Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Sina shida na safari za mama...
Watanzania tunataka kuona vitu vina happen..

Safii.. ushamfix Musiba, Sabaya...bado Mbowe.
Fix all these m'fkers.

We wanna keep going.
Hahaha! Mwamba mtoto wa mjini kitambo, anachomoka! Hao akina Sabaya walivamia miji kibwegebwege! Ila amfix na Mfckn Bashite (Mshamba mwingine)
 
Jpm alipokuwa hasafiri watu humu walikuwa wana panda

Mama anasafiri wanalalamika

Siku zote nasema watanzania mpaka sasa hatujuwi tunataka nini

Wao wanataka Mama aishi kama yuko kisiwani jibondo

Ova
Tunataka Rais Mwanaume!
 
Mkutano huo wa COP 26 Rais hajawahi kuhudhuria tangu 2015-2021 march, huu mkutano wa mwaka huu una nini cha ziada?
Climate Change ni issue sensitive sana kwa sasa, Tumetangaziwa juzi kuna mikoa itakosa mvua mwaka huu which itapelekea uzalishaji mdogo wa chakula na hiyo inasababishwa na CC, CC inapelekwa kwa kasi na shughuli za binadamu za siku kwa siku, so wanataka angalau kujaribu kuzipunguza hizo shughuli kwa majadiliano, Marais wa nchi nyingi watahudhuria, Rais wa China hatohudhuria physically and ameshutumiwa sana kwa hilo! 2015-2021 tuliamua kujitenga na dunia kutokana na mawazo ya mtu mmoja tu aliyekuwa ANAPAMBANA VITA VYA KIUCHUMI
 
Wakati tunaamua kujitenga na dunia kuanzia mwaka 2015-21 Samia alikuwa wapi? Hakunaliona hilo? Au alikuwa anafanya kazi kwenye serikali nyingine? Je huko anskokwenda hakuna ubalozi utuwakilishe?
 
Tunataka Rais Mwanaume!

E32677B2-3E9A-4102-B26B-D3E9FC4982D4.jpeg
 
Wakati tunaamua kujitenga na dunia kuanzia mwaka 2015-21 Samia alikuwa wapi? Hakunaliona hilo? Au alikuwa anafanya kazi kwenye serikali nyingine? Je huko anskokwenda hakuna ubalozi utuwakilishe?
Alikuwepo, ila kiongozi Mkuu alikumbatia kila kitu, hamna aliweza kuinua mdomo! Hata huko upinzani ulipo kuna wengine walikimbia nchi! Balozi anaweza kuwakilisha nchi, ila hana impact kubwa ya kuweza kusikilizwa na akina Xi, Boris, Joe na wengineo! Akienda Hangaya mwenyewe at least wanaoiendesha dunia wanaweza kukaa naye chini!! Ni sawa na wewe kumtuma Son wako kwenye kikao serious cha wababa wa mtaa, atasikilizwa, lakini hawatamchukulia kwa uzito kama wewe mwenyewe ungekuwepo
 
Hatuwezi kurudi enzi za giza za Mwendazake aliyeifanya Tanzania kama kisiwa. Yule alikuwa hasafiri kwa sababu defibrillator aliyowekewa ilikuwa inamlimit kupanda Ndege kwa muda mrefu. Ukweli huu hakuusema ila alidanganya akasema anabana matumizi.

Nayo English ilikuwa ni mtihani mwingine
 
Alikuwepo, ila kiongozi Mkuu alikumbatia kila kitu, hamna aliweza kuinua mdomo! Hata huko upinzani ulipo kuna wengine walikimbia nchi! Balozi anaweza kuwakilisha nchi, ila hana impact kubwa ya kuweza kusikilizwa na akina Xi, Boris, Joe na wengineo! Akienda Hangaya mwenyewe at least wanaoiendesha dunia wanaweza kukaa naye chini!! Ni sawa na wewe kumtuma Son wako kwenye kikao serious cha wababa wa mtaa, atasikilizwa, lakini hawatamchukulia kwa uzito kama wewe mwenyewe ungekuwepo
Nikimuona mume wake ameambatana naye kwenye safari ya scotland nitahamia chadema
 
Hatuwezi kurudi enzi za giza za Mwendazake aliyeifanya Tanzania kama kisiwa. Yule alikuwa hasafiri kwa sababu defibrillator aliyiwekewa ilikuwa inamlimit kupanda Ndege kwa muda mrefu. Ukweli huu hakuusema ila alifanganya akasema anabana matumizi.

Nayo English ilikuwa ni mtihani mwingine
Hawa watu wajinga sana Mkuu, Joe anaongoza nchi yenye nguvu zaidi kiuchumi kwa sasa kuliko nchi nyingine yeyote, ila haachi kwenda nchi nyingine (hata kama maskini) kutafuta connections, Jana alikuwa Vatican, leo atakuwa Roma, then anaunga juu kwa juu kwenda kwenye huu mkutano wa CC, akitoka hapo I think ataenda kuonana na Queen! Ila hii mijamaa ya mwendazake wanataka rais aende Mbinga kutatua mgogoro wa ardhi wa wakulima wa kahawa, nini kazi ya waziri mkuu? waziri? Naibu waziri? Katibu wa wizara? wakurugenzi wa idara za wizara? RCs, DCs, DEDs? Tumeshatoka kwenye zama za ushamba na hatutorudi tena huko
 
Nikimuona mume wake ameambatana naye kwenye safari ya scotland nitahamia chadema
So sad, watu kama wewe ndiyo mnafanya CCM kionekane chama cha vilaza, and sidhani kama CDM wanaweza kukupokea kilaza kama wewe
 
Back
Top Bottom