Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Dakika ya 7 sekunde ya 40 "For the benefit of our two countries and our peoples.." ni sahihi??Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Lakini pia si tulishakubaliana kuwa Kiswahili ndio lugha ya Afrika mashariki jamani.. tutawatukuza wakoloni mpaka lini kwanini tusijivunie cha kwetu?
Binafsi Mama amenifanya nikipende Kiswahili zaidi.. yani anakiswahili flani hivi kitamu sana nadhani akitoka nnje akaongea Kiswahili atavutia wengi zaidi kupenda lugha yetu.