Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

Umeelewa kilichosemwa?
TUNAFUFUA MAZUNGUMZO, SIYO KWAMBA TUNASAINI MKATABA
Mazungumzo yakiwa mazur tukakubalianai ndo tutasaini mkataba
 
Kuufufua kwa terms zipi? nilitegemea aseme kuupitia upya huo mradi ajiridhishe na vipengele vilivyomo coz nae alikuwa sehemu ya serikali iliyopita iliyoukataa huo mradi.
 
Kuna mtu nikimuangalia naona kabisa YUDA huyu hapaaaaaaaa ,sasa sijui alimuuza mwenzie kwa vipande vingapi !!!!!
 
Hii nchi ina wajinga wengi,

msichokijua ni kwamba Magu hakuwahi kuukataa mradi wa bagamoyo

Kilichotokea, Magu alitaka mkataba uangaliwe upya ili nchi inufaike

Magufuli hakua na ujinga na miradi isiyonufaisha taifa.
 
Kuufufua kwa terms zipi? nilitegemea aseme kuupitia upya huo mradi ajiridhishe na vipengele vilivyomo coz nae alikuwa sehemu ya serikali iliyopita iliyoukataa huo mradi.
kufufua mazungumzo.

Kwenye mazungumzo ndo tutaweka terms zetu mezani wachina wasuke au wanyoe
 
Yes. It is a correct track to economic development through FDI. "Hongera sana Mama. Ila ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!!?"
 
Afazali ata ijengwe hio bandari mizigo izid kuingia nchini na watz wazid kupata ajira na kubwa zaid bagamoyo izid kujengeka kibiashara ...ni wajinga wachache hawaezi ona hayaa
 
Umeelewa kilichosemwa?
TUNAFUFUA MAZUNGUMZO, SIYO KWAMBA TUNASAINI MKATABA
Mazungumzo yakiwa mazur tukakubalianai ndo tutasaini mkataba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo jua tayari mambo yananza! Mazungumzo?
 
kufufua mazungumzo.

Kwenye mazungumzo ndo tutaweka terms zetu mezani wachina wasuke au wanyoe
Hili jibu lako limeridhia kuifanya hii mikataba iendelee kuwa siri, what if wakifufua mazungumzo wakaendelea na terms za zamani?
 
Kwani bwana mpango anasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…