Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Tulikuwa na Rais local sana, anakula mahindi ya kuchoma barabarani, ananunua jogoo kwa mkulima, anakaa eti kwenye vijiwe vya kahawa.Hawa watu wajinga sana Mkuu, Joe anaongoza nchi yenye nguvu zaidi kiuchumi kwa sasa kuliko nchi nyingine yeyote, ila haachi kwenda nchi nyingine (hata kama maskini) kutafuta connections, Jana alikuwa Vatican, leo atakuwa Roma, then anaunga juu kwa juu kwenda kwenye huu mkutano wa CC, akitoka hapo I think ataenda kuonana na Queen! Ila hii mijamaa ya mwendazake wanataka rais aende Mbinga kutatua mgogoro wa ardhi wa wakulima wa kahawa, nini kazi ya waziri mkuu? waziri? Naibu waziri? Katibu wa wizara? wakurugenzi wa idara za wizara? RCs, DCs, DEDs? Tumeshatoka kwenye zama za ushamba na hatutorudi tena huko
Ushamba mzigo sana, tusirudi kule kamwe