Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

Anaendelea kuzifanya maana ikulu ipo kila sehemu.

Kazi ya Rais sio kufyatua matofari na Urais ni taasisi kwa hiyo ame delegate baadhi ya majukumu kwa VP,PM na wasaidizi wengine..

Ukitaka uende.kwa staili ya Mwendazake aliyetamani hadi kuwa IGP utakufa mapema na utashindwa na kuchukiwa juu..

Mnaomchukia Rais ni nyie wa mtaani ila wakuu wanamkubali na kufurahia kufanya Kazi nae maana amewapa nafasi washindwe wao..

Wewe hadi Waziri wa Ujenzi anazindua Ujenzi wa SGR kwa niaba ya Rais, Mwendazake angeweza hili? Aache kuchukua sifa?

Hapa yuko Ikulu ya Zanzibar kazini👇👇

View attachment 2213502

View attachment 2213503
Mpemba umeshatia Timu Ili mtuchakaze Watanganyika na Rasilimali zetu. Wezi wakubwa nyie
 
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.

Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.

Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.

Tulia kidogo mama.

It reminds me how the wise have been depicting the sceneries of what would eventually happen
 
Na hivi weshamjua anachopenda, Watamuandalia PHD katika majimbo sita Ili atuuze na sisi!!

Kawaangusha sana Wanawake wenzake

It is what it is. We have learned the lesson, the hard way. Uongozi wa juu, sio sehemu ya kufanya experiments za kujifunza na kujifunzia
 
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.

Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.

Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.

Tulia kidogo mama.
Wewe ya Rais yanakuhusu nn mzee
 
Magufuli was incharge of the Country kosa lake tu kuruhusu watu wapotezwe
 
Katika kitu hawezi uyo kizimkazi ni kufanya KAZI mwenyewe hapo ikulu. Madalali ya ikulu ndio ufanya KAZI zake yy kisha anaambiwa kua saini hapa tu.
Unaambiwa hata ripoti za TIS wilaya,Mkoa na taifa hasomi kabisa.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Na hivi weshamjua anachopenda, Watamuandalia PHD katika majimbo sita Ili atuuze na sisi!!

Kawaangusha sana Wanawake wenzake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.

Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.

Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.

Tulia kidogo mama.
Huku Africa kuongozwa na mwanamke bado sana. Hata huko mambele ni jambo ambalo bado wana struggle nalo kumpa mwanamke madaraka makubwa kuliko yote kwenye Taifa.

Sisi huku bado basi tu.

Wizara ya mambo ya utalii ingemfaa zaidi.
 
Yaani viwango vya Angela Merkel. Golda Meir, Indira Gandi, Bandaranaike, Margaret Thatcher na Sirleaf wa Afrika Magharibi
Compare and contrast.
 
Back
Top Bottom