Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Tuipiganie nchi yetu na chama chetu mkuu

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Unakera sana na mada zako,kila siku unamsifia hangaya kwa ujinga ujinga..nakublock.
 
Tuipiganie nchi yetu na chama chetu mkuu

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI

Nchi yetu yes...Chama kitapiganiwa kama kitaendelea kuhakikisha kinaleta maendeleo ya kweli kwa wananchi.
Hakuna short cut...keki ya Tanzania ni ya Watanzania wote. Ni jukumu la chama kuhakikisha serikali inawaletea watanzania wote maendeleo
 
Utapeli upi mkuu?!!

Kwani fedha hawajakabidhiwa ARAB CONTRACTORS?!!

Wenyewe wamesema wataumaliza mradi JUNI 2022.....

Ina maana kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa? Hii project ilikuwa ya miaka mitatu....so far imekamilika kwa kiasi gani?
 
Nchi yetu yes...Chama kitapiganiwa kama kitaendelea kuhakikisha kinaleta maendeleo ya kweli kwa wananchi.
Hakuna short cut...keki ya Tanzania ni ya Watanzania wote. Ni jukumu la chama kuhakikisha serikali inawaletea watanzania wote maendeleo
Hakika....

Jukumu hilo anaendelea kulifanya mh.SSH....

Ndani ya MUDA mfupi amewapa fedha Arab Contractors kuukamilisha huo mradi wa Mwalimu Nyerere......

Ndani ya MUDA mfupi tu amewapandisha madaraja watumishi wa umma baada ya miaka 6 kupita.....

Ndani ya MUDA mfupi mno amefuta tozo ya "RETENTION FEE" 6% kwa wanufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu(HESLB)......

Ndani ya MUDA mfupi mno AMEWAAHIDI NYONGEZA ZA MISHAHARA kwa wafanyakazi ifikapo mwaka wa fedha 2022-2023(fiscal year).........

Ndani ya MUDA mfupi amewakumbusha MAHAKAMA kuharakisha michakato ya maamuzi ya kesi kuanzia mahakama za mwanzo mpaka mahakama ya rufani......

SIEMPRE JMT
 
Taarifa inawezekana ni njema ila uandishi wako ni kichoko umefanya taarifa imekuwa ya kichoko
 
Una maana gani unaposema Mama Samia amewapa hela? Sasa mnataka wafanye kazi bure? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ina maana kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa? Hii project ilikuwa ya miaka mitatu....so far imekamilika kwa kiasi gani?
Mkuu wangu pale kuna injinia mkazi anaitwa Mushubila Kamuhabwa.....

Mtaalam huyo anasema kuwa mpaka sasa mradi huo umekuwa ukitekelezwa hatua zote 8 kwa kiwango kikubwa mno....mathalani wameshajenga "SADDLE DAMS" 4....pale jamaa wanafanya kazi usiku na mchana.......

Kufikia July 2021 Serikali sikivu ya awamu ya 6 imeshatoa kwa mkandarasi kiasi cha shilingi TRILIONI 2.5....mpaka ukamilike zinatakiwa kutolewa TRILIONI 6.5.....

#SiempreJMT
#KaziInaendelea
 
Taarifa inawezekana ni njema ila uandishi wako ni kichoko umefanya taarifa imekuwa ya kichoko
Mkuu hebu shusha pumzi banaa🤣

Taarifa haijitoshelezi?!!

Taarifa hujaielewa kitu gani mkuu wangu?!!!
 
Una maana gani unaposema Mama Samia amewapa hela? Sasa mnataka wafanye kazi bure? 🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu....

Ni kweli wanastahili kulipwa....

Ila....

Utashi wa KISIASA (kuamua kulipambania) kuko mikononi mwa serikali(mh.SSH).....kwani asingeitoa hela kwa haraka angelazimishwa ?!!!
 
Mkuu....

Ni kweli wanastahili kulipwa....

Ila....

Utashi wa KISIASA (kuamua kulipambania) kuko mikononi mwa serikali(mh.SSH).....kwani asingeitoa hela kwa haraka angelazimishwa ?!!!

Nampongeza sana kwa kuweza kulipa. Kuna tabia ilianza ya kuwapa wakandarasi kazi halafu kulipa ina kuwa kama mtu anatoa msaada
 
Nitakuja appreciate huu mradi ukikamilika.... Hizi porojo za sasa ni kelele tu kwangu maana bimkubwa watu alio waweka karibu ndio tuliokuwa na shaka nao hapo awali.....
🤣🤣
Ulijitia mashaka mwenyewe mkuu wangu.....

Ni wasiwasi tu usiokuwa na rejea"substantial reference" kwani mh.SSH hakuwahi kuwa Rais....bali msaidizi wa jembe letu hayati JPM....naye alimuamini sana kufikia kumteua mgombea mwenza na kumwacha mh.AMINA SALUM ALI(aliyepata kura nyingi za maoni nyuma ya JPM mwaka 2015).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…