Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mliiba sana rasilimali za watanzaniaKumbe sasa mbona mnalalamikia fleiova,stend ya magufuli,daraja la busis bado lile bwawa la umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliiba sana rasilimali za watanzaniaKumbe sasa mbona mnalalamikia fleiova,stend ya magufuli,daraja la busis bado lile bwawa la umeme
Kumbe alikuwa anaumwa?Hii kitu ilikuwa tayari... ni mgogoro wa afya wa Magu ndio ulichelewesha. Angepata miezi mingine miwili angesaini Magu mwenyewe
Mataga kwa sasa ukikutana naye njiani mpitie mbali sana hachekewi kukupiga ngumiMama yangu kafikaje hapa? Anyway I meant no offense, ila kama ile comment yangu imekukwaza ipotezee tu.
Mama ni mtoto wa mjiniJamaa alipiga pesa ,
So itakuwa Mama aliweka ngumu na kutaka kuvunja huo Mkataba [emoji3]
Tangu lini CHAWA kama wewe ukawa na heshima?Sure, cha muhimu tuheshimiane kwa lugha zenye staha hata kama tuna mitazamo tofauti...
Nyuma ya Mama Kuna wapiga deal wanaojua kula na vipofuMama ni mtoto wa mjini
Kupiga wanaweza wakapiga cha msingi wasiwe wanakesha kujisifu kuwa wao ni wateule kutoka kwa mungu kama walivyo kuwa wanajisufu wale walio tanguliaNyuma ya Mama Kuna wapiga deal wanaojua kula na vipofu
Museveni alimtoa kafara Garang. How did he let him fly in a chopper?Hatujasahau yaliyompata Garang akitokea Uganda kwa mara ya mwisho!
😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎😎 😎 😎 😎 😎 [emoji95] [emoji95] [emoji95]
Kumbe na bado maana chama ni kile kileVipi ushatoka chato kwenye zamu ya kulinda kaburi?
Mliiba sana rasilimali za watanzania
Ilikuwa wasaini mwezi wa 3,sema ndio hivyo Magu akavutaKumbe alikuwa anaumwa?
Yule alikuwa Solomon sio M7.Jamani jamani jamani
Alizikwa na maaskofu mkuuMbona M7 hakuja kumzika rafiki yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mataga kwa sasa ukikutana naye njiani mpitie mbali sana hachekewi kukupiga ngumi
Sawa ila kuna ndugu jamaa na marafiki kati yao ni m7 na KagameAlizikwa na maaskofu mkuu
Wamechanganyikiwa Hawajuinla kufanyaMbona jiwe alikuwa anaitembelea hiyo uganda na hujawahi kumkosoa tena kwa kumvunjia heshima mama yetu rais wa nchi?
Hawamtaki maana kawakataa kuwapa nafasi ya kumuuzia habari za umbea na uchonganishi dhidi ya watawala na wapinzani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu, mimi mmoja kaisha nitukania mzazi wangu, hakika wamevurugwa, kwani SSH siyo mwenzao??
Hakika hiki ni kipindi chao kigumu sana maishani mwao.Wamechanganyikiwa Hawajuinla kufanya