Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,365
- 1,473
Kwani Zanzibar alipouwawa Karume Sr na kuingia Jumbe walibadili Ilani?Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.