Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

Your browser is not able to display this video.
 
tunu ya taifa na umoja wa taifa inafunga makanisa? au umechokoza ili tuseme ya moyoni.
 
tunu ya taifa na umoja wa taifa inafunga makanisa? au umechokoza ili tuseme ya moyoni.
taasisi za dini na asasi za kiraia zinazokiua utaratibu wa usajili wa kisheria ni lazima zifungwe kwa mujibu wa sheria gentleman, wala hakuna mbambamba kwenye hilo
 
taasisi za dini na asasi za kiraia zinazokiua utaratibu wa usajili wa kisheria ni lazima zifungwe kwa mujibu wa sheria gentleman, wala hakuna mbambamba kwenye hilo
utaratibu gani ufufuo na uzima umekiuka? na kama ninyi ni wababe, mbona katoliki hamna uwezo wowote kuwafunga na kila askofu nchi nzima wameongea?
 
utaratibu gani ufufuo na uzima umekiuka? na kama ninyi ni wababe, mbona katoliki hamna uwezo wowote kuwafunga na kila askofu nchi nzima wameongea?
utaratibu uko wazi kwa wahusika wote wenye taasisi,

na kama nilivyoeleza awali,
hakuna mzaha, hakuna haya wala hakuna huruma kwa taasisi au asasi itakayokiuka masharti ya kisheria yaliyowekwa na katiba ya nchi.
 
Tunu zenyewe sasa za taifa, nacheka kijinga sana
 


Kwa sasa watanzania hawana shida
Shida iko ndani yenu ccm wenyewe
 
Endelea kupambania uteuzi labda utakumbukwa siku zijazo
mimi nimeteuliwa na wananchi japo sistahili gentleman,

nimeona ni vema kuelezea wadu wa JF kwa kujitolea tunu hii ya amani na umoja wa waTanzania ambayo ni Dr.SAMIA SULUHU HASSAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…