It is better to be a fool than an ass! Miradi yote itakamilika wakati mzazi wako mpendwa akiwa ameshaoza chooni pole sana.Miradi yote iliyoanzishwa na Jemadari ilipangwa ikamilike 2015 - 2020 mwenyewe akiwepo lakini hata robo haikukamilika, yetu macho ikamilishwe na mtu mwingine Jemadari akiwa amepumzika mita 2 chini ya Ardhi. Wishful thinking of a fool!
Fanyakazi boss! Wapi uliponyonywa? Ukikalia kiduka cha mtaani utashindwa kusomesha watoto. Yaani unadhani miradi ikiachwa pesa itagawanywa mitaani?Kukamilika hatukai Bali kukamilika kwa kipindi kifupi Hilo ndilo linalopigwa
Maana mlijenga dhana kwamba aongezewe muda amalizie miradi yake.
Tunaka miradi muhimu iendelee bila kunyonya pesa zote mtaani na mifukoni mwa watanzania
Wanachokitarajia hawatakipata kutoka kwa Samia Suluhu.Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Kitu ambacho ni pride of Tanzania ni hilo daraja la JPM . Liishe kabla ya muda wa mktaba Please!Hivi kwanza ushatumia hiyo njia kuvuka au unatujazia server tu hapa?
Lile daraja kwa taarifa yako ni la muhimu sana na haliwezi kuachwa, lazima likamilike
Daraja la kimkakati.The best in EACHiyo ni project muhimu Sana, hujajua njia hiyo inaunganisha nchi Tatu, njia hiyo inafikia kupitia Mtukula kwenda Uganda, inaunganisha Karagwe mpaka kuingia Rwanda, barabara hiyo inaingia Burundi. Ni njia muhimu Sana kiuchumi.
Daraja la Wami je, mbona kimya?Kilombero washawekewa daraja na linaitwa Magufuli, Pangani mpango ushawekwa na hata picha ya daraja tayari. Mungu kamchukua mipango haijatimia, hajabaguliwa mtu kagusa kila mahali
Agreed.ongeza mradi wa Julius N Hydo.HAPANA. Mimi critic Mkubwa wa sera na uongozi wa jamaa huyu akiwa Rais...
Lakini miongoni mwa miradi inayotakiwa kuendelezwa mmojawapo ni huo ujenzi wa daraja la Busisi kuunganisha mikoa ya Geita & Kagera...
Projects zingine za kuendelezwa ni ujenzi wa reli ya SGR na Bwawa la umeme la Stigler Gorges...
Za kurekebishwa ni mradi wa ndege za shirika la ndege la taifa - ATCL. Waachwe wajiendeshe wenyewe kibiashara na washindane na mashirika mengine. Amelifufua, basi, inatosha. Serikali iache kabisa utaratibu wa kuwa ina dump pesa hapo badala ya wao ATCL kuzalisha pesa kwa biashara yao na kulipa kodi serikalini...
Hii comment imejaa sukari tupu 😂😂😂😂😂, mlambishe sukari bila kupenda ..🤣🤣Wewe mpuuzi Busisi ni Tanzania usipovuka wewe mjukuu wako atavuka kwenda kuvua sato maana wewe babu yake ulikua mjinga hukumuachia urithi
Ndio maana hao mataahira hawatakaa waje wapewe hii nchiLingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
Tusipende kuangalia watu kulingana na sehemu walipotokea ila tuangalie ufanisi wao kwenye viti walivyokalia.
Vinginevyo na wewe ni Kaburu tu kama wale makaburi
Si ajabu wala hajawahi kufika hata Mwanza, tunaotoka kanda ya Ziwa ndio tunajua umuhimu wa daraja la Busisi.
Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
My friend chato hakuna kitakachoendelezwa tena.
Hata mwalimu alipokufa hakuna aliyeendeleza butiama, likewise nkapa
Ni kweli kuna haja ya serikali ya sasa chini ya Mama Samia kuangalia upya a kufanya tathmii ya miradi ya kuendelea nayo na mingine isitishwe au utekelezaji wake usogezwe mbele!
Tuangalie kwanza ile miradi yenye tija kwa wananchi wengi.