Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Nitakuja appreciate huu mradi ukikamilika.... Hizi porojo za sasa ni kelele tu kwangu maana bimkubwa watu alio waweka karibu ndio tuliokuwa na shaka nao hapo awali.....
 
Ujenzi wa JNHPP na Usambazaji wa umeme Rais Samia aongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|22 hadi TZS 2.34T FY2021|22 "kaziiendelee" mnaoshangaa endeleeni kushangaa,​

" Hakuna kama Samia "​

Lengo la Rais wetu Samia Suluhu Hassan ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa uhakika unaofikia Jumla ya 5,000MW anamaanisha tunakwenda kuwa electricity donor country hakika kesho yetu ni bora sana kuliko leo,

Sote tunafahamu mahitaji ya Umeme Tanzania yanaongezeka siku hata siku kwa mfano mwaka 2020 mahitaji ya Umeme yalikuwa 1,151.66MW lakini hadi kufikia mwezi May 2021 mahitaji ya Umeme yalifikia 1,183.28MW sawa na ongezeko la 3% kwa mwaka huku umeme ukitajwa kuwa ndio umeme wa chee zaidi African Mashariki kwani unauzwa $0.099/KWh

Faida ya mradi huu sio umeme tu kwani tayari umeajiri jumla ya wafanyakazi 7,243 huku wazawa wakiwa ni 6,452 na wageni ni 791,Mradi huu utakapokamilika unatarajiwa kuzalisha Jumla ya MW 2,115

Mpaka Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ni 38% tu ya fedha zote za mradi huu wa Tshs 6.55trilioni ndio zilikuwa zimelipwa ambayo ni Tshs 2.495 sawa na Pungufu ya Tshs 4.055trilioni, Hii ni sawa na kusema Rais Samia hadi mwisho wa mradi atakuwa ameujenga mradi wa JNHPP kwa 62%,Hakika Mama huyu anastahili pongezi sana kwa kiwango hiki cha Uzalendo,

Zikiwa zimesalia miezi kumi ( 10 ) tu kumalizika kwa mkataba huu Rais Samia Suluhu Hassan kupitia bajeti yake hii ya kwanza tayari ameshatenga 58% ya deni lote lililosalia ametoa Tshs 2.34trilioni kwaajili ya usambazaji wa umeme na ukamilishaji wa mradi huu wa JNHPP,Pesa hii ni sawa na pesa yote iliyotolewa tangu kuanza kwa mradi huu wa JNHPP,Unaweza kusema "Bajeti moja ya Rais Samia kwenye usambazaji wa umeme na ujenzi wa JNHPP ni sawa na bajeti zote zilizotolewa kujenga JNHPP tangu ianze May 2019 " Kama kuna mtu wa kuombewa kwa nguvu kubwa kwa sasa basi ni Rais Samia,

Miezi mitatu iliyopita.... [emoji1787]
 
Ujenzi wa JNHPP na Usambazaji wa umeme Rais Samia aongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|22 hadi TZS 2.34T FY2021|22 "kaziiendelee" mnaoshangaa endeleeni kushangaa,​

" Hakuna kama Samia "​

Lengo la Rais wetu Samia Suluhu Hassan ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa uhakika unaofikia Jumla ya 5,000MW anamaanisha tunakwenda kuwa electricity donor country hakika kesho yetu ni bora sana kuliko leo,

Sote tunafahamu mahitaji ya Umeme Tanzania yanaongezeka siku hata siku kwa mfano mwaka 2020 mahitaji ya Umeme yalikuwa 1,151.66MW lakini hadi kufikia mwezi May 2021 mahitaji ya Umeme yalifikia 1,183.28MW sawa na ongezeko la 3%,Lakini pia kwa mwaka huku umeme wetu umetajwa kuwa ndio umeme wa bei chee zaidi African Mashariki kwani tunauza kwa $0.099/KWh hakika Tanzania ya Samia raha sana nabei hii itashuka zaidi banda ya JNHPP kukamilika,

Faida ya mradi huu sio umeme tu kwani tayari umeajiri jumla ya wafanyakazi 7,243 huku wazawa wakiwa ni 6,452 na wageni ni 791,Mradi huu utakapokamilika unatarajiwa kuzalisha Jumla ya MW 2,115

Mpaka Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ni 38% tu ya fedha zote za mradi huu wa Tshs 6.55trilioni ndio zilikuwa zimelipwa ambayo ni Tshs 2.495 sawa na Pungufu ya Tshs 4.055trilioni, Hii ni sawa na kusema Rais Samia hadi mwisho wa mradi atakuwa ameujenga mradi wa JNHPP kwa 62%,Hakika Mama huyu anastahili pongezi sana kwa kiwango hiki cha Uzalendo,

Zikiwa zimesalia miezi kumi ( 10 ) tu kumalizika kwa mkataba huu Rais Samia Suluhu Hassan kupitia bajeti yake hii ya kwanza tayari ameshatenga 58% ya deni lote lililosalia ametoa Tshs 2.34trilioni kwaajili ya usambazaji wa umeme na ukamilishaji wa mradi huu wa JNHPP,Pesa hii ni sawa na pesa yote iliyotolewa tangu kuanza kwa mradi huu wa JNHPP,Unaweza kusema "Bajeti moja ya Rais Samia kwenye usambazaji wa umeme na ujenzi wa JNHPP ni sawa na bajeti zote zilizotolewa kujenga JNHPP tangu ianze May 2019 " Kama kuna mtu wa kuombewa kwa nguvu kubwa kwa sasa basi ni Rais Samia,

Hivi hizo pesa ni samia anazitoa kwenye mkoba wake?
 
CM 1774858

Binafsi nikushukuru sana kuwafumbua macho hasa waliokata tamaa baada ya kifo cha Rais Magufuli ,

Samia anafanya vizuri sana ila kwa njia tofauti lazima wamuamini mama yuko vizuri sana na analeta matokeo kwa haraka sana,

Kwakasi ile ya 38% miaka miwili huenda tungekwama,
Tuendelee kumsemea mama amefanya mengi mazuri sana pacha,

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Huyu mama kama naanza kumuelewa hivi! Ujue sisi wafuasi wa siasa kali za Magu tulipata shida sana kukuelewa,lakini kwa mbaali anakuja kuja.

Tusisahau kuna wabunge walimshambulia Magufuli katika juhudi za kuanzisha mradi huu mkubwa kabisa. Akaziba maskio mbaba wa watu ukaanza pamoja na hali ngumu ya watu wa mwzingira lakini saivi tunaanza kuona utamu unanukia!

Safi JPM heko Samia.

Asante sana mleta mada
Comment Of The day,

Kuwa na amani mkuu Samia anafanya vizuri Sana,

Tuendelee kumwombea,

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
CM 1774858

Binafsi nikushukuru sana kuwafumbua macho hasa waliokata tamaa baada ya kifo cha Rais Magufuli ,

Samia anafanya vizuri sana ila kwa njia tofauti lazima wamuamini mama yuko vizuri sana na analeta matokeo kwa haraka sana,

Kwakasi ile ya 38% miaka miwili huenda tungekwama,

Wewe ndio ungekwamisha? Unalipaje mtu asiyemaliza kazi? Hizi ni story za kupata political milage.
Hakuna namna utaanza hadithi nyingi kwenye project hii ya bwawa la umeme na ile ya reli. Tuzidi kumuombea na kumsaidia Mama apate hekima na uwezo wa kuongoza nchi vizuri. Yote mema yanawezekana
 
CCM na utapeli ni kama mgonjwa na uji. Mmesahau kwambwa mliahidi gesi ya mtwara ikifika dar es salaam tatizo la umeme litakua historia. Kweli mmeishiwa vijana wangu
 
Nitakuja appreciate huu mradi ukikamilika.... Hizi porojo za sasa ni kelele tu kwangu maana bimkubwa watu alio waweka karibu ndio tuliokuwa na shaka nao hapo awali.....
Mradi huu mkubwa unatarajiwa kukamilika JUNE 2022....

Tujiandae kuwa na MEGAWATI 2215💪
 
CCM na utapeli ni kama mgonjwa na uji. Mmesahau kwambwa mliahidi gesi ya mtwara ikifika dar es salaam tatizo la umeme litakua historia. Kweli mmeishiwa vijana wangu
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Back
Top Bottom