Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Huyu mama sasa namuona tofauti na mwanzo, alivyosema ile majuzi kwamba "Aliyesimama hapa ndiye Rais wa JMT" milikuwa sijaelewa ila leo nimemuelewa sana.

Najua wengi walitegemea kwamba leo leo atatamka wazi kwamba Chato ni Mkoa, lkn kweli huyu mama niwatofauti.
Taratibu zifuatwe na vigezo vizingatiwe full stop!
 
Wilaya zake ni zipi ?
Maswali mengine bwana...umeambiwa wataelekezwa kuhusu vigezo Sasa wewe unauliza kitu gani...inaelekea hata kusafiri huwa husafiri ndani ya nchi...kutangaza wilaya siyo ishu kwa nchi Hii...si umeona ubungo?
 
Mama amenifurahisha sana. Sasa tuna mwanga. Tanzania iko salama chini ya Mama Samia. Haya ndio maneno ya Kiongozi kuyaongea.. full busara. Si maamuzi ya mihemko (maana bwana fulani angesema kuanzia sasa Chato ni mkoa), kutaka sifa papo kwa papo huku unanyanyua kidevu ukitaka usifiwe kuwa wewe Yesu!!
 
Wapogolo tupiganie Ifakara iwe Mkoa na sisi ujitegemee, kuwe na wilaya zake za Mahenge, Kilombero, Malinyi, Mlimba na Ifakara.
Morogoro ivunjwe ibakie na Mjini, Mvomero, Morogoro Vijijini na Kilosa . Eneo la kutosha lipo na watu wa kutosha.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Mama amenifurahisha sana. Sasa tuna mwanga. Tanzania iko salama chini ya Mama Samia. Haya ndio maneno ya Kiongozi kuyaongea.. full busara. Si maamuzi ya mihemko (maana bwana fulani angesema kuanzia sasa Chato ni mkoa), kutaka sifa papo kwa papo huku unanyanyua kidevu ukitaka usifiwe kuwa wewe Yesu!!
Mama kashtukia wanataka kumuingiza chaka.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Je, ni kweli hako kawilaya kanafaa kweli kuwa mkoa? Nimesikia upo ktk hatua za mwisho kufanywa mkoa. Kwa kigezo gani haswa. Kwa pato lipi haswaa ipo pale. Toka marehemu amfukuze CAG Nilihitimisha urafiki nae na ufuasi wake.

Marehemu alikuwa ni mtu wa kipekee haswa, hivi inawezekanaje kufanya maamuzi yale

Dw kupitia kwa mwandishi wao nguli mchambuzi, Mohamed Selef kuwa marehemu alikuwa anapendwa sana sawa na Kiasi kile kile alivyochukiwaa.

Nawasilisha
 
kwani chato ikiwa mkoa wewe utapongukiwa nini,acha wivu kwa mambo yasiyo kuhusu

Mwanzo mlitoa visingizio gani, unakumbuka? Mlisema Chato iondolewe Mkoa wa Kagera kwa kuwa makao makuu ya mkoa yako mbali sana na Chato hivyo ni vema Chato ikahamishiwa Geita, mbona Biharamulo hawajawahi kulalamika wakati Chato na B'mulo is just a stone throw?

Sasa angalia kilicho kuja kutokea baada ya Chato kuhamishiwa Mkoa wa Geita mnageuza kibao eti hiyo haitoshi lazima papatikane Mkoa wa Chato, hivi Chato ina population gani au ukubwa wa eneo gani wa ku-justify kuwa Mkoa, hivi hii inaingia akilini kweli?

Mikoa ambayo ina maeneo makubwa ya kugawanywa mfano: Morogoro, Tabora na Tanga sio Chato - ukweli ndio huo, hakuna cha wivu wala nini - looking back now naona awamu ya sita ingefanya tafiti za kupunguza idadi ya Mikoa ibaki kama ilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza waongeze Wilaya sio Mikoa.

Huu utamaduni ulio anza kujengeka kuanzia utawala wa awamu ya tatu ambao kila waziri mkuu alihakikisha wilaya wanako toka zinakuwa Mikoa, badala ya kupunguza gharama za uendeshaji gharama zinaongezeka Exponentialy!!
 
Kwa mtu ambae anadai kamuelewa Magufuli mwanzo wake sio mzuri kabisa kwa speech yake ya leo.

Magufuli amefanya mengi sana mazuri kwa taifa lakini kuna mambo mengine aliyopeleka Chato hayastahili.

Kuna miradi ya kimkakati yenye manufaa kwa taifa Chato ambayo inafaa kuendelezwa kwa nguvu zote ikiwemo mbuga sio kwa sababu ipo Chato bali inamanufaa kwa kanda ya ziwa kwa upana wake, airport .ya Chato, daraja la Busisi; etc.

Na kuna mambo mengine yamefanyika Chato ambayo uwekezaji wake unahitaji criteria ambazo eneo hilo halina mfano kufikiria kuweka hospitali ya kanda Chato wakati hilo eneo halina vigezo vya kupewa huo uwekezaji kutokana na population density.

Hospitali ya aina hiyo inatakiwa kuwa Geita mjini, uwanja mkubwa wa mpira Chato wakati hawana hata timu on national league, Chato city centre aina ukubwa wa kufikiriwa kuwa mkoa and so on.

Kuna agenda za msingi za kitaifa ambazo Magufuli kaziacha kama kuhakikisha haki za wanyonge, kujenga infrustructure za kimkakati, uwajibikaji kwa watumishi umma na mambo mengine ya msingi. Huko ndio kuenzi uongozi wake sio anasa zake.

Sasa kwa kuanza tu kama raisi anafikiria kuenzi anasa za Magufuli Chato ina maana tunatatizo huyo mtu atakuwa wa kulipa fadhila and this is a serious problem.

Busara ni kuenzi national strategy na si kila anasa za Magufuli.

Hata kama anafuata philosophy za Magufuli she needs to be her own person; concentrating on national interest matters and those which yield largest societal utility.
 
Kajibu hivi

'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.'

Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio jibu la kukurupuka.
Hivi mchakato wa kuifanya Lupaso kuwa mkoa(ili kumuenzi hayati Rais wa 3rd term B W mkapa) umefikia wapi?
 
Mwanzo mlitoa visingizio gani, unakumbuka? Mlisema Chato iondolewe Mkoa wa Kagera kwa kuwa makao makuu ya mkoa yako mbali sana na Chato hivyo ni vema Chato ikahamishiwa Geita, mbona Biharamulo hawajawahi kulalamika wakati Chato na B'mulo is just a stone throw?

Sasa angalia kilicho kuja kutokea baada ya Chato kuhamishiwa Mkoa wa Geita mnageuza kibao eti hiyo haitoshi lazima papatikane Mkoa wa Chato, hivi Chato ina population gani au ukubwa wa eneo gani wa ku-justify kuwa Mkoa, hivi hii inaingia akilini kweli?

Mikoa ambayo ina maeneo makubwa ya kugawanywa mfano: Morogoro, Tabora na Tanga sio Chato - ukweli ndio huo, hakuna cha wivu wala nini - looking back now naona awamu ya sita ingefanya tafiti za kupunguza idadi ya Mikoa ibaki kama ilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza waongeze Wilaya sio Mikoa.

Huu utamaduni ulio anza kujengeka kuanzia utawala wa awamu ya tatu ambao kila waziri mkuu alihakikisha wilaya wanako toka zinakuwa Mikoa, badala ya kupunguza gharama za uendeshaji gharama zinaongezeka Exponentialy!!
Jimbo la Lukuvi (Ismani) Iringa vijijini nadhani Chato inamezwa kwa ukubwa wake na mbuga ya Ruaha imo ndani ya Ismani kwanini huo usiwe mkoa?

Magufuli was best lakini sio kila chake kienziwe.

Kuna miradi mingine ilikuwa inapendekezwa Chato kwa sababu wahusika walikuwa wanajipendejeza kwa raisi na yeye alikuwa anaikalia kimya kwa sababu kwao; lakini huo uwekezaji auna criteria ya kufanyika huko based on standard requirements.
 
Mwanzo mlitoa visingizio gani, unakumbuka? Mlisema Chato iondolewe Mkoa wa Kagera kwa kuwa makao makuu ya mkoa yako mbali sana na Chato hivyo ni vema Chato ikahamishiwa Geita, mbona Biharamulo hawajawahi kulalamika wakati Chato na B'mulo is just a stone throw?

Sasa angalia kilicho kuja kutokea baada ya Chato kuhamishiwa Mkoa wa Geita mnageuza kibao eti hiyo haitoshi lazima papatikane Mkoa wa Chato, hivi Chato ina population gani au ukubwa wa eneo gani wa ku-justify kuwa Mkoa, hivi hii inaingia akilini kweli?

Mikoa ambayo ina maeneo makubwa ya kugawanywa mfano: Morogoro, Tabora na Tanga sio Chato - ukweli ndio huo, hakuna cha wivu wala nini - looking back now naona awamu ya sita ingefanya tafiti za kupunguza idadi ya Mikoa ibaki kama ilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza waongeze Wilaya sio Mikoa.

Huu utamaduni ulio anza kujengeka kuanzia utawala wa awamu ya tatu ambao kila waziri mkuu alihakikisha wilaya wanako toka zinakuwa Mikoa, badala ya kupunguza gharama za uendeshaji gharama zinaongezeka Exponentialy!!
chato ikiwa mkoa wewe utapungukiwa nini,huo bado nauitwa wivu,chuki na roho ya kwanini inakusubua
 
Ukweli ni kuwa JPM alikuwa na mpango wa kuanzisha mkoa mpya wa Rubondo. Na chato ilikuwa itangazwe kuwa makao makuu ya mkoa wa Rubondo mwezi April mwaka huu atakapokuwa mapumziko ya pasaka.

Mipango hiyo ilikuwa imeshafanyika mapema kwa kujenga nadhani unakumbuka jinsi chato ilikuwa ikipendelewa kwa kujengewa vitu kama hospital ya rufaa, jengo la mahakama mkoa, msd head quarter, crdb mkoa, uwanja wa ndege na mengineyo. Ambavyo sisi tulikuwa tukihoji kwanini vitu hiyo na miundo msingi ya mkoa wa Geita inajengwa chato badala ya makao makuu ya mkoa? Kumbe ilikuwa ni mpango wa kuifanya chato kuwa makao makuu ya mkoa wa Rubondo.

Rais Samia kujibu hivyo si kwamba alikuwa hajui kinachoendelea, ila isipokuwa anaona kwa hakika ulikuwa ni upendeleo dhahiri ulofanywa na mtangulizi wake na hivyo haoni tija kuendelea nao, ndo maana kajibu kwa wepesi na kwa kidiplomasia kwa kuwambia "nasikia mlikuwa na mchakato, mkikidhi vigezo itakuwa".

Lakini hakika, hiyo ni chenga ya mwili hajataka tu kusema wazi, kwakuwa ilikuwa ni msibani, na yeye ndo punde tu kahold ofisi hakutaka kuibua hisia mseto juu hili, tena mapema hivi.
 
Ungetaja kwanza sifa za sehemu kuwa Mkoa.

Pia usichanganye makao makuu ya Mkoa na Mkoa

Maana kuunda Mkoa ni simple tu unachukua Wilaya chache kutoka Mkoa jirani unaundwa Mkoa mpya kama ilivyofanywa kwa Geita, Simiyu, Katavi na Songwe hivi karibuni
 
Ni mahangaiko tu kama walivyofanya kumfutahisha Pinda matokeo Wilaya ikaitwa mkoa na Tarafa zikawa wilaya. Mpaka leo Mpanda mjini ndo mkoani na wilayani ukitoka hapo unakutana na Tarafa za Karema (Tanganyika) na Inyonga (Mlele) zilizogeuzwa wilaya lakini zimegoma kuwa wilaya halisi.
 
Back
Top Bottom