Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
Ndio hiyo Magufuli aliamua kuikodishia ATC
 
Sijaona wala kusikia baya kwa maslahi ya Tanzania.

Bomba, ni mradi wa muda mrefu, na maslahi yatazingatiwa.
 
Ndio hiyo Magufuli aliamua kuikodishia ATC
Sijui kwa nini mnapenda uongo
Ndege zilikuwa 3, moja ambayo ilikuwa ime-park muda mrefu bila kutumika ndio hiyo ilipelekea ATCl, so zimebaki 2
 
Nimekumbuka aisee, ile ndege iliyopakwa rangi sijui pale SIDO kwa bei nafuu kabisa.
Huu ni uongo
Ndege zilikuwa 3, moja ambayo ilikuwa ime-park muda mrefu bila kutumika ndio hiyo ilipelekea ATCl, so zimebaki 2 moja inatumiwa Sana na waziri mkuu
 
Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
Hukumbuki mwenda zake alisema hata Ile ndege ya Rais iigee charter ya ATCL
 
Wivu tu, Mwendazake alikuwa na Tatizo la Moyo sio kwamba alikuwa hapendi kusafiri.

Fikiria ule msafara wake wa magari zaidi mia moja na zote zina watu, zile gharama zake si ni zaidi ya ya Safari ya Ndege kwenda Kenya?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

tatizo lenu mnatumia petrol badala ya akili.

kwahiyo serikali nzima ya awamu ya 4 yote ilikuwa inaumwa moyo[emoji16][emoji16].
gari 80 zote zinatokea ikulu kwamba asipotoka zinapaki!!!,usichojua gari za rais awamu ya 5 ziliongezeka na kuwa 12 tu,nyingine zote ni za viongozi waandamizi wanaofuatana naye.
akitumia ndege samia bado gari zile zitamfata anakokwenda.
punguzeni undezi.
 
Sogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
maendeleo yanatafuatwa wapi!!![emoji1787][emoji1787]

mandeleo yangetafutwa kizembe namna hiyi awamu ya 4 ingetufikisha mbali sana.
 
Bora mala kumi ya Meko aliyekuwa anatumia barabara, maana kila alipokuwa akipita sehemu anajua matatizo ya nchi/wananchi, barabara zilitengenezwa kwasababu walijua wakati wowote Rais atapita.

Sasa huyu kila siku angani shida za nchi atazijulia wapi?kila siku atadanganywa kuwa mambo yanaenda kumbe amna kitu.Magufuri alifanikiwa kufanya vitu kwasababu alikuwa anaenda mwenyewe,akusubiri kusomewa ripoti za kupika za wasaidizi wake,hata yeye Samia alikili kuwa Magufuri ilikuwa sio laisi kudanganywa.
Shida zipi hizo alizoweza kuziondoa kutokana na kutumia barabara??labda kugawa mabunda ya pesa!!mbona kila alipokuwa akirudi tena sehemu zile zile alikuwa akikutana na kero zile zile?yeye hakupenda kudanganywa lakini alikuwa ni mtaalamu wa kulisha wenzake matango poli(kupika data za uongo), kamwe huwezi kuongoza nchi pekee yako bila kuwaachia wenzako madaraka, mfano na ukali wote huo kwenye wizara ya maji amefanya nini, pesa zinapigwa kila leo, na kila mala ilikuwa kumpa sifa tu waziri aweso, huko kwa jafo nako ni tabu tu!!, tumpe muda mama, ameanza vizuri , kwa kupenda sera za ushirikiano na majirani, ktk nchi za afrika Kenya ndio muwekezaji mkubwa nchini, sasa kwa roho yako mbaya unamchukia, mala vibali vya kufanyia kazi uwanyime!matokeo yake ndio hayo tuliyaona, wafanya biashara wa Tz, kilio kila sehemu kwenye soko la kenya, hata uhusiano na UGANDA RWANDA, ZAMBIA, ulidorora yeye hilo hakuliona!!ila hata CCM, watakuwa wamepata somo kubwa sana,
 
maendeleo yanatafuatwa wapi!!![emoji1787][emoji1787]

mandeleo yangetafutwa kizembe namna hiyi awamu ya 4 ingetufikisha mbali sana.
Sasa si bora awamu ya nne ilituacha pale pale ilipotukuta kama ni hivyo, kuliko hiyo ya awamu ya tano iliyoturudisha nyuma zaidi ya ilipotukuta?
 
Kwa wale msiojua, ziara ya Raisi wetu haikuja Hivi Hivi tuu, inatokana na hamu kubwa walionao majirani zetu kwa ya kupata Gesi inayopatikana kwa wings nchini mwetu, Kenya imekua muda mrefu ikitaka Gesi yetu lakini utawala uliopita haukuharakisha matamanio ya majirani zetu kwasababu kwa mujibu wa Rais magufuli hakuharakisha mchakato huo kwasababu alitaka nchi ipate maslahi mazuri katika mikataba ya uvunaji wa maliasili hiyo.

Hili lililofanyika leo la kitia sahihi makubaliano ya kuipatia Kenya Gesi ni matumaini yetu maslahi aliyokua akiyapigania Marehemu magufuli yatakua yamezingatiwa kwa umakini mkubwa kwajinsi marehemu alivyoyasimsmis viginevyo maliasili yetu itaanza kupotea kama ilivyopotea katika tawala za nyuma, mungu atusaidie watawala wetu wavae moyo wa magufuli wanapofanya maamuzi juu ya raslimali yetu.
Acha kupotosha watu kuna gesi ya kujivunia tena hapa TZ? Huyo unayemuita shujaa alikiri kabisa kuwa mikataba ya gesi ni aibu tupu ndio maana aliamua kwenda kwenye bwawa la mwalimu Nyerere!!moyo upi huo ambao unaweza sema alikuwa nao, pesa kupigwa kulikuwa pale pale, na kuliingiza taifa kwenye hasara tu, yeye anakwambia serikali huwa haina hasara umeona kuna jamaa amelipwa karibia bilioni 50, huko?kisa uvunjanji wa mikataba ki puuzi?ili ndege zisikamatwe?yaani serikali inalipa bilioni 50, kimya kimya tu!!halafu useme huyo mtu alikuwa na uchungu na wananchi??
 
tatizo lenu mnatumia petrol badala ya akili.

kwahiyo serikali nzima ya awamu ya 4 yote ilikuwa inaumwa moyo[emoji16][emoji16].
gari 80 zote zinatokea ikulu kwamba asipotoka zinapaki!!!,usichojua gari za rais awamu ya 5 ziliongezeka na kuwa 12 tu,nyingine zote ni za viongozi waandamizi wanaofuatana naye.
akitumia ndege samia bado gari zile zitamfata anakokwenda.
punguzeni undezi.
Mwendazake alikuwa mlemavu wa moyo, hivyo kiberiti alichowekewa asingemuda mikiki mikiki ya hewani. Akawa hana option zaidi ya kubakia nchini kuwa LOCAL president na kujikita na usafiri wa magari
 
Acha kupotosha watu kuna gesi ya kujivunia tena hapa TZ? Huyo unayemuita shujaa alikiri kabisa kuwa mikataba ya gesi ni aibu tupu ndio maana aliamua kwenda kwenye bwawa la mwalimu Nyerere!!moyo upi huo ambao unaweza sema alikuwa nao, pesa kupigwa kulikuwa pale pale, na kuliingiza taifa kwenye hasara tu, yeye anakwambia serikali huwa haina hasara umeona kuna jamaa amelipwa karibia bilioni 50, huko?kisa uvunjanji wa mikataba ki puuzi?ili ndege zisikamatwe?yaani serikali inalipa bilioni 50, kimya kimya tu!!halafu useme huyo mtu alikuwa na uchungu na wananchi??
kwahiyo gas nazo aliuza mwendazake[emoji23][emoji23][emoji23].

kwani adui yenu hasa walalamikaji ni nani???
 
Mwendazake alikuwa mlemavu wa moyo, hivyo kiberiti alichowekewa asingemuda mikiki mikiki ya hewani. Akawa hana option zaidi ya kubakia nchini kuwa LOCAL president na kujikita na usafiri wa magari
kama na betry kifuani aliwasokota namna hiyo,sijui angekuwa mzima kama jk angewafanyaje!!!!
 
yeye na JPM lazima wawe tofauti. kila mtu ana uniqueness kwenye utekelezaji majukumu.
anapukuchulia angani rasilimal za tanzania .. hao waliopita walikiwa hawafanyi hivyo?

mbona ataembelei miradi? Kila kitu afanye yeye? Mawaziri wako wapi? makatibu wakuu wako wapi? nn kazi yao?
Ndugu, kama yeye na JPM Ni kitu ki1. Anapasqa kwenda kwenye miradi ya maendeleo tena ile inayogusa wananchi moja kwa moja. Kinyume na hapo anakuwa amemsaliti Mwendazake.
 
Back
Top Bottom