Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Sasa mtu anaiba matrilion hazina hadi rambirambi si angesafiri tu? Tatizo lilikuwa kiingereza na exposure. Kutudanganya eti alikuwa anabana matumizi ni uwongo tu.

Acha aendelee kuchezea vitasa huko kuzimu!
wote ni mavumbi na mavumbini Tutarudi.!!!!

hongera kwa ww ambaye utaishi milele

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni serikali ya kina vasco da gama.

Angalia Makamba alikua anazurula uarabuni eti anapeleka ujumbe maalum wa rais Samia Suluhu.

Ukiangalia perdiem zao utalia. Enzi zile za jk walikua wanatembea na mabegi yamejaa dolar, sasa sijui wanatembea na kirikuu ama kitu gani.

Rais kusafiri sio shida ila sio kusafiri safiri kila siku uko safari. Enzi za kikwete washkaji walimuwekea ratiba ya miaka 5 mbele, ukitoka hapa unaenda hapa unaenda pale unaenda kule.

Kazi ipo.
Duh eti wanatembea na mabegi yamejaa madola,hivi ukiombwa ushahidi si utaba mavi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Biden kaapishwa January, overseas trip = 5 trips, mama yetu kaapishwa March, trip =10.
Mzee wa msoga anampoteza mama Yetu. watu wanamtoa mama nje ili huku nyuma watupige...mama zaidi ya mialiko ya kufungua shughuli fulani na hizi trip za nje hakuna kingine anafanya...amekua km mkulima wa tikiti kwa watsap, haendi field kukagua miradi.
 
Ila ccm hawanaga akili, wakati wa Magu wakaanzisha akae madarakani hadi 2035, sasa wameanza tena Samia akae hadi 2040 . ukiwa CCM sijui akili inahamia wapi
 
Biden kaapishwa January, overseas trip = 5 trips, mama yetu kaapishwa March, trip =10.
Mzee wa msoga anampoteza mama Yetu. watu wanamtoa mama nje ili huku nyuma watupige...mama zaidi ya mialiko ya kufungua shughuli fulani na hizi trip za nje hakuna kingine anafanya...amekua km mkulima wa tikiti kwa watsap, haendi field kukagua miradi.
Nani asiyejua kama hizo ziara zenyewe anamtafutia yeye Jk hata hizo hotuba anamtafutia yeye, ajiweke tu wazi asijifiche
 
Duh eti wanatembea na mabegi yamejaa madola,hivi ukiombwa ushahidi si utaba mavi
sasa unabisha nini ? kama una mtu NMB muulize, siku moja kabla ya safari land cruiser za Ikulu na za foreign affairs zinakwenda benki kuchukua dollar. Wakiwa safarini wanabeba dollar cash kwenye ma briefcase ambazo Rais na msafara una access nazo. Magufuli ndio alikatisha huu ujangili. Usibishe bro, wabeba briefcase wengine tunawajua personally, hatuwezi kutaja majina humu... hii nchi imechezewa sana.... nasikia anasafiri na Kikwete, Ukikwete umerudi in full effect, Mzee hana chembe ya uzalendo...
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26)

Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia atakutana kuzungumza na baadhi Wakuu wa Nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara wakubwa

View attachment 1990991
Kazi ya Tony Blair
 
Sina shida na safari za mama...
Watanzania tunataka kuona vitu vina happen..

Safii.. ushamfix Musiba, Sabaya...bado Mbowe.
Fix all these m'fkers.

We wanna keep going.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 30 Oktoba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26...
Mkutano huo wa COP 26 Rais hajawahi kuhudhuria tangu 2015-2021 march, huu mkutano wa mwaka huu una nini cha ziada?
 
Back
Top Bottom