Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Kiingereza kwa Tanzania ni Lugha ya kujifunzia lakini pia ni lugha rasmi, ( official Language) hasa wewe O’ level na A’level umejifunzia kiingereza halafu haujakimaster vyema inaonekana hata uliyosoma haukuyaelewa ndio sababu akiongea kiingereza Mchina kwake anaweza kuungaunga maana kwao lugha rasmi ya kujifunzia ni kichina, tusiwatetee watu wasioweza kuongea lugha waliyojifunzia
 
Unacho lazima ni kipi ndugu, kuzungumza kiingereza sio sifa wala sio lazima ni suala la maamuzi, tatizooo ni kutokwa povu kwenu kisa mtu kakataa kuongea kiingereza, nakuletea kwako huyu hapa PM wa India kiingereza anajua vizuri lakini kuongea HATAKI ata akutane na viongozi wa dunia, tatizooo mnaaminisha ujinga kuwa kiongozi wa nchi lazima aongee kiingereza
https://www.washingtonpost.com/news...of-world-leaders-who-refuse-to-speak-english/
 
Na lazima muelewe pale kwenye maongezi na wawekezaji lazima uongee mambo ya kueleweka wakuelewe yaani wanaleta pesa bado uwape shida ya kuelewa lugha
 
Kweli wakoloni wa kiingereza kansa yao iliingia kwa uhakika katika jamii yetu.Yaan ,ww ndugu unafurahia kuongea kiingereza cha wakoloni,badala ufurahie kiswahili chako.Rais was China alipokuja hapa Tanzania, aliongea kichina mwanzo mwisho na kunamtafasiri.Na wako juu kimaendeleo.Wewe unaeanzisha Uzi kwa ajili ya kushangilia kiingereza,cha wakoloni,badala ufikirie vipi lugha ya kiswahili itatoboa nje ya nchi.
 
Hawa wa sizitaki mbichi hizi wasitake kuhadaa watu. Kwenye E-commerce mitandaoni ni kiingereza ndicho kinachotumika.

Kwa hiyo hawa wanaokipinga humu ni wale walioshindwa kukimudu na kwa staili hiyo hiyo ndio maana hata Magufuli alishinikiza Kiswahili zaidi hadi hata mahakamani.

Kiingereza ndio lugha ya dunia na huwezi kuikwepa. Leo hii ingia mtandaoni Ali Baba ujaribu kutaka kuagiza bidhaa yoyote China uone lugha gani inatumika.
 
Hakuna kosa wala sio jambo la ajabu Rais kutoongea kiingereza maana sio lugha mama, halafu kingine kiingereza sio lugha ya Taifa, hakuna atakae kushangaa ukishindwa kuzungumza
 
Kiswahili tunakipenda lakini motive behind ilikua ni ugumu wa kudeliver speech kwa kiingereza ikafanya kiswahili kianze kutambulishwa kwa nguvu,
 
Tena Hotuba yenyewe ya kuandikiwa

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Sipendagi sana dharau, na siwezi kukujibu kwa dharau kama ulivyo fanya. Nikujibu tu hivi, kuna sehemu hata moja nimekidharau Kingereza? Au unakariri tu? Usiishi maisha kukariri na hili ni moja kati ya yale niliyasema hapo ju kuhusu kusoma na kuelewa ulichosomea, ume base kwenye personal attack kuliko nilicho kieleza. Jikite kwenye hoja, sio mtoa HOJA.
 
Hakuna kosa wala sio jambo la ajabu Rais kutoongea kiingereza maana sio lugha mama, halafu kingine kiingereza sio lugha ya Taifa, hakuna atakae kushangaa ukishindwa kuzungumza

Kiingereza kina status Tatu kidunia 1. Ni Lugha Mama au Lugha Ya asili kwa nchi nyingi tu duniani ambapo hutofautiana namna ya matamshi tu kwa mfano American english na British English zaweza kutamkwa tofauti lakini maana ikawa moja tu
2. Ni lugha Rasmi kwenye maeneo mengi ya kidunia nazungumzia diplomasia, au kujifunzia Duniani kote Ina hadhi hiyo ya urasmi na ndio maana inakua na umuhimu wa kipekee
3. Ni Lugha yenye nguvu kibiashara duniani maana yake hata mchina mwenye duka China analazimika ajifunze kiingereza ili aweze kuwasiliana na wateja, mitambo mingi duniani iko setted na kiingereza, Gunduzi nyingi duniani zimekua na link ya kiingereza kwa sababu ni lugha muhimu sana
 
Watu very ' brainy ' na ' analytical ' kama Wewe hapa Mtandaoni JamiiForums mpo wachache sana ila wale ' Cuckoos ' ndiyo wamejazana mno. Hongera Ndugu umeelezea vyema na nimefurahi.
 
Hakuna kosa wala sio jambo la ajabu Rais kutoongea kiingereza maana sio lugha mama, halafu kingine kiingereza sio lugha ya Taifa, hakuna atakae kushangaa ukishindwa kuzungumza

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Wewe Generalist ni mshamba na muathirika wa neo colonialism, unaona kuongea kiingereza ni dili, kwani ngeli na kizaramu zina tofauti gani? Zote si lugha tu tunajifunza?
The issue is not actually english, but even when speaking Zaramo, speak it in an appealing manner. I think that is what she did it well, while others have failed
 
Hutoeleweka na Wapumbavu wengi, ila kwa Sisi Werevu wenzako wachache hapa tumekuelewa vyema kabisa Ndugu. Umemaliza kila Kitu, heko na nimefurahi mno.
 
BONGO UKIONGEA KINGEREZA UNAONEKANA UNAAKILI SANA.. AIBU KUBWA

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…