#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

Wameweka ndoano ya hela hatimaye kanasa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwa masikini ni sawa na [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Wewe umewekewa ndoano ya umaskini na umenasa,tukufananishe na simba au nyau.
 
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.

Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari..
Ni vizuri kama wameanza kuweka idadi ya wagonjwa
 
Mbona nmeona kwenye kombe la UEFA raia wanakusanyika bila barakoa wala distancing?
 
Tanzania yields to UN, lenders calls on Covid data bado wanazificha Mkuu na IMF wamekataa kutoa mkopo wa $574 millions mpaka hizo data ziwe zinawekwa hadharani kila siku.
 

Mungu ameficha hekima yake isijulikane kwa watawala. Hongera kwa Chanjo kila la kheri
 
Kweli chanjo ni hiari....isipokuwa kwa wale wa front...mipakani sekta utalii vyomba ulinzi na usalama...mahoteli etc hao hawana budi kudungwa
 
Wewe ni mtoto mdogo haya mambo kuyaelewa ni ngumu!

Ukiwa maikini hata mawazo yako na mambo yako lazima yawe ya kimasikini
Yeah right.

Magufuli alikuwa tajiri siyo? Mbona alipokuwa tia maji tia maji kuelekea kibla alikimbizwa Nairobi badala ya kupelekwa kule utajirini Chato kwenye maziwa na asali? 😀 😀
 
Tumeshaingia huku? Daah!
 
Unakoelekea utashindwa kusimamisha usingizie Magufuli,hamuwezi kumwacha akapumzika?
Magufuli kafa. Kwishnei.

Mwingine akijitokeza kuleta jeuri na kibri kama yake, Mungu hatamchelewesha hata mwaka!
 
Mikoa ya kaskazini ni majanga. Yaani ni majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…