Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Mama anafuata Ilani ya CCM. Na hao watu wanaoishi huko ni watanzania kama waishio Dar.
 
For sure mleta uzi utakuwa mchagga muuza duka, kama mnataka tuchapane vita bya wenyewe kwa wenyewe nyie wachaga jaribuni kusimamisha ujenzi wa hilo daraja, pambaf zenu
Naunga mkono hoja
 
Wewe Ni Bata Pori!! Mtoa mada .....

Jitathimin!!!
 
Asante bro, yule kibib kzee cha marekani kilinikera, eti matajir wanachukiwa...yaani basi tu..
 
Pumbavu zako jinga kubwa wewe,unadhani pale wanaishi waNyarwanda ya kwamba hawahitaji hilo daraja?

Kila mTanzania ana haki ya kuhudumiwa na serikali yake,we kama hukai Misungwi au Sengerema tafuta kinacho kufaa kwako then omba serikali itende.

Kila mradi una manufaa kwa watu ktk eneo husika.

Jinga kabisa wewe
 
Mkuu mbona umemshambulia sana moderator .
Vip una maslai mapana na huo mradi
Anyway kila moja na maoni yake kikubwa ni maendeleo endelevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo sio ushauri wala maoni ila ni mihemko, ukitenga dk5 za kujiuliza kwanini huo mradi usitishwe utashangaa ulichokiandika ni kitu gani
Kaandika ujinga mkubwa huyu, yaani angekua karibu ningeokota jiwe kimya kimya ningemdunga la kichwa azimie shenzi kabisa
 
Nani amesema ni daraja la kutoza wapitao? Au huamini daraja la thamani kubwa wananchi wanastahili kupita bila malipo? Jitahidi kujisomea ili unachoandika kiwe na thamani. Sasa wewe unayowakoga vijana wa darsa la 4 ndo unaleta JF., what is going wrong with your grey jelly?
 
Umefanya nilichoshindwa. Kuna watu kwa makuzi na hadithi za utotoni, zimewafanya ubinafsi na ukabila iwe ni genetical. Kwa kiasi kikubwa maoni ya JF yako kwa misingi ya Ukabila, Vyama vya siasa na hata matatizo ya nyumbani. Bahati mbaya siasa imejikita sana kwenye ukabila pia. Hili ni jukwaa la siasa lakini utaona wengi wakichangia kwa misingi ya Kikabila. Ukiwaeleza hilo wanaruka, lakini huo ndo ukweli.

Mtu kama G Sam ukisoma anachokiandika siku zote, yaonesha ni mtu aliye na machungu na ubinafsi wa kikabila. Hayuko tayari kuona chochote chenye manufaa kwa kabila lisilo lake. Ukimwambia hayo atakuuliza kabila langu unalijua? Anawezaje kuomba daraja moja tu, la busisi lisimame wakati anafahamu kuna madaraja mengi bado yanajengwa? Dar bado inajenga fly-overs, Tanga-moshi-Arusha, daraja linajengwa mto wami, barabara ya Dar-Chalinze inaendelea. What a hell is this person thinking?
 
Kwa uelewa huu Kuna haja kweli ya kuboresha lishe zetu
 
Yaaani wewe ni mtu wa ajabu kweli. Hujui umuhimu wa daraja la Kigongo Busisi, pole sana. Tatizo umejawa na hasira hadi unapoteza fikra sahihi.
 
kiuchumi: ku-link mkoa unaozalisha samaki wengi na mkoa wenye dhahabu nyingi ni mkakati mzuri.

kisiasa: mama akipiga chini huu mradi atapoteza kura za wasukuma. kanda ya ziwa ni key region kwa mgombea urais yeyote.
 
Ndani ya jf kuna majinga mengi sana hivi unawezaje kutoa uzi kama huo halafu uungwe mkono
Oooh! Humu kuna kundi la feeble mind kiasi kwamba, kwa viwango vyao, huyo katoa point! Mtindo wa uandishi wake ni ule wa uadui. Hakuhitaji kueleza la maana ila alitaka tu kuandika anachotaka na amepata waungaji mkono wake.
 
kiuchumi: ku-link mkoa unaozalisha samaki wengi na mkoa wenye dhahabu nyingi ni mkakati mzuri.

kisiasa: mama akipiga chini huu mradi atapoteza kura za wasukuma. kanda ya ziwa ni key region kwa mgombea urais yeyote.
Tunaoijua jiografia ya nchi hii tunajua maana ya barabara hiyo. Tumezunguka na kuelewa nini maana ya daraja kama hilo kwa mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma na hata nchi za Uganda, Rwanda na Burundi. Kwa mtu ambaye hajawahi kuwa nje ya kizimba cha nyumbani kwao kila wakati anawaza kufungua duka nyumbani kwake na mteja ni jirani yake. Haoni maana ya umuhimu wa njia za usafiri kama hizi.
 
Nchi hii haiwezi kuendelea kwa fikra mgando kama zako hizi! Eti na wewe ni greater thinker! Je ni familia moja tu inatumia daraja hilo/kivuko kuanzia saa 10 usiku mpaka saa sita?! Acha chuki binafsi sisi wananchi wa kanda ya ziwa viktoria daraja hilo ni mkombozi kama lilivyo la kigamboni Dar, hata ukwerewe kule Rugezi serikali itajenga daraja kuokoa maisha ya watu, muda na kuimarisha huduma za kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…