Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Wakenya hawaeleweki bro, wao ndo chanzo cha migogoro yote baina ya hizi nchi mbili..ni taabu sana kuwa karibu na failed state..
Wivu, chuki na roho mbaya zitakuuwa hivi karibuni😂😂
 
Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
Ndio hiyo Magufuli aliamua kuikodishia ATC
 
Sijaona wala kusikia baya kwa maslahi ya Tanzania.

Bomba, ni mradi wa muda mrefu, na maslahi yatazingatiwa.
 
Ndio hiyo Magufuli aliamua kuikodishia ATC
Sijui kwa nini mnapenda uongo
Ndege zilikuwa 3, moja ambayo ilikuwa ime-park muda mrefu bila kutumika ndio hiyo ilipelekea ATCl, so zimebaki 2
 
Nimekumbuka aisee, ile ndege iliyopakwa rangi sijui pale SIDO kwa bei nafuu kabisa.
Huu ni uongo
Ndege zilikuwa 3, moja ambayo ilikuwa ime-park muda mrefu bila kutumika ndio hiyo ilipelekea ATCl, so zimebaki 2 moja inatumiwa Sana na waziri mkuu
 
Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
Hukumbuki mwenda zake alisema hata Ile ndege ya Rais iigee charter ya ATCL
 

tatizo lenu mnatumia petrol badala ya akili.

kwahiyo serikali nzima ya awamu ya 4 yote ilikuwa inaumwa moyo[emoji16][emoji16].
gari 80 zote zinatokea ikulu kwamba asipotoka zinapaki!!!,usichojua gari za rais awamu ya 5 ziliongezeka na kuwa 12 tu,nyingine zote ni za viongozi waandamizi wanaofuatana naye.
akitumia ndege samia bado gari zile zitamfata anakokwenda.
punguzeni undezi.
 
Sogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
maendeleo yanatafuatwa wapi!!![emoji1787][emoji1787]

mandeleo yangetafutwa kizembe namna hiyi awamu ya 4 ingetufikisha mbali sana.
 
Shida zipi hizo alizoweza kuziondoa kutokana na kutumia barabara??labda kugawa mabunda ya pesa!!mbona kila alipokuwa akirudi tena sehemu zile zile alikuwa akikutana na kero zile zile?yeye hakupenda kudanganywa lakini alikuwa ni mtaalamu wa kulisha wenzake matango poli(kupika data za uongo), kamwe huwezi kuongoza nchi pekee yako bila kuwaachia wenzako madaraka, mfano na ukali wote huo kwenye wizara ya maji amefanya nini, pesa zinapigwa kila leo, na kila mala ilikuwa kumpa sifa tu waziri aweso, huko kwa jafo nako ni tabu tu!!, tumpe muda mama, ameanza vizuri , kwa kupenda sera za ushirikiano na majirani, ktk nchi za afrika Kenya ndio muwekezaji mkubwa nchini, sasa kwa roho yako mbaya unamchukia, mala vibali vya kufanyia kazi uwanyime!matokeo yake ndio hayo tuliyaona, wafanya biashara wa Tz, kilio kila sehemu kwenye soko la kenya, hata uhusiano na UGANDA RWANDA, ZAMBIA, ulidorora yeye hilo hakuliona!!ila hata CCM, watakuwa wamepata somo kubwa sana,
 
maendeleo yanatafuatwa wapi!!![emoji1787][emoji1787]

mandeleo yangetafutwa kizembe namna hiyi awamu ya 4 ingetufikisha mbali sana.
Sasa si bora awamu ya nne ilituacha pale pale ilipotukuta kama ni hivyo, kuliko hiyo ya awamu ya tano iliyoturudisha nyuma zaidi ya ilipotukuta?
 
Acha kupotosha watu kuna gesi ya kujivunia tena hapa TZ? Huyo unayemuita shujaa alikiri kabisa kuwa mikataba ya gesi ni aibu tupu ndio maana aliamua kwenda kwenye bwawa la mwalimu Nyerere!!moyo upi huo ambao unaweza sema alikuwa nao, pesa kupigwa kulikuwa pale pale, na kuliingiza taifa kwenye hasara tu, yeye anakwambia serikali huwa haina hasara umeona kuna jamaa amelipwa karibia bilioni 50, huko?kisa uvunjanji wa mikataba ki puuzi?ili ndege zisikamatwe?yaani serikali inalipa bilioni 50, kimya kimya tu!!halafu useme huyo mtu alikuwa na uchungu na wananchi??
 
Mwendazake alikuwa mlemavu wa moyo, hivyo kiberiti alichowekewa asingemuda mikiki mikiki ya hewani. Akawa hana option zaidi ya kubakia nchini kuwa LOCAL president na kujikita na usafiri wa magari
 
kwahiyo gas nazo aliuza mwendazake[emoji23][emoji23][emoji23].

kwani adui yenu hasa walalamikaji ni nani???
 
Mwendazake alikuwa mlemavu wa moyo, hivyo kiberiti alichowekewa asingemuda mikiki mikiki ya hewani. Akawa hana option zaidi ya kubakia nchini kuwa LOCAL president na kujikita na usafiri wa magari
kama na betry kifuani aliwasokota namna hiyo,sijui angekuwa mzima kama jk angewafanyaje!!!!
 
Ndugu, kama yeye na JPM Ni kitu ki1. Anapasqa kwenda kwenye miradi ya maendeleo tena ile inayogusa wananchi moja kwa moja. Kinyume na hapo anakuwa amemsaliti Mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…