Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

Sasa mbona yeye anafanya Vibaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe huna akili kila siku siku kusifia wenzio,si upambane na wewe siku moja tukuite Mbunge,Spika,Waziri au Rais kuliko kutumia muda wako vibaya kufubaza fikra zako.
Acha mahasira yako hapa wewe. Kwani wewe nani kakuzuia kupata nafasi hizo. Mimi ni mkulima
 
Wapi kafanya vibaya ? Kwani wewe huoni namna wakati wa uongozi wake huu ambavyo Tanzania inafanya vizuri kiuchumi na kimaendeleo?

Nakutajia uka mwambie:

1.Huduma ya maji mjini kimezorota tangu aingie madarakani.Jiji la Dar es salaam halina huduma ya maji ya uhakika.

2.Bajeti na makusanyo ya Nchi.
Kwa kipindi chote na tawala zote zilizopita Hakuwai tokea Uganda wakatuzidi kwa Bajeti ,ni mwaka huu wa fedha wamefanya huvyo,.Uchumi sasa unakua kwa 4.6 % wakati enzi za JPM Ulikua kwa 7.7

Sekta ya Usafiri.
ATCL wanapata hasara Mara 2 zaidi ya ilivyokua enzi za JPM licha ya yeye kuendelea kununua ndege.
Mwendo kasi umekufa yanebaki Mabasi machache,ni Mwaka wa 3 sasa Njia ya Mbagala karia koo imekamirika ila hakuna hata basi
hata moja.

4.Kupata kwa deni la Taifa
Hili hata wewe kichaa unajua

4.Utekaji Nyara

5.Haki zabinadamu
 
Mimi sijipendekezi bali naongea ukweli. Acha wivu na chuki za kijinga jinga hapa.
Ukweli wako uko biased na huo si ukweli ni kujipendekeza tu. Halafu wakubwa hawatoi vyeo kwa watu kana ninyi since you have nothing yo offer zaidi ya sifa za kijinga jinga tu
 
Anamaana hata jeshi letu halifanyi vizuri sababu ya kuwa wanaume wengi..
 
Ukweli wako uko biased na huo si ukweli ni kujipendekeza tu. Halafu wakubwa hawatoi vyeo kwa watu kana ninyi since you have nothing yo offer zaidi ya sifa za kijinga jinga tu
Ila kwa chana twashinda kwa bao za mkono wanathamini chawa kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ