Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA KWELI LAKINI JAPO STAKI KUAMINI HILI..interest zake za kibaguzi za ukanda.
Umeelewa kilichosemwa?Kuuliza sio ujinga. Aliyekuwa Rais (JPM) na Makamu wa Rais SSH wakati ule waliukataa huu mradi. Miezi mitatu baada ya kifo Cha JPM , aliyekuwa Makamu wa Rais Kawa Rais anaukubali tena huo mradi. Je hawa viongozi wawili wakati wa uongozi wao walikuwa wanafanya maamuzi kwa kushirikiana?
Sasa mbona umeacha kaburi limejaa majani"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja"!
kufufua mazungumzo.Kuufufua kwa terms zipi? nilitegemea aseme kuupitia upya huo mradi ajiridhishe na vipengele vilivyomo coz nae alikuwa sehemu ya serikali iliyopita iliyoukataa huo mradi.
Yes. It is a correct track to economic development through FDI. "Hongera sana Mama. Ila ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!!?"Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara.
Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma na Linganga kuwa nao mazungumzo yanaendelea ili waone mwekezaji atatoa ngapi na Serikali ngapi ili kuweza kuendeleza mradi huo. Akaongeza kuwa chuma imepanda bei duniani hivyo ni wakatk sahihi wa Tanzania kuchamka.
View attachment 1830564
Pia soma:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo jua tayari mambo yananza! Mazungumzo?Umeelewa kilichosemwa?
TUNAFUFUA MAZUNGUMZO, SIYO KWAMBA TUNASAINI MKATABA
Mazungumzo yakiwa mazur tukakubalianai ndo tutasaini mkataba
Hili jibu lako limeridhia kuifanya hii mikataba iendelee kuwa siri, what if wakifufua mazungumzo wakaendelea na terms za zamani?kufufua mazungumzo.
Kwenye mazungumzo ndo tutaweka terms zetu mezani wachina wasuke au wanyoe
Kwani bwana mpango anasemajeKuuliza sio ujinga. Aliyekuwa Rais (JPM) na Makamu wa Rais SSH wakati ule waliukataa huu mradi. Miezi mitatu baada ya kifo Cha JPM , aliyekuwa Makamu wa Rais Kawa Rais anaukubali tena huo mradi. Je hawa viongozi wawili wakati wa uongozi wao walikuwa wanafanya maamuzi kwa kushirikiana?
Ungekuwa na ujasiri wa kuhoji haya kipindi kile Cha dikteta, tungekuona una akiliHili jibu lako limeridhia kuifanya hii mikataba iendelee kuwa siri, what if wakifufua mazungumzo wataendelea na terms za zamani?
Tuna imani na serikali yetu adhimu ya BI MKUBWA kuwa itazingatia maslahi ya taifa, penye mapungufu itarekebisha penye maslahi itashadadiaHili jibu lako limeridhia kuifanya hii mikataba iendelee kuwa siri, what if wakifufua mazungumzo wataendelea na terms za zamani?