Kifikra bado sana kwa sasa kuwa na umoja wa Africa, kuongeza mkoa ni kuleta serikali karibu zaidi na wananchiupuuzi tupu, na jiwe angesha ugawa huu mkoa, tunataka umoja wa afrika huku sisi tukiendelea kugawana kidogo kilichopo badala ya kuungana.
Yes sasa ndio tunasema, tuanze kupunguza mikoa, manyara irudishwe Arusha,Kifikra bado sana kwa sasa kuwa na umoja wa Africa, kuongeza mkoa ni kuleta serikali karibu zaidi na wananchi
Mkoa wa Geita na Tabora ni upi una idadi kubwa ya watu na nguvu ya kiuchumi ? Jibu ni rahisi GeitaaaaWalilewa madaraka hawa...Chato!
Badala ya kufikiria kugawa mkoa kama Moro,Tabora nk ...ukagawe Geita...very primitive argumentation...alichowafanyia vinawatosha!
Pesa itapungua thamaniHiyo haitoshi kumuenzi jiwe wetu. Awekwe kwenye fedha yetu kama alivyo Nyerere
Lini itakuwa dubaiItabidi nifike Chato maana
Sema wewe na mafisadi wenzio na mtamkumbuka sana kwa kuwanyoosha!
View attachment 1801050
Hupo sahihi sana. Leo hii hata ukiweka barabara za lami mitaa yote ya Chato na shule nzuri za msingi, bado hakuna atakayehama toka Dar, Mwanza au Arusha, akaishi Chato eti kwa sababu kuna barabara nzuri. Isipokuwa mjini Dar au Mwanza, au Arusha, kukiwa na eneo lenye miundombinu mizuri, ni kweli hilo eneo litavutia watu wengi kuishi.Serikali ikiamua kupandisha hadhi huwezi kuzuia huku jf. Acha tu pawe mkoa kwani inakuuma nini.
Kuna watu kufuata miundo mbinu na miundo mbinu kufuata watu. Ukitaka kuthibitisha hilo katika sehemu ulipo linganisha gharama ya eneo lililoko karibu na huduma za kijamii kama barabara,soko, shule, hospitali, n.k na eneo lililombali na huduma kama hizo
Ibilisi mbona tumemzika hapo kwenu ChatoKwanza ukifika tu lazima upotee kabisa!! Ibilisi mkubwa wewe.
Sasa hiyo tarafa ya Chato ina uchumi gani zaidi ya matumizi mabaya ya fedha za Watanzania Shs 2.4 zilizoibiwa na MwendazakeToa takwimu zako halali na unishawishi. Uchumi wa Tanzania utajengwa na watanzania wote siyo serikali tu.
We fala huwa una masuala kingese sana.Sasa hiyo tarafa ya Chato ina uchumi gani zaidi ya matumizi mabaya ya fedha za Watanzania Shs 2.4 zilizoibiwa na Mwendazake
Aisee. Kijiji kimekuwa Mkoa, siwezi amini! Hata Wilaya ilikuwa bado.Mpaka utakufa na stress....! Mkoa wa Chato umeshapitishwa tayari kilichobaki ni maandalizi tu ya kuutangaza.
Karibu mkoa mpya Chato wewe Ibilisi tuje tukumalizie hapa hapa Chato!!Ibilisi mbona tumemzika hapo kwenu Chato
Tunazungumzia mkoa siyo mji wala kijijiAisee. Kijiji kimekuwa Mkoa, siwezi amini! Hata Wilaya ilikuwa bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wako mdogo sana, rudia kusoma tena.Tunazungumzia mkoa siyo mji wala kijiji
Kumbe!!
Sasa hiyo tarafa ya Chato ina uchumi gani zaidi ya matumizi mabaya ya fedha za Watanzania Shs 2.4 zilizoibiwa na Mwendazake
Hii ni kama zile Hadithi za Abunuwasi!Tujadili mambo muhimu badala ya hii hadithi ya kutufikirisha chato