Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Nitakuja appreciate huu mradi ukikamilika.... Hizi porojo za sasa ni kelele tu kwangu maana bimkubwa watu alio waweka karibu ndio tuliokuwa na shaka nao hapo awali.....
 
Miezi mitatu iliyopita.... [emoji1787]
 
Hivi hizo pesa ni samia anazitoa kwenye mkoba wake?
 
Tuendelee kumsemea mama amefanya mengi mazuri sana pacha,

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Comment Of The day,

Kuwa na amani mkuu Samia anafanya vizuri Sana,

Tuendelee kumwombea,


#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 

Wewe ndio ungekwamisha? Unalipaje mtu asiyemaliza kazi? Hizi ni story za kupata political milage.
Hakuna namna utaanza hadithi nyingi kwenye project hii ya bwawa la umeme na ile ya reli. Tuzidi kumuombea na kumsaidia Mama apate hekima na uwezo wa kuongoza nchi vizuri. Yote mema yanawezekana
 
JPM aliuanzisha mradi na mh.SSH anaumalizia....

Hakika tunajivunia sana kuwa na VIONGOZI WETU Hawa😍
 
CCM na utapeli ni kama mgonjwa na uji. Mmesahau kwambwa mliahidi gesi ya mtwara ikifika dar es salaam tatizo la umeme litakua historia. Kweli mmeishiwa vijana wangu
 
Nitakuja appreciate huu mradi ukikamilika.... Hizi porojo za sasa ni kelele tu kwangu maana bimkubwa watu alio waweka karibu ndio tuliokuwa na shaka nao hapo awali.....
Mradi huu mkubwa unatarajiwa kukamilika JUNE 2022....

Tujiandae kuwa na MEGAWATI 2215💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…