Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Mkoa wa chato utakuwa na wilaya zifuatazo:- 1. Katoro 2. Chato 3. Bukombe 4. Ngara 5. Biharamulo
Kwa kauli Mama, " endapo vigezo..." japo aliongeza kauli kuwapa faraja ....
Nina imani wataalamu na mifumo inakwenda kufanya kazi chini ya Mama tuachane na tamaa na umaarufu wa watu.
 
Nachompendea huyu mama ni muwaz na mkweli sio mtu wa kona kona na propaganda angekua yule bwana ungesikia kuanzia leo nasema mimi chato inekua mkoa chato oyeeeeeeeee
Watanzania wanajua kula na kipofu, kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, wanakusifiiiia weeeh kumbe wanalao wanalitaka.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
chato ikiwa mkoa wewe utapungukiwa nini,huo bado nauitwa wivu,chuki na roho ya kwanini inakusubua
Nenda zako, wivu gani? Taifa letu lisiruhusu brazen blatant favouritism and nepotism kufanyika tena with impunity - Chato has a choice aidha iendelee kubaki mkoani Geita au kama vipi irudi mkoani Kagera - hakuna haja ya kuendelea na mchakato sijui nini?

Tukiruhusu vitu vya ajabu kama hivi Taifa letu lita set a very bad precedent kila Rais atataka Wilaya aliko zaliwa uwe Mkoa na makao makuu yawe kijijini kwake - kama vipi basi, tuanze kufanyia mchakato Wilaya ya Bagamoyo iwe Mkoa na makao makuu ya Mkoa yawe kijijini alipo zaliwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete - ngoma iwe draw.
 
Kwa kufuata hali halisi ya sasa, ni mkoa wa Morogoro pekee(mingine inaweza kuwa ipo, ila kwa kipaumbele na umuhimu na ukubwa wa Jiografia) unaokidhi vigezo kuvunjwa na kupatikana mkoa mwingine. Kwa mfano, kutoka Morogoro mjini hadi Malinyi ni wastani wa Kilometa 420(huu ni umbali unaokaribia sawa na kutoka DSM hadi Dodoma au Lindi.
Mikoa mingine angalau inayoweza kuangaliwa tena ni Tanga(kule Songe ni mbali sana), Tabora, Lindi(ingawa hii Jiografia yake watu ni wachache ila mapori ni mengi), Ruvuma na hata Mbeya(Chunya ile ya karibu na Rungwa kule Tabora hadi Kyela ni masafa marefu)

Kwa kuanzia ungeundwa mkoa wa Kilombero au Ulanga na makao makuu yake yawe Ifakara. Umbali wa Ifakara hadi Morogoro mjini unakaribia umbali wa Iringa hadi Morogoro(301km) au Dar-Nangurukuru(300km), Iringa-Dodoma na Dodoma-Morogoro(zote km 260)
 
Ukweli ni kuwa JPM alikuwa na mpango wa kuanzisha mkoa mpya wa Rubondo. Na chato ilikuwa itangazwe kuwa makao makuu ya mkoa wa Rubondo mwezi April mwaka huu atakapokuwa mapumziko ya pasaka.

Mipango hiyo ilikuwa imeshafanyika mapema kwa kujenga nadhani unakumbuka jinsi chato ilikuwa ikipendelewa kwa kujengewa vitu kama hospital ya rufaa, jengo la mahakama mkoa, msd head quarter, crdb mkoa, uwanja wa ndege na mengineyo. Ambavyo sisi tulikuwa tukihoji kwanini vitu hiyo na miundo msingi ya mkoa wa Geita inajengwa chato badala ya makao makuu ya mkoa? Kumbe ilikuwa ni mpango wa kuifanya chato kuwa makao makuu ya mkoa wa Rubondo.

Rais Samia kujibu hivyo si kwamba alikuwa hajui kinachoendelea, ila isipokuwa anaona kwa hakika ulikuwa ni upendeleo dhahiri ulofanywa na mtangulizi wake na hivyo haoni tija kuendelea nao, ndo maana kajibu kwa wepesi na kwa kidiplomasia kwa kuwambia "nasikia mlikuwa na mchakato, mkikidhi vigezo itakuwa".

Lakini hakika, hiyo ni chenga ya mwili hajataka tu kusema wazi, kwakuwa ilikuwa ni msibani, na yeye ndo punde tu kahold ofisi hakutaka kuibua hisia mseto juu hili, tena mapema hivi.
Ni tabia ya Ubinafsi tu , Hivi ukishaitwa Mkoa then whats next kama sio kuongezea tu serikali gharama jamani , watu watumie akili , Rais yuko sahihi waangalie vigezo na imeonyesha yuko composed na hafanyi kazi kwa mihemuko la sivyo na ule msiba angeweza kutamka pale pale ili ashangiliwe ......
Chato ilikuwa sehemu ya wilaya ...lakini mwanzo kilikua tu Kijiji !! sasa kutaka iwe mkoa unapanua vipi au watachukua wilaya za mikoa mingine waunde Mkoa ...alafu whats next ??? Hakuna haja ya kuunda wilaya au mikoa zaidi ..kuipa kazi kila siku ya kujenga majengo mapya
 
Katika hili tumuombe Mh Rais kuangalia gharama ZA maamuzi haya. Sawa kuna wadau watapata fursa ZA ajira na uteuzi, kon ni vema kumuenzi Mwendazake kupunguza maamuzi ya serikali
 
Nenda zako, wivu gani? Taifa letu lisiruhusu brazen blatant favouritism and nepotism kufanyika tena with impunity - Chato has a choice aidha iendelee kubaki mkoani Geita au kama vipi irudi mkoani Kagera - hakuna haja ya kuendelea na mchakato sijui nini?

Tukiruhusu vitu vya ajabu kama hivi Taifa letu lita set a very bad precedent kila Rais atataka Wilaya aliko zaliwa uwe Mkoa na makao makuu yawe kijijini kwake - kama vipi basi, tuanze kufanyia mchakato Wilaya ya Bagamoyo iwe Mkoa na makao makuu ya Mkoa yawe kijijini alipo zaliwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete - ngoma iwe draw.
mbona unalazimisha mambo ambayo huna uwezo nayo, vp tangu kuzaliwa kwako ulishawahi kupata mwaliko hata wa mkuu wa mkoa wako??? Usijichoshe waache wenye nchi waamue watakavyo
 
Apige chini huo upuuzi..... Sana sana aanue lami na vitu vingine vyote vilivyopo chato international Airport apeleke sehemu zenye tija kwa taifa kabla hazijawa scraper 😎😎
 
Hivi bado kuna mtu anaamini chato itaja kuwa mkoa!![emoji16][emoji16]
 
Chato itabakia kuwa Gbadolite ya Tanzania. Mungu hakupenda ujinga na UPUMBAVU wa Mwendazake kuchukua raslimali za nchi na kwenda kuzirundika kijijini kwake Chato.

Ndiyo maana akamdedisha. Magufuli alikuwa IBILISI. Ni misukule yake tu ndiyo imebaki inamuita shujaa wa Afrika. Labda wa Afrika Sana pale Corner bar
 
Back
Top Bottom