Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

Hwawa ni kati ya wale wateuliw baada ya kukaa benchi mda mrefu na njaa kali na kwa kuwa wengi ubunifu hawana basi wakiteuliwa huja na threads Tumbo kama hizi.
Sina cheo chochote Ila nimeridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa mh Rais uliotuheshimisha watanzania, kwa Sasa ndio maana unaona hata mafuriko ya watalii yanavyoendelea kumiminika hapa nchini, hayo Ni matunda ya Royal Tour na uimarishwaji wa diplomasia uliofanywa na mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan
 
Ondoa ujinga wako
 
Waruhusu mkutano wa hadhara mmoja tu waongele japo ughali wa vitu watakuwa wamemaliza kazi.
 
Kule Songwe kwa babu zako kuna watalii?
 
K

Kazi ipi Anafanya?
Zitaje nje ya kuomba mikopo ya kujenga madarasa na vyoo?
Ndugu yangu Mtanzania mwenzangu huwezi ukapewa hata hiyo mikopo Kama hueleweki eleweki, hiyo Ni sawa hata wewe hapo ukipata na shida utapata wa kukusaidia fedha endapo tu utakuwa unaaminika na mwaminifu na inajulikana kuwa wewe Ni mtu wa mipango na malengo, Nani akupe pesa take wewe Kama wewe wakati anajuwa huna uwezo wa kulipa na utaishia kunywea pombe na kushindwa kurejesha

Chini ya mama Samia suluhu Hassani, Tanzania Tunaaminika na mabenki na taasisi mbalimbali,.anakubalika na kuwavutia wengi kwa kuwa ana Malengo na dhamira za kumkwamua mwananchi mnyonge na maskini, Jambo ambalo ndio ajenda ya Dunia kupunguza umaskini, kuboresha huduma za kijamii Kama anavyofanya mh Rais wetu
 
Ccm hata wakiweka kibuyu au Jiwe,kitashinda tu,
Tume unaichagua wewe,mwenyekiti unamuweka wewe,wasimamizi wote umewateua wewe,walinda usalama wote wanakutii wewe!
Sasa hapo Kuna maajabu!!tumia ubongo usitumie makamasi!!
Kama anataka kufanya maajabu,afanye hv,huko duniani bei ya mafuta imepanda,hapa ishuke mpaka 1500!!kuanzia mwakani sukari yote izalishwe hapa,bei ya Michele iwe 1500,wakulima wawe na uwezo wa kununua Prado ya milioni 40!
Kati ya vijana 800K wanaoingia sokoni kila mwaka kutoka vyuoni,700K,wapate ajira zenye kipato kuanzia 700K!!
 
Kule Songwe kwa babu zako kuna watalii?
Ndio wapo wanakuja kuangalia kimondo namba mbili kwa ukubwa duniani ukiachana na kile Cha kule marekani, karibu Sana kwetu ujionee kimondo hiki Cha maajabu na kivutio Cha utalii kinachopatikana mkoa wa Songwe, wilaya ya mbozi, karibu Sana ndugu yangu,

Lakini lazima ujuwe kuwa fedha zinazotokana na utalii ndio hizo zinagawanywa Kama keki ya Taifa, Ambapo zingine zinakwenda kujenga shule,vituo vya Afya, usambazaji wa umeme na maji Safi,

Lakini pia utalii unatusaidia kupata fedha za kigeni zinazotusaidia kuagiza au uagizaji wa bidhΓ a muhimu toka nje ya nchi, kama vile dawa za binadamu na hata vifaa Tiba ambavyo tunakuwa hatuzalishi hapa nchini

Mama ndio tumaini la watanzania kwa Sasa katika kutuletea maendeleoa kwa kushirikiana nasi watanzania wazalendo

Ni mama Hadi 2030, Ni mama tu ndio habari ya mtaani kwa sasa
 
Hata tume iwe huru Kama huna Sera na ajenda Nani atakuchagua? Kinachokufanya uchaguliwe na kuungwa mkono Ni Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu,

Kwa Sasa mama ndio kabeba na kufanyia kazi ajenda za wananchi, ndio maana unaona namna anavyoungwa mkono, ndio sababu pia ya wapinzani kukosa ajenda na kuamua kuungana na mama yetu mh mama Samia suluhu Hassani katika ujenzi wa Tanzanian mpya
 
Nipe maendeleo uliyoyaona wilayani mwako, Yaani kimondo cha Ndolezi ambacho kipo miaka nenda rudi hata barabara iendayo kule ni ya mashimomashimo wewee unakuja na tantalilaaa we Songo wee Mukwizyaa mwanawitu?
 
Ni kweli kabisa kwamba kwa sasa kwenye nchi yetu hamna mpinzani anayeonekana kuwa na mvuto wa Urais, ila mnamdanganya sana Rais.
Fanyeni utafiti kwa kuuliza watu wa hali ya chini ambao ndio wapiga kura wengi,mtagundua kitu.
 
Hapo Kenya unapopasifia kwani hujasikia Raila Odinga anailalamikia Tume au hujasikia akijitangaza kuwa Ni mahindi hata kabla ya matokeo, Sasa unataka kusema Nini tuelewe vizuri
Hata Mwenyekiti wa Tume awe Mbowe,mgombea awe Lisu na IGP awe Kigaila Benson bado Samia atashinda saa 3 asubuhi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220817-084630.png
    113.2 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…