Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa wamebaki pale pale.Hussein bashe na faustine ndungulile vp?
^As you SOW, so shall you reap^ 🙂ha ha ha...!
"As you saw, so shall you reap!"
Out..hhahaa kapewa uviti maalum..mwe kala mshahara nmoja wa ukatibuBashiru?
Hakuna mchagga hata mmoja,tumewakosea nini jamani?Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi, - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
As heard
Kumchinja kobe!zingekuwa kweli asingepewa ubunge. uwe na akili
Out..hhahaa kapewa uviti maalum..mwe kala mshahara nmoja wa ukatibuBashiru?
Tumekwishaaa 🤣🤣Wizara ya Fedha kapewa Mwigulu nchemba. Tumekwishaaa
Mchengerwa ni wakili mbobezi, mjuzi na mpolesana, anafaa.Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Mkuu hapo umenipeleka huku alafu ukanirudisha kule, ieke vizuri umeniacha kidogoKipindi unajiunga humu nilifikiri wanaopost harakaharaka wanalipwa posho hivi...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Waziri asiye na wizara maalum ofisi ya Waziri Mkuu.
Huyu mzee wa elfu moja mia Kenda ana ndele sanaWabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Yaani hapa Mama ndiyo kapotea kweliMmh mwigulu
Ni kweli Mwigulu si mbaya kihivyo, aache uongo na propaganda afanye kazi.Mwigulu mbona hanaga shida ukiacha ka arrogance behavior yake
hiAisee hapa naona mama kama kateleza Mwigulu wizara ya Fedha? mbona simuamini!