Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

Katiba mpya

Ajira kwa vijana

Umeme na maji

Afya

Bei ya mafuta

Haya ndio mambo yanayomgusa mwananchi kwa upande wangu.
 

Wewe si mwenzetu mikopo lazima ichukuliwe 10% tutaipata wapi ?.
 
Najua tatizo alikuwa msukuma! Haya huyo hapo bibiyenu!
Tangu aingie umesikia Nani katekwa!? Au Nani kapigwa risasi ,au chombo gani Cha habari kimefungiwa? siunaona kutwa mnamtukana lakini Wala polisi hawaangaiki na nyinyi?!, Sasaivi mna Uhuru wakuongea mnavyotaka nyie matahira, hila mnaenda kutiwa adabu muda simrefu, maana imegundulika mshazoea tabu mbwa nyie
 
Kwani huyu Rais ni wa chama gani?
 
Jiwe aliwahi kuhutubia taifa ?
 
Katika mambo yote uliyaandika hapo ya msingi ni la 2 na la 3 pekee hayo mengine yanayo baki hayana msingi wowote kuyaongelea .
Jambo la muhimu kuliko yote ni katiba mpya.
 
Atatueleza nia yake ya kuendelea kukopa kukopa kukopa . Tukifika 120 Trilion titaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…