Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

Wanaume Ndio hawa akina Lucas Mwashambwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dunia simama nishuke 🐼
 
Kwani wapi waliapa kuitumikia na kuilinda Hiyo GOMA? Ulinzi wa Congo ni jukumu la wa Congo wenyewe na siyo letu watanzania
Kama nchi washirika wa jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni jukumu letu pia kulinda ndugu zetu, majirani zetu c ndio maana tulipeleka jeshi letu kule na tuka host kabisa na meeting ya kusolve yanayojiri humo na wakaalikwa na viongozi karibu wote wa ukanda huu
 
Lukas kila siku nakwambia pesa sio za kwake ni za watanzania, utaelewa? Yeye anatekeleza jukumu analotakiwa kulifanya sababu kapewa kazi na watanzania sasa kwanini unasifia kila siku mama hivi mama vile Yan kama hela zinatoka mfukoni kwake wakati hata mshahara anaolipwa ni kodi za watanzania, run kwenu hata na aibu. Leo msifie hata Mamako mzazi basi, lakin kama wewe ni Abdul haina noma mwanangu we endelea kumsifia mamako...Lakin mnaharibu vijana nchi hii sababu saivi madogo hawataki kazi wanataka uchawa na wanaona machawa wanavyopewa publicity ila machawa wengi ni mashoga, sio wote ila wengi ni machoko. Acheni propaganda za kitoto anachofanya mama samia ndio kazi alotumwa kufanya ndio sehemu job attributes ya kazi aliyopewa sio nyie kuifanya ionekane kama anawonea huruma watanzania anaona awasaidie kwa hela zake mfukoni, Sawa mkuu. Machawa mnaharibu hii nchi kuna siku itakuwa kama kongo sababu hakuna nchi duniani ina chawa wanajua kusifia mabosi kama kongo....utayasikia "papa mukulu mutu ya watu, nazombe nangai, chew, mutu ya pesa mingi, solola bien, mutu ya suti kutoka parisi, mosi kitoko, elokote, raisi wa maraisi wote duniani ukuye mbele utomboke na mambo ya dollar " Yan bosi anasifiwa saa nzima. Lukas oneni huruma mtaani watu wana njaa kali punguzeni propaganda kwenye magroup yenu anaefanya kazi kazi inaonekana wala haiitaji kumsemea kila ukiamka.. Achenu hizo bwana
 
Umepamba umepitiliza hata yeye mwenyewe anakushangaa,na anajua kabisa unampamba si kwasababu unampenda sana,ni kwasababu ya njaa.
Mwenye uhakika wa kula na kushiba mihogo yake hana muda huo .
 
Kama wao wanakimbia majukumu ya kulinda Ardhi yao .wanataka nani amwage Damu kwa ajili ya kutetea ardhi yao?
 
Umepamba umepitiliza hata yeye mwenyewe anakushangaa,na anajua kabisa unampamba si kwasababu unampenda sana,ni kwasababu ya njaa.
Mwenye uhakika wa kula na kushiba mihogo yake hana muda huo .
Mimi nimeandika ukweli na siyo kupamba kama ukumbi wa sherehe
 
Umewahi kujiuliza lengo la kuanzishwa hadi tuzo ya uchezaji bora? Kwanini mmoja apewe uchazaji bora wa Dunia wakati hachezi peke yake uwanjani na hachezi bure?
 
Katika maana ya wakubwa kufanikiwa zaidi ndio. Lakini hakuna mtu atamuweka kwenye issue sensitive mtu kama huyo maana hana akili zaidi ya kutumika kama condom tu
Hayo ni hadi pale atakapo kuwa na utambuzi
 
Umewahi kujiuliza lengo la kuanzishwa hadi tuzo ya uchezaji bora? Kwanini mmoja apewe uchazaji bora wa Dunia wakati hachezi peke yake uwanjani na hachezi bure?
Aloo we jamaa umeshindikana Yan kumbe wasafwa ndio mlivyo ? Yan daah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ me nakushangaa sana sasa boli na kazi ya uraisi inafanana ? How ? Ujue mkuu unakuja huku kwa kina messi ma ball dancer huku sasa ndio utaelewa yote huku hakuna cha kusema mama anaupiga mwingi anaupiga mwingi wanaonekana kwenye video na statistics zinasoma, kwanini unafananisha vitu viwili tofauti ?
 
Umewahi kujiuliza kwanini kuna tuzo mbalimbali kwa watu wanaofanya vizuri katika maeneo yao ya kazi? Umewahi kujiuliza kwanini wanapewa tuzo kwa kazi wanazolipwa mishahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…