Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Huu ndio Uongozi kufuata sheria na sio kukurupuka tuu
 
Unajua maana ya kukidhi?
 
Sasa si kafa?? Kwanini watu walie,hadi wapoteze maisha?? Kwanini,..
Tafadhali jaribu kuficha upumbavu wako mbele ya hadhara hii
Hao walio zimia huku wameshikilia wanzuki mikononi na hawaachii hahahaaaaaa

Huu msiba umekuzwa kwa maslahi mapana ya walio ukuza hata lisu alipo rudi hapa alijaza watu hadi wana galagala yaan watu wengi kweli kweli , hakuna tukio linalo kosa wahudhuriaji

Usisahau hata kwa mwamposa watu walikuwa wwngi hadi walikufa pia
 
Hiki ni kiunzi cha awali kabisa mama amekiruka, naona wana Chato bado wana ndoto zilezile za enzi za Jiwe kufawanyia wanaChato kila wanachotaka
 
Ubinafsi umemsindikiza mpaka kaburini
 
Kama ufunguzi wa kituo cha mabasi ingekuwa bado kufunguliwa sasa hivi dar isingegawanyika kuwa jiji na manispaa zake
 
najaribu kufikiria tu:kwanini ujauzito wako haukutoka,? Kwanini ulimsumbua mama huyu asiye na hatia??
Kwamaana unataka ujidanganye hadi wew mwenyew?? Eti watu walikuwa na wanzuki?? Wote?? Pote alipopita wana act?? Vipi kuhusu mataifa mengine??
Kwanini usione aibu na kujitafakar upya kijana??
 
"Kuhusu suala la CHATO kuwa mkoa, nimekwisha kujulishwa kuwa mchakato umekwisha kuanza, sisi kama serikali tunaomba mkamilishe mchakato huo kisha mtuletee, Tukiona umekidhi vigezo tutaupandisha HADHI na Kama utakuwa haujakidhi vigezo tutawaambia nini cha kufanya ili ukidhi vigezo vya kuwa mkoa."- Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania
 
Ni kawaida yetu kushangaa hata mwanga akianguka na ungo, iweje mkuu wa nchi katutoka gafla!?
 
Kwasisi tunaoona kwa kutumia jicho la tatu, chato ni mkoa tayari ni suala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…