Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Kabisa mkuu mama anapenda safari Sana aisee , kwamba hawezi wakilishwa , ni lazima yeye tu ,
Haendi na ndege ya serikali, and huo mkutano wakuu wengi wa nchi wanahudhuria! What do you want guys? Rais asiposafiri mnamuita mshamba, akisafiri mnasema anapenda kusafiri? Mnataka nini for your country? Hamueleweki kabisa...And kuhusu kuwakilishwa unadhani Biden, Boris, Rais wa WB watabother na muwakilishi wa Rais??
 
Mume wa Samia unamtaka wa nini? Aje aku............
 
Kabisa mkuu mama anapenda safari Sana aisee , kwamba hawezi wakilishwa , ni lazima yeye tu ,

AF376090-5B4A-4714-BF2A-28702C626AD0.jpeg
 
Rais kwenda scoland msafara wake anaambatana na nani? Ni muhimu kutambua wanaofuatana naye kwani safari hiyo pia inatumia kodi za watanzania

106D006D-B6D8-473C-A8E3-C798E2F85582.jpeg
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26).

Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia atakutana kuzungumza na baadhi Wakuu wa Nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara wakubwa.

View attachment 1990991
Mama kabebeshwa mzigo wa madeni hadi haelewi atalipa vipi.Mwendazake was useless president ever..

SSH chakarika japo hao walioitwa mabeberu wakupunguzie madeni na sisi tupate nafuu mtaani.

Kila la heri na safari njema, uzuri safari zako zote zimekuwa na matokeo chanya kama hivi👇

Screenshot_20211027-081711.png

Screenshot_20211029-091011.png
 
Rais kwenda scoland msafara wake anaambatana na nani? Ni muhimu kutambua wanaofuatana naye kwani safari hiyo pia inatumia kodi za watanzania

View attachment 1991597
Anaenda na Jafo, naye akasafishe macho maana kipindi cha Gaidi hajawahi hata kwenda Kenya, and Juzi tu hapa alikuwa Saudi Arabia, Gaidi alizuia watu hata kusafiri, foock him, and let him Rot In hell
 
Rais kwenda scoland msafara wake anaambatana na nani? Ni muhimu kutambua wanaofuatana naye kwani safari hiyo pia inatumia kodi za watanzania

View attachment 1991597
Kwani lazima? Ushaambiwa pamoja na mambo mengine atakutana na wafanyabiashara hivyo huenda kuna wafanyabiashara..

Sera ya Sasa ni moja kutafuta wawekezaji ndio maana kila kiongozi anahaha kwa ajili ya hilo kwa sababu uchumi ulianguka 👇

Screenshot_20211030-072041.png
 
Anaenda na Jafo, naye akasafishe macho maana kipindi cha Gaidi hajawahi hata kwenda Kenya, and Juzi tu hapa alikuwa Saudi Arabia, Gaidi alizuia watu hata kusafiri, foock him, and let him Rot In hell
Hayo ni maelezo yako . Soma barua
 
Mama kabebeshwa mzigo wa madeni hadi haelewi atalipa vipi.Mwendazake was useless president ever..

SSH chakarika japo hao walioitwa mabeberu wakupunguzie madeni na sisi tupate nafuu mtaani.

Kila la heri na safari njema, uzuri safari zako zote zimekuwa na matokeo chanya kama hivi👇

View attachment 1991602

View attachment 1991603
Lijamaa lilikuwa linakopa mikopo ya kishamba and likiwa majukwaani linadanganya "Machinga" eti tunatumia hela yetu ya ndani
 
Wakati nchi inatangazwa imeingia uchumi wa kati , hakujulishwa?
Huyo jamaa yako hata maana ya uchumi wa kati hajui, alikuwa anaropoka tu kama zuzu, Rais wa kwanza kufa akiwa madarakani, hiyo ndiyo rekodi pekee aliyoweka, STUPID HIM
 
Back
Top Bottom