Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 494
Maswali mengine bwana...umeambiwa wataelekezwa kuhusu vigezo Sasa wewe unauliza kitu gani...inaelekea hata kusafiri huwa husafiri ndani ya nchi...kutangaza wilaya siyo ishu kwa nchi Hii...si umeona ubungo?Wilaya zake ni zipi ?
TokaapaHiyo haitoshi kumuenzi jiwe wetu. Awekwe kwenye fedha yetu kama alivyo Nyerere
sasa kigoma kuna watu au waha??Tokaapa
Mama kashtukia wanataka kumuingiza chaka.Mama amenifurahisha sana. Sasa tuna mwanga. Tanzania iko salama chini ya Mama Samia. Haya ndio maneno ya Kiongozi kuyaongea.. full busara. Si maamuzi ya mihemko (maana bwana fulani angesema kuanzia sasa Chato ni mkoa), kutaka sifa papo kwa papo huku unanyanyua kidevu ukitaka usifiwe kuwa wewe Yesu!!
kwani chato ikiwa mkoa wewe utapongukiwa nini,acha wivu kwa mambo yasiyo kuhusu
Hivi mchakato wa kuifanya Lupaso kuwa mkoa(ili kumuenzi hayati Rais wa 3rd term B W mkapa) umefikia wapi?Kajibu hivi
'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.'
Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio jibu la kukurupuka.
Jimbo la Lukuvi (Ismani) Iringa vijijini nadhani Chato inamezwa kwa ukubwa wake na mbuga ya Ruaha imo ndani ya Ismani kwanini huo usiwe mkoa?Mwanzo mlitoa visingizio gani, unakumbuka? Mlisema Chato iondolewe Mkoa wa Kagera kwa kuwa makao makuu ya mkoa yako mbali sana na Chato hivyo ni vema Chato ikahamishiwa Geita, mbona Biharamulo hawajawahi kulalamika wakati Chato na B'mulo is just a stone throw?
Sasa angalia kilicho kuja kutokea baada ya Chato kuhamishiwa Mkoa wa Geita mnageuza kibao eti hiyo haitoshi lazima papatikane Mkoa wa Chato, hivi Chato ina population gani au ukubwa wa eneo gani wa ku-justify kuwa Mkoa, hivi hii inaingia akilini kweli?
Mikoa ambayo ina maeneo makubwa ya kugawanywa mfano: Morogoro, Tabora na Tanga sio Chato - ukweli ndio huo, hakuna cha wivu wala nini - looking back now naona awamu ya sita ingefanya tafiti za kupunguza idadi ya Mikoa ibaki kama ilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza waongeze Wilaya sio Mikoa.
Huu utamaduni ulio anza kujengeka kuanzia utawala wa awamu ya tatu ambao kila waziri mkuu alihakikisha wilaya wanako toka zinakuwa Mikoa, badala ya kupunguza gharama za uendeshaji gharama zinaongezeka Exponentialy!!
chato ikiwa mkoa wewe utapungukiwa nini,huo bado nauitwa wivu,chuki na roho ya kwanini inakusubuaMwanzo mlitoa visingizio gani, unakumbuka? Mlisema Chato iondolewe Mkoa wa Kagera kwa kuwa makao makuu ya mkoa yako mbali sana na Chato hivyo ni vema Chato ikahamishiwa Geita, mbona Biharamulo hawajawahi kulalamika wakati Chato na B'mulo is just a stone throw?
Sasa angalia kilicho kuja kutokea baada ya Chato kuhamishiwa Mkoa wa Geita mnageuza kibao eti hiyo haitoshi lazima papatikane Mkoa wa Chato, hivi Chato ina population gani au ukubwa wa eneo gani wa ku-justify kuwa Mkoa, hivi hii inaingia akilini kweli?
Mikoa ambayo ina maeneo makubwa ya kugawanywa mfano: Morogoro, Tabora na Tanga sio Chato - ukweli ndio huo, hakuna cha wivu wala nini - looking back now naona awamu ya sita ingefanya tafiti za kupunguza idadi ya Mikoa ibaki kama ilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza waongeze Wilaya sio Mikoa.
Huu utamaduni ulio anza kujengeka kuanzia utawala wa awamu ya tatu ambao kila waziri mkuu alihakikisha wilaya wanako toka zinakuwa Mikoa, badala ya kupunguza gharama za uendeshaji gharama zinaongezeka Exponentialy!!
Mkuu si mtulie jamani? Hana jipya kuna maamuzi gani kafanya toka aapishwe ukiachia maswala ya msibamama hana jipya nashangaa watanzania wana very high expectations...But whyyyyy
Ukweli ni kuwa JPM alikuwa na mpango wa kuanzisha mkoa mpya wa Rubondo. Na chato ilikuwa itangazwe kuwa makao makuu ya mkoa wa Rubondo mwezi April mwaka huu atakapokuwa mapumziko ya pasaka.Mwanzo mlitoa visingizio gani, unakumbuka? Mlisema Chato iondolewe Mkoa wa Kagera kwa kuwa makao makuu ya mkoa yako mbali sana na Chato hivyo ni vema Chato ikahamishiwa Geita, mbona Biharamulo hawajawahi kulalamika wakati Chato na B'mulo is just a stone throw?
Sasa angalia kilicho kuja kutokea baada ya Chato kuhamishiwa Mkoa wa Geita mnageuza kibao eti hiyo haitoshi lazima papatikane Mkoa wa Chato, hivi Chato ina population gani au ukubwa wa eneo gani wa ku-justify kuwa Mkoa, hivi hii inaingia akilini kweli?
Mikoa ambayo ina maeneo makubwa ya kugawanywa mfano: Morogoro, Tabora na Tanga sio Chato - ukweli ndio huo, hakuna cha wivu wala nini - looking back now naona awamu ya sita ingefanya tafiti za kupunguza idadi ya Mikoa ibaki kama ilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza waongeze Wilaya sio Mikoa.
Huu utamaduni ulio anza kujengeka kuanzia utawala wa awamu ya tatu ambao kila waziri mkuu alihakikisha wilaya wanako toka zinakuwa Mikoa, badala ya kupunguza gharama za uendeshaji gharama zinaongezeka Exponentialy!!
Ni mahangaiko tu kama walivyofanya kumfutahisha Pinda matokeo Wilaya ikaitwa mkoa na Tarafa zikawa wilaya. Mpaka leo Mpanda mjini ndo mkoani na wilayani ukitoka hapo unakutana na Tarafa za Karema (Tanganyika) na Inyonga (Mlele) zilizogeuzwa wilaya lakini zimegoma kuwa wilaya halisi.Ungetaja kwanza sifa za sehemu kuwa Mkoa.
Pia usichanganye makao makuu ya Mkoa na Mkoa
Maana kuunda Mkoa ni simple tu unachukua Wilaya chache kutoka Mkoa jirani unaundwa Mkoa mpya kama ilivyofanywa kwa Geita, Simiyu, Katavi na Songwe hivi karibuni
Acha ujinga weweHiyo haitoshi kumuenzi jiwe wetu. Awekwe kwenye fedha yetu kama alivyo Nyerere