Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Kufa umfuate!Aliweza mkapa kutuzungumzia kero za watanzania na kuzitatua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa umfuate!Aliweza mkapa kutuzungumzia kero za watanzania na kuzitatua
Alaa, sasaivi mmemkana dikteta magufuli mmehamia kwa JK, 😁Hizi mambo aliweza JK
Hauwezi kupumua pasipo kimuwaza jpm ,ata kitafuna ubongo mpaka unapoingia kaburini swine wewe.Walinda legacy ya udikteta uchwara mkafilie mbali.
Katiba mpyaAkitaka hotuna yake iwe na maana kwa watanzania aguse mambo ya msingi yanayolihusu taifa kwa sasa.
1. Katiba Mpya.
2. Uhuru wa vyombo vya habari.
3. Kubambikia wapinzani kesi za uongo.
4. Ajira.
Mambo mengine kama;
- SGR
- Ujenzi wa vyumba vya madarasa.
- Vituo vya afya na barabara nayo ni muhimu lakini tumeshazoea kuyasikia.
Kuna mambo muhimu ya kuyazungumzia na kuyatolea maamuzi.
1. Kuondolewa isivyo halali kwa wafanyabiashara wadogo.
2. Kupanda kusikohalali kwa bei za bidhaa na huduma.
3. Kukatika hovyo kwa umeme na kukosekana kwa maji.
4. Ajira hakuna.
5. Hali ya uchumi ni mbovu fedha hakuna kwenye mzunguko.
6. Mikopo isiyokuwa na ulazima kuchukuliwa.
__________________
Serikali inapaswa kupunguza deni la ndani ili walau fedha ionekane na ipunguze kushindana na wananchi kukopa fedha za ndani.
Najua tatizo alikuwa msukuma! Haya huyo hapo bibiyenu!Za dikteta msukuma mwenzenu hotuba zake zilijaa matusi,kejeli na pumba tupu, kichwani alikuwa mweupe
Ingia youtube au twitter... hotuba ya TL inapatika kwa link ipi tafadhali?
Tangu aingie umesikia Nani katekwa!? Au Nani kapigwa risasi ,au chombo gani Cha habari kimefungiwa? siunaona kutwa mnamtukana lakini Wala polisi hawaangaiki na nyinyi?!, Sasaivi mna Uhuru wakuongea mnavyotaka nyie matahira, hila mnaenda kutiwa adabu muda simrefu, maana imegundulika mshazoea tabu mbwa nyieNajua tatizo alikuwa msukuma! Haya huyo hapo bibiyenu!
Kwani huyu Rais ni wa chama gani?Kuna mambo muhimu ya kuyazungumzia na kuyatolea maamuzi.
1. Kuondolewa isivyo halali kwa wafanyabiashara wadogo.
2. Kupanda kusikohalali kwa bei za bidhaa na huduma.
3. Kukatika hovyo kwa umeme na kukosekana kwa maji.
4. Ajira hakuna.
5. Hali ya uchumi ni mbovu fedha hakuna kwenye mzunguko.
6. Mikopo isiyokuwa na ulazima kuchukuliwa.
__________________
Serikali inapaswa kupunguza deni la ndani ili walau fedha ionekane na ipunguze kushindana na wananchi kukopa fedha za ndani.
Jiwe aliwahi kuhutubia taifa ?Kuna mambo muhimu ya kuyazungumzia na kuyatolea maamuzi.
1. Kuondolewa isivyo halali kwa wafanyabiashara wadogo.
2. Kupanda kusikohalali kwa bei za bidhaa na huduma.
3. Kukatika hovyo kwa umeme na kukosekana kwa maji.
4. Ajira hakuna.
5. Hali ya uchumi ni mbovu fedha hakuna kwenye mzunguko.
6. Mikopo isiyokuwa na ulazima kuchukuliwa.
__________________
Serikali inapaswa kupunguza deni la ndani ili walau fedha ionekane na ipunguze kushindana na wananchi kukopa fedha za ndani.
Jambo la muhimu kuliko yote ni katiba mpya.Katika mambo yote uliyaandika hapo ya msingi ni la 2 na la 3 pekee hayo mengine yanayo baki hayana msingi wowote kuyaongelea .
Dikteta uchwara hakuwa na muda huo.Jiwe aliwahi kuhutubia taifa ?
Atatueleza nia yake ya kuendelea kukopa kukopa kukopa . Tukifika 120 Trilion titaelewanaHaya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.
Stay tuned.
View attachment 2063552