Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

Kilichobakia ndio kinamaliziwa maliziwa.

Wenye nchi wanakwenda kuwa watumwa kwenye nchi yao , amini nawaambieni.
Mchangiaji, wewe ni miongoni mwa wenye fikra duni, waliolishwa ujinga, halafu wakaamua kuishi nao.
 
By nature, Magufuli hakuwa kiongozi. Sidhani kama alielewa dhana ya ushirikishwaji, aliwaona wasaidizi wake, ka mifugo.
 
Serikali ifanye review ya kina ya mkataba uliokuwa usainiwe huko nyuma ama la kama ni kuanza upya mazungumzo huku yakilenga nchi kunufaika na sio tuu kuingia makubaliano au kusaini mikataba yenye terms za ajabu na zisizokuwa na manufaa kwa nchi na wananchi wake.
Ikiwezekana timu itakayooundwa iwe ni ya watu wenye weledi na watakaoangalia maslahi mapana ya nchi kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…