Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Sawa akitoka huko ,aende USA,JAPAN , S.A, MSUMBIJI ,nk
 
Usitufokee tuna Jambo letu
 
Yule waziri wa zamani wa nje mkodoa macho akiona hivi sijui anajiskiaje! Kipindi chake hakupata tripu kabisa. Alikuwa akipiga Dar - Dom tu, akitoka sana sana Kenya!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Du,anapewa ziara watu wanajipigia pesa,
 
Hivi anafahamu kweli kuhusu huu mfumuko wa ghafla wa bei wa bidhaa mbalimbali na hasa zile muhimu? Au ndiyo ameamua tu kuwaachia wafanyabiashara wasio waaminifu kujiamulia vile wapendavyo...
Waku up side down tu huyu,hatujachelewa,nani mokozi wetu?
 
Sawa Ridhiwani,tuko pamoja
 
Umetisha sana

Mpwani naye yuko hoi, Halali usiku

Anawaona ndugu zake ambao walishakufaga
zamani.....

Ugali moto.....
mboga moto....
Ni halali asafiri kila kukicha.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Nchi inamshinda anazunguka kama pia!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Ndugu zako wa uamsho umewatoa,mbowe sio dini yako umeona umsingizie UGAIDI.HOVYO KABISA
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Atazunguka na kuongeza deni la taifa tu hakuna jipya
 
Uhusiano wa kidiplomasia kwanza ,huko ndipo tunapopata pesa!! Mikumi tena kwa SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…