Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

hongera mh hii hitasaidia kupubguza hewa ukaa na pia kuleta mirand ya kimazingira
 
Hao walio enda nje kutafuta connection miaka 10 walitufikisha wapi?

Ila si shangai Kikwete alikuwa anasafiri sana wakamwita Vasco dagama na wakamwita "Rais dhaifu....afuatili maswala ya kiserikali...".

Magu akaamua hasisafiri ila wasaidizi wake wawe wanamwakilisha kwenye mikutano ya kimataifa yy akiendelea kufuatilia shughuli za kiserikali mkasema anajifungua.

Mama leo anasafiri wanampongeza, kuna watu sigara kali,hao waliokuwa wakimponda Kikwete leo wanamsifia mama mpaka unahisi labda ni watu wawili tofauti.

Ila acha inyeshe tuone panapo toboka na pashaanza kuvuja ni swala la muda maji yaanze kujaa ndani.
 
Sijui huku kwetu musoma vijijini atakuja lini huyo Rais wenu
 

Walio karibu nae lazima wafurahi, maana wanapata posho Kama zote, ila safari ya rais MOJA ni gharama kubwa Sana , zipo safari anaweza tuma wa kumwakilisha.

Mfano tangu amechukua kiti ameenda Nchi ngapi? na mwa haujaisha, vipi Mpaka 2025?
 
Walio karibu nae lazima wafurahi, maana wanapata posho Kama zote, ila safari ya rais MOJA ni gharama kubwa Sana , zipo safari anaweza tuma wa kumwakilisha,
Mfano tangu amechukua kiti ameenda Nchi ngapi? na mwa haujaisha, vipi Mpaka 2025?
Mkuu sisi bado tunaiitaji dunia kusonga mbele, uwepo wake yeye kule ni mkubwa mno kuliko wawakilishi! Wewe ukiwa Rais wa nchi hii utajifungia ndani na kuzuia watu wote kusafiri kama Jiwe?
 
Kuhutubia tena? Watu wa Hangaya ni kiboko kwa propaganda. COP26 Hangaya amhutubie Nani Bill Gates? Uwanja upi hapo Glasgow, Strathclyde university?
 
Waziri ofisi ya makamu wa raisi muungano mazingira na waziri wa mambo ya nje kazi zao ni zipi kama sio matumizi mabaya ya kodi za wananchi?
 
Walio karibu nae lazima wafurahi, maana wanapata posho Kama zote, ila safari ya rais MOJA ni gharama kubwa Sana , zipo safari anaweza tuma wa kumwakilisha,
Mfano tangu amechukua kiti ameenda Nchi ngapi? na mwa haujaisha, vipi Mpaka 2025?
Mi naomba kuuliza HV rais analoalikwa kwenye international conference km hyoo hzo garama wanamlipia? Au zinatoka ndani ya nchi
 
Safari moja tu ya UN imeleta pesa zinagawiwa kwenye kila mkoa pengine hii ya sasa na yenyewe itakuja na pesa nyingine nyingi. Punguza kuwa inferior kila unapomuongelea rais wa awamu ya sita.
Acha kudanganya watu...pesa IMF has nothing to do na safari za mama UN..mchakato wa hizo pesa ulianza kabla ht ya safari ya UN na hauna uhusiano na UN.
 
Anakwendannq ndege gani, eabasi au imarati ya dubai
 
Anakwendannq ndege gani, eabasi au imarati ya dubai
Tunaenda na Eya Basi yetu hii hapa bhana! ✈️🛫🛬 Rais mzima unapandaje ndege ya abiria na wakati midege yetu imejaa tu pale JNIA!
 
Sasa mtu anaiba matrilion hazina hadi rambirambi si angesafiri tu? Tatizo lilikuwa kiingereza na exposure. Kutudanganya eti alikuwa anabana matumizi ni uwongo tu.

Acha aendelee kuchezea vitasa huko kuzimu!
Ni aibu kiongozi wa nchi kuwa muongo kama mwendazake....eti anasevu matumizi kumbe English hakuna, kuna pacemaker ingefumuka.

Tumedanganywa vya kutosha. Mama safiri katutafutie, huko kwa watu weupe ndipo maarifa yanakopatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…