tutakuwa wanaume.

Wanaume kwetu Hii ni challenge. Tumezoea kuona Wanawake ni Watu wa kukurupuka, kufanya vitu Kwa hasira na mihemko lakini Kwa Samia imekuwa tofauti.

Kikawaida ukiona nguvu kubwa inatumika ujue Akili ni ndogo. Na ukiona mtu anaendeshwa na mihemko ujue muda huo Akili haipo. Na ukiona mtu haendeshwi na mihemko ujue Akili yake inafanya kazi vizuri.
Ndio kuna ule msemo usema, usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha(mihemko). Hiyo ndio maana ya uongozi Kwa namna nyingine.

Hongera Rais Samia, lakini bado hoja ya mkataba WA Bandari uitilie maanani. Penye marekebisho Parekebishwe.

Ni Yule Mtibeli. Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Naam kaka hasa yale ya mwanzo ndio yamemkomaza maana hapa tulipo sasa haihitajiki kukurupuka maana ukitoa mdomo tu na maneno yanasifa yakutokurudi aiseee😆😆😆......

Busara ni jambo jema sana kwa kiongozi yeyote yule
 
Hana cha kujibu, ameshaona kaingia choo cha kwake. Unategemea ataongea nini? Wenye akili tunajua tu kwamba hapa famba limefanyika. The best thing ni kukaa na kurekebisha makosa, sio dhambi. Period.
 
Hata jana limemvaa mbona kwa sisi wataalamu wa body language tuliona hilo

Hana utulivu wowote kiburi kilimjaa kama kiongozi huwezi kusema ulikaa kimya na utaendelea kukaa kimya ili iweje sasa ndio nini sasa kuzila/kususa

Nchi ngumu sana hii
 
Mkuu Robert Heriel Mtibeli , ni kweli kabisa naunga mkono hoja, nakushukuru kuliona hili leo, angalia sisi wenzio tuliliona lini hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
P
Kweri Pascal wewe ndi bush lawyer nilitegemea utaleta hoja zamana ili utuelemishe umuhimu wa DP World kwa Tanzania kwakupangua hoja zawakina Mwabukusi umekuwa mtu wa hovyo kushabikia wakina mama mitandaoni? Napigilia msumari wajumbe wa Kawe walifanya jambo njema kukata mkia ...Afadhali mkono wa bausa aka Gwanjiboy.
 
Back
Top Bottom