Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mwendo ni ule ule. Wale wanaofanya siasa za propaganda, kupika chuki ili kugonganisha, kuita watu chawa n.k. wajifunze siasa za kisayansi. Sikiliza speech ya Dr. Mpango, ndiyo utajua mwendo ni ule ule.

Alafu waliokuwa wanapika majungu kwamba CCM imegawanyika waendelee kujifunza hata kama hawataki. Jina lilipendekezwa na kuthibitishwa kupitia vikao vya CCM, lakini hatujasikia kabisa kuvuja kwa jina hilo. Hiyo inaonyesha uimara wa CCM!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi hawa nilishawapuuza,

Kikubwa tuwasubiri akili zao huwa zinarudi ikifika oktoba ya mwaka wa uchaguzi na sisi kazi yetu ni kuwagonga tu
 
Huwezi kumlinganisha na hao wengine walafi wa madaraka.

Kwanza huu uongozi unapunguzia stress taifa. Rais na makamu watu ambao hawana kashfa yoyote.

Wanavutia kuwaunga mkono. Maana wote wanaonekana kukaa hapo kwa sababu Mungu ameruhusu sio kwa mbinu na mapambano ya kisiasa

hakika, mama analeta nuru mpya
 
Kuwa makini na Statement hii "We have the numbers" Hatuzungumzii kumtikisa mtu, tuna chotaka na kumuunga mkono ni utendaji katika Kweli na Haki

Sawa, sasa nipeni mbinu mpya ya kuwa 'chawa' wa mama fasta.
 
Naona mama Samia amekataa kuwatumia wastaaafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom