Dakika ya 7 sekunde ya 40 "For the benefit of our two countries and our peoples.." ni sahihi??Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Hili neno watu wengi sana huwa wanalikosea na hii inatokana na neno la msingi "invite" kutamkwa "invai-ti" hiyo ndiyo sababu "invitation" inatamkwa kimakosa invai-teshen badala ya "inviteshen". Hii ni common mistake kwa non natives wengi wa lugha ya kiingereza.
Dakika ya 7 sekunde ya 40 "For the benefit of our two countries and our peoples.." ni sahihi??
Lakini pia si tulishakubaliana kuwa Kiswahili ndio lugha ya Afrika mashariki jamani.. tutawatukuza wakoloni mpaka lini kwanini tusijivunie cha kwetu?
Binafsi Mama amenifanya nikipende Kiswahili zaidi.. yani anakiswahili flani kitaam sana nadhani akitoka nnje anaongea Kiswahili atavutia wengi zaidi kupenda lugha yetu
Sasa Polepole wa kazi gani hapa. Katika watu wooote umeona Polepole ndio wa kufanyia reference?hapana, Samia anajua kiingereza, sio kama wengine wale. anakifahamu na alishafanya kazi katika organisation ya kimataifa. sawa tu na polepole, hajaishi ulaya ila ile kufanya kazi na wazungu kwenye maNGO anao uwezo mkubwa sana kujieleza kwa kiingereza. so is Samia.
Huyo mama anajua. Aliwahi kuwa mshereheshaji katika semina moja nami nilishiriki zamani wakati nasoma O level Lumumba sec school. Ana accent nzuri. By then she was young and very beautiful. Jicho jichooNadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Waweza andikiwa ukashindwa ku-pronounce, na kuandikiwa ni kawaida katika hotuba muhimu, cha msingi kifikisha ujumbe kwa uweledi, ametimiza!Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Kwahiyo unataka kuniambia Mama ana Cockney accent, tulikuwa tumeichoka ile Sambula maduku accent iliyodumu kwa miaka kadhaaHuyo mama anajua. Aliwahi kuwa mshereheshaji katika semina moja nami nilishiriki zamani wakati nasoma O level Lumumba sec school. Ana accent nzuri. By then she was young and very beautiful. Jicho jichoo
Kama haujui haujui tu, mbona yule hata kusoma kiswahili alikuwa anashindwaNadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Ongea yake yule mama dah! utafiri anakanda nganoAnamzidi Ndalichako kwa mbali sana.
Nilichojifunza katika umri wangu huu, ni kwamba Tanzania ni kama Kokolo, huwa kuna kila aina ya viumbe hadi Mamba unawakutemo.Kama haujui haujui tu, mbona yule hata kusoma kiswahili alikuwa anashindwa
[emoji3526]Kwahiyo unataka kuniambia Mama ana Cockney accent, tulikuwa tumeichoka ile Sambula maduku accent iliyodumu kwa miaka kadhaa
Tatizo Museveni alikuwa kazubalia yale MachoOngea yake yule mama dah! utafiri anakanda ngano
"Sambula maduku"Kwahiyo unataka kuniambia Mama ana Cockney accent, tulikuwa tumeichoka ile Sambula maduku accent iliyodumu kwa miaka kadhaa
Nani kapinga labda wewe, kwanin upanic lkn hapa ni kijiweni wee vpHata wanaomtumaini Mungu,wengi wao wanamkejeli kwa uwezo wake. Sembuse Samia,binadamu kama sisi wote. Raisi aliyekalili hotuba yake bila kusoma ni nani? Au hamjui wapo watu ambao kazi zao ni kuandaa hizo hotuba?
Bashite alisakamwa hajui chochote, hayati Magufuri ikawa hivo. Kikwete ilikuwa hivo,mna leo aliyepo madarakani bado hamlidhiki. Kesho mtadai hata kiswahili chake hakijanyooka ni wakuja tu. Anayepinga hiyo hotuba yake ana lake jambo. Hata wapinzania hawawezi
Sijamsikia akisoma wala kumuona anaongea. Lakini kuna tofauti gani?Hujamsikia akiwa anaongea kiingereza au akiwa anasoma kiingereza?
Ile ya Nyumbani wang'wise😉😁"Sambula maduku"
Kabsa aisee kiswahili chake kizuri sanaDakika ya 7 sekunde ya 40 "For the benefit of our two countries and our peoples.." ni sahihi??
Lakini pia si tulishakubaliana kuwa Kiswahili ndio lugha ya Afrika mashariki jamani.. tutawatukuza wakoloni mpaka lini kwanini tusijivunie cha kwetu?
Binafsi Mama amenifanya nikipende Kiswahili zaidi.. yani anakiswahili flani kitaam sana nadhani akitoka nnje anaongea Kiswahili atavutia wengi zaidi kupenda lugha yetu
Alishazeeka huyo hadi maini, ila hapo juu nilimwongelea NdalichakoTatizo Museveni alikuwa kazubalia yale Macho
yani anakiswahili flani kitaam sana nadhani akitoka nnje anaongea Kiswahili atavutia wengi zaidi kupenda lugha yetu