Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwahiyo wewe unamuona Mpango anaweza kutikisa nafasi ya Mama pale juu? Mama kafanya kama JK tu kutuletea Bilal.
Mama anafitMama je
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi hawa nilishawapuuza,Mwendo ni ule ule. Wale wanaofanya siasa za propaganda, kupika chuki ili kugonganisha, kuita watu chawa n.k. wajifunze siasa za kisayansi. Sikiliza speech ya Dr. Mpango, ndiyo utajua mwendo ni ule ule.
Alafu waliokuwa wanapika majungu kwamba CCM imegawanyika waendelee kujifunza hata kama hawataki. Jina lilipendekezwa na kuthibitishwa kupitia vikao vya CCM, lakini hatujasikia kabisa kuvuja kwa jina hilo. Hiyo inaonyesha uimara wa CCM!
Imepita hio ukishakubalika na wananchi nani wa kupinga sisi ndo waajiri wao twajua nani anafaa nani afai.Unadhani anaweza kukataliwa mkuu?
Huwezi kumlinganisha na hao wengine walafi wa madaraka.
Kwanza huu uongozi unapunguzia stress taifa. Rais na makamu watu ambao hawana kashfa yoyote.
Wanavutia kuwaunga mkono. Maana wote wanaonekana kukaa hapo kwa sababu Mungu ameruhusu sio kwa mbinu na mapambano ya kisiasa
still haimake sense!!ukisema dollar 62m..tunaongelea 100+ bn.Maybe wanaongelea dollars
Hata haeleweki. Mara jicho la Mama Samia kubwa,,,, mara ana-quote maneno ya piere liquid,,,,, mara biblia. Vurugu tupu.Kasemaje huyu tapeli wa dini za Kinaija?
Jaramba jaramba jaramba .kuna MTU ataamba ubunge,hivi hivi tu.Sasa Makamu wa Rais ni Philip Izdol Mpango, amependekezwa na Rais wa JMT na kusomwa na Spika Job Ndugai.
Hahahahahhaha nimechekaaaKama vile naye gari la mkaa tu.Tumuombee aimarike afya yake.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Bora huyoyeye pamoja na veronica wote ni watu wa makundi.
makundi haya ndio yana interest. hapa mama kafanya vyema kabisa
Kwamba Mpango ndio mwenyeweNaikumbuka ile kauli ya CDF
Kuna neno aliniachia JPM naomba nikuone ofisini...
Alimaanisha nini?
Wapo wengi tuu sasa wanasikilizia ilipopenyaππππImepenya wapi tena π
Kuwa makini na Statement hii "We have the numbers" Hatuzungumzii kumtikisa mtu, tuna chotaka na kumuunga mkono ni utendaji katika Kweli na Haki
Kwan awe hoi? Maana kapambana na kuwapaka Bashiru Kabudi wasiwe VP. Kwake ni ushindiKigogo hoi