#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

Wameweka ndoano ya hela hatimaye kanasa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwa masikini ni sawa na [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Fumbo Mfumbie Mjinga Mwerevu Ataling'amua
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
Chombo Kimenasa Kwenye Cash
Ukisikia Nyani Katema Bungo!!!
 
Mimi nina mwezi na nusu tangu nichanje full. Naendelea kuvaa barakoa kwani najua chanjo si kinga asilimia 100. Ila ukichukua chanjo ukajumlisha barakoa, distancing , kujisanitize au kunawa unakaribia kabisa kujikinga kwa asilimia 100...
Ona chizi hili linapigia chapuo machanjo yenye sumu.

Nyinyi madalali wa chanjo za wazungu hamtofanikiwa kamwe! Mmechelewa!
 
Nimeshaliandaa BEGA langu KUCHANJWA.

Ninaisubiria kwa hamu siku hiyo ya KUCHANJWA.

Nimenunua TSHIRT mpya ya mikono wazi nikademkie hiyo CHANJO.

Nitapiga picha na kuirusha humu ndani siku hiyo ya chanjo.

Alhamdulillah nimeshafanikiwa kuwashawishi RAFIKI ZANGU 5 kuchomwa hiyo chanjo.

#ReadyToReceiveTheVaccine
#KaziIendelee
 
Amesema ni zaidi 100 hivyo hata maelfu ni zaidi ya 100. Kuna mikoa kama Kilimanjaro na Arusha Hali si shwari kabisa. Nasikia pia Mwanza bila kusahau Baba Lao DSM.
DSM hakuna! InapatikanΓ  kwenye vinywa vya wanasiΓ sa tu kwa mΓ lengo maalumu!!
 
DSM hakuna! InapatikanΓ  kwenye vinywa vya wanasiΓ sa tu kwa mΓ lengo maalumu!!
Acha kupotosha watu.....

TUACHE kumsikiliza Rais mwenye dhamana ya usalama wa Tanzania na mwenye jopo la wataalamu wa afya tukusikilize wewe Popoma?!!!
 
Magufuli kafa. Kwishnei.

Mwingine akijitokeza kuleta jeuri na kibri kama yake, Mungu hatamchelewesha hata mwaka!
Kumuhusisha Mungu kwenye haya masuala ndio hupelekea kuonekana vituko kwa akina Kiranga, kuna waovu wangapi huku uraiani wapo hawajafa au Mungu kawashindwa kufanya kama alivyofanya kwa Magufuli?
 
Kweli kabisa mkuu....corona ipo watu wanaugua na wengine kufa kabisa. Almuhimu statistics zitolewe kwa public kama nchi zingine wanavyotoa...
Unaposema hauchagui unakuwa na maana gani kwani mwanzo corona ilikuwa inachagua kwa vigezo gani?
 
Mimi na taka kuwa mkweli. Nani alikuwa muongo? Sijui tume amua tulishughukikie kama dunia inavyo lishughulikia. Tanzania mnaweza kushughulikia corona kama ulaya au USA? Wajinga ndio wali wao.
 
Huwezi kushughulikia corona bila kujenga hofu kwa wananchi hilo ni gumu.
 
Uliwashawishi kwa hoja zipi mkuu?
Mkuu nilijaribu kuwaeleza kuwa CHANJO hiyo inapingwa sana na "conspiracy theorists" wa kiitwacho NEW WORLD ORDER....

Nikawaeleza kuwa WATOTO WETU wanachanjwa chanjo tofauti dhidi ya KIFADURO ,DONDA KOO ,HOMA YA INI ,KIFUA KIKUU ,SURUA n.k....zote zinatoka huko NJE....kwanini tuzikatae hizi ?!!!

Mjadala ulikuwa moto Sana....ila mwisho tukaelezana kuwa haitokuwa BUSARA kuwanyima CHANJO madaktari na manesi wetu wanaowatibu wagonjwa wa UVIKO....kwa usalama wao ,wa familia zao wanaporejea majumbani....na usalama wetu tunapojiunga nao katika VIJIWE VYA KAHAWA ,midandamo ya BOHA ,ULANZI ,KANGARA ,MNAZI na kule VITI VIREFU.....
 
Mkuu nilijaribu kuwaeleza kuwa CHANJO hiyo inapingwa sana na "conspiracy theorists" wa kiitwacho NEW WORLD ORDER.

Nikawaeleza kuwa WATOTO WETU wanachanjwa chanjo tofauti dhidi ya KIFADURO ,DONDA KOO ,HOMA YA INI ,KIFUA KIKUU ,SURUA n.k....zote zinatoka huko NJE....kwanini tuzikatae hizi?...
Samahani ningeomba kuuliza, kabla ya kuchukua uamuzi wa kujitolea kushawishi watu kukubali kuchanjwa chanjo za corona je,uliwahi kushawishi watu kuachana na hiyo mikusanyiko ya kwenye viti virefu na sehemu zengine mifano ya hiyo hasa katika kipindi kama hiki?
 
Samahani ningeomba kuuliza, kabla ya kuchukua uamuzi wa kujitolea kushawishi watu kukubali kuchanjwa chanjo za corona je,uliwahi kushawishi watu kuachana na hiyo mikusanyiko ya kwenye viti virefu na sehemu zengine mifano ya hiyo hasa katika kipindi kama hiki?
Mkuu unanena yenye mashiko sana.

Hakuna kitu kigumu kama kubadilisha mazoea ya WATU.

Hilo usemalo linafanyika japo linakutana na UKINZANI wa hoja ngumu " zinazoonekana kuwa ni za KIZALENDO" ya kwamba UGONJWA HUO HAUPO SANA NCHINI...kubwa watu hawataki kuacha KUNYWA KAHAWA NA KANGARA midandamoni....na wauzaji wanapambania UCHUMI WAO.

Mkuu wewe huoni askari wa nchi zenye LOCKDOWN wanavyopambana na raia wenzao mitaani?
 
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.

Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari.

Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19.

Nawasalimu kwa jina la JMT.


---
Kuna wanaoona hatuko serious ktk mapambano dhidi ya #COVID19. Nilipoingia madarakani nilitamani tupambane na ugonjwa huu kama wanavyofanya mataifa mengine. Tanzania tuna wagonjwa zaidi ya 100 wenye #coronavirus #wave3, kati yao Wagonjwa 70 naa, wapo kwenye mitungi na wengine matibabu ya kawaida.

Tumeamua tukubali chanjo kwa walio tayari.

Tanzania tumeingia kwenye #COVAX community. Wataalamu wetu wanafanyia kazi Chanjo ipi inafaa kwa Watanzania. Kuna mashirika mengi wamejitokeza kutaka kusaidia Watanzania lakini lazima wataalamu wetu ndio watoe ushauri kitaalamu.

Sisi kama Serikali tunahimiza yale yanayoshauriwa na wataalamu; kama unaamini kwenye kupiga nyungu - wewe piga. Kila mmoja atekeleze wajibu wake. Jikingeni sana na wakingeni watoto.


Rais amezungumza ukweli mchungu

Wenzangu na mie ambao tulizoea kutouona umuhimu wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huu hapo awali nadhani sasa ni wakati wa kubadilika na kuukabili huu ugonjwa kitaalam na kiuhakika
 
Sababu zilizotolewa ni dhaifu sana tukichukulia zinatolewa na Mkuu wa nchi yaani Rais wa JMT. Ni sababu dhaifu sana. Katao sababu gani za kushawishi umma uamini hapo mwanzo tulikosea. Wimbi la kwanza anakubali corona haikuwa na madhara makubwa. Kama ndio hivyo kwa nini njia zilizotumika katika wimbi la kwanza zisiendelee kutumika tunahamia kwenye chanjo ambayo hatujui kwa uhakika ni ipi tuitumie?

Wafanyabiashara wamesha chanjwa huko nje ya nchi wanaendelea
na shughulia zao. Hii ndio sababu inaweza kutolewa na Mkuu wa nchi?! Jamani sasa kama wamechanjwa ndio iweje?
 
Mimi nina mwezi na nusu tangu nichanje full. Naendelea kuvaa barakoa kwani najua chanjo si kinga asilimia 100. Ila ukichukua chanjo ukajumlisha barakoa, distancing , kujisanitize au kunawa unakaribia kabisa kujikinga kwa asilimia 100.

Dunia ina lengo la kuukomesha ugonjwa huu. Katika lengo hilo ndipo zinakuja hatua mbalimbali ikiwemo kutoa fedha ili kuziwezesha nchi masikini ( Afrika) . Hata Ulaya zipo nchi zimewezeshwa kifedha ili kupigana na covid 19.

Wanaoona hizi fedha ni mtego ni wivu wao tu unawasumbua. Mbona hapo awali hawakusema ni mtego au kwavile zilichukuliwa kimyakimya zikawekwa mifukoni mwa miungu yao!

Mama endelea kuupiga mwingi. Unafanya kazi inayoonekana , siyo blabla tulizokuwa tunaimbiwa na wale watesaji.
Kwanini wanakukopesha pesa halafu wanakuuzia bidhaa(chanjo) za kwao?

Sawa sawa uchukue mkopo CRDB halafu wakuuzie bidhaa zao wakikishe hadi senti ya mwisho umemaliza kwao.

Kwanini chanjo wasitoe kama RUZUKU(grants) kwa nchi masikini?
 
Rais amezungumza ukweli mchungu

Wenzangu na mie ambao tulizoea kutouona umuhimu wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huu hapo awali nadhani sasa ni wakati wa kubadilika na kuukabili huu ugonjwa kitaalam na kiuhakika
Swadakta πŸ‘πŸ‘

Mh.SSH ametueleza BAYANA KINAGAUBAGA....

#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
 
Back
Top Bottom