Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Dakika ya 7 sekunde ya 40 "For the benefit of our two countries and our peoples.." ni sahihi??

Lakini pia si tulishakubaliana kuwa Kiswahili ndio lugha ya Afrika mashariki jamani.. tutawatukuza wakoloni mpaka lini kwanini tusijivunie cha kwetu?

Binafsi Mama amenifanya nikipende Kiswahili zaidi.. yani anakiswahili flani hivi kitamu sana nadhani akitoka nnje akaongea Kiswahili atavutia wengi zaidi kupenda lugha yetu.
 
Ni kweli kabisa. Kuna mtu nilimsikia anatamka "raiten" neno written badala ya "riten". Nadhani ni kutokana na kitenzi write kutamkwa "raiti"
Hili neno watu wengi sana huwa wanalikosea na hii inatokana na neno la msingi "invite" kutamkwa "invai-ti" hiyo ndiyo sababu "invitation" inatamkwa kimakosa invai-teshen badala ya "inviteshen". Hii ni common mistake kwa non natives wengi wa lugha ya kiingereza.
 
Umetoa hoja nzuri na yenye mashiko
Dakika ya 7 sekunde ya 40 "For the benefit of our two countries and our peoples.." ni sahihi??

Lakini pia si tulishakubaliana kuwa Kiswahili ndio lugha ya Afrika mashariki jamani.. tutawatukuza wakoloni mpaka lini kwanini tusijivunie cha kwetu?

Binafsi Mama amenifanya nikipende Kiswahili zaidi.. yani anakiswahili flani kitaam sana nadhani akitoka nnje anaongea Kiswahili atavutia wengi zaidi kupenda lugha yetu
 
hapana, Samia anajua kiingereza, sio kama wengine wale. anakifahamu na alishafanya kazi katika organisation ya kimataifa. sawa tu na polepole, hajaishi ulaya ila ile kufanya kazi na wazungu kwenye maNGO anao uwezo mkubwa sana kujieleza kwa kiingereza. so is Samia.
Sasa Polepole wa kazi gani hapa. Katika watu wooote umeona Polepole ndio wa kufanyia reference?
 
Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Huyo mama anajua. Aliwahi kuwa mshereheshaji katika semina moja nami nilishiriki zamani wakati nasoma O level Lumumba sec school. Ana accent nzuri. By then she was young and very beautiful. Jicho jichoo
 
Kwahiyo unataka kuniambia Mama ana Cockney accent, tulikuwa tumeichoka ile Sambula maduku accent iliyodumu kwa miaka kadhaa
 
Hata wanaomtumaini Mungu,wengi wao wanamkejeli kwa uwezo wake. Sembuse Samia,binadamu kama sisi wote. Raisi aliyekalili hotuba yake bila kusoma ni nani? Au hamjui wapo watu ambao kazi zao ni kuandaa hizo hotuba?
Bashite alisakamwa hajui chochote, hayati Magufuri ikawa hivo. Kikwete ilikuwa hivo,na leo aliyepo madarakani bado hamlidhiki. Kesho mtadai hata kiswahili chake hakijanyooka ni wakuja tu. Anayepinga hiyo hotuba yake ana lake jambo. Hata wapinzani hawawezi
 
Kama haujui haujui tu, mbona yule hata kusoma kiswahili alikuwa anashindwa
Nilichojifunza katika umri wangu huu, ni kwamba Tanzania ni kama Kokolo, huwa kuna kila aina ya viumbe hadi Mamba unawakutemo.
 
Hata wanaomtumaini Mungu,wengi wao wanamkejeli kwa uwezo wake. Sembuse Samia,binadamu kama sisi wote. Raisi aliyekalili hotuba yake bila kusoma ni nani? Au hamjui wapo watu ambao kazi zao ni kuandaa hizo hotuba?
Bashite alisakamwa hajui chochote, hayati Magufuri ikawa hivo. Kikwete ilikuwa hivo,mna leo aliyepo madarakani bado hamlidhiki. Kesho mtadai hata kiswahili chake hakijanyooka ni wakuja tu. Anayepinga hiyo hotuba yake ana lake jambo. Hata wapinzania hawawezi
Nani kapinga labda wewe, kwanin upanic lkn hapa ni kijiweni wee vp
 
Hujamsikia akiwa anaongea kiingereza au akiwa anasoma kiingereza?
Sijamsikia akisoma wala kumuona anaongea. Lakini kuna tofauti gani?
Niliona fake news siku moja kutoka Kenya nadhani kwamba Rais mpya wa Tanzania hakumaliza shule ya msingi,hana cheti cha shule ya msingi,fake news ambayo nimeiamini,kwa sababu niliona katika Opera News.
 
Dakika ya 7 sekunde ya 40 "For the benefit of our two countries and our peoples.." ni sahihi??

Lakini pia si tulishakubaliana kuwa Kiswahili ndio lugha ya Afrika mashariki jamani.. tutawatukuza wakoloni mpaka lini kwanini tusijivunie cha kwetu?

Binafsi Mama amenifanya nikipende Kiswahili zaidi.. yani anakiswahili flani kitaam sana nadhani akitoka nnje anaongea Kiswahili atavutia wengi zaidi kupenda lugha yetu
Kabsa aisee kiswahili chake kizuri sana
 
Back
Top Bottom