Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Weka mkeka tuuone acha mambo ya kusikia...
 
Katibu mkuu kiongozi - Hussein yahya Katanga (balozi yupo japani)
Alhaji Hussein Katanga
Aliwahi kuwa mkurugenzi wa manispaa kigoma Ujiji,Mwanza,kinondoni mwishoni alikua mtendaji mkuu wa mahakama

Show yake kubwa alipiga na Zitto kabwe,uchaguzi wa meya Wa kigoma Ujiji,diwani wa viti maalum chadema alipotea dakika za mwisho,Zitto kabwe anamdaka terminal 1,Dar ,anamrudisha kigoma kwa ndege ya kukodi.Uchaguzi unatoka ngoma droo kwa Mara ya tatu hakuna meya.

Mizengo kayanza Pinda akiwa waziri wa Tamisemi anakwenda kigoma,anaamua chadema waongoze miaka miwili,ccm miwili.😀
 
Uteuzi wa Nchemba personal he is not ideal candidate, kwa mambo ya nje kumtoa Prof pale ni vizuri zaidi

OR-TAMISEMI mama angemteua Dkt.Gwajima .D . Angeenda kuwachezesha mchaka mchaka
 
Ndio ameshaidiwa kazi kama alivyotahadharishwa siku ya kupokea report!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…