Anaendelea kuzifanya maana ikulu ipo kila sehemu.
Kazi ya Rais sio kufyatua matofari na Urais ni taasisi kwa hiyo ame delegate baadhi ya majukumu kwa VP,PM na wasaidizi wengine..
Ukitaka uende.kwa staili ya Mwendazake aliyetamani hadi kuwa IGP utakufa mapema na utashindwa na kuchukiwa juu..
Mnaomchukia Rais ni nyie wa mtaani ila wakuu wanamkubali na kufurahia kufanya Kazi nae maana amewapa nafasi washindwe wao..
Wewe hadi Waziri wa Ujenzi anazindua Ujenzi wa SGR kwa niaba ya Rais, Mwendazake angeweza hili? Aache kuchukua sifa?
Hapa yuko Ikulu ya Zanzibar kazini👇👇
View attachment 2213502
View attachment 2213503