#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

Yeah right.

Magufuli alikuwa tajiri siyo? Mbona alipokuwa tia maji tia maji kuelekea kibla alikimbizwa Nairobi badala ya kupelekwa kule utajirini Chato kwenye maziwa na asali? 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hoja zako zinaonesha ni jinsi gani ulivyo mtoto mdogo!
.
Subiri chanjo ije nikushikie saburi hilo uchanjwe vizuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hoja zako zinaonesha ni jinsi gani ulivyo mtoto mdogo!
.
Subiri chanjo ije nikushikie saburi hilo uchanjwe vizuri
Sawa. Magufuli (mungu wenu) kafa.
Semeni sasa! 😀 😀
 
Nchi yangu hii, haiwezi kuishiwa maajabu,

Hao wagonjwa wako wapi na ni maeneo gani yaliyotengwa kwa ajili ya waathirika hao? na hatujasikia wapi huduma ya upimaji inafanyika kama ilivyo kwa nchi nyingine

Hata hivyo, mabeberu walituibia vya kutosha, ngoja nao tuwe tunawapiga
 
Hatimaye baada ya kudanganya toto kwa muda mrefu sasa serikali imesanda...

In short hakuna chanjo ya Covid yenye unafuu kwa serikali za dunia ya tatu...

Baada ya chanjo kuingia na watu kuanza kupokea shots, ndiposa itakuja awamu nyingine ya waliochanjwa vs wasiochanjwa...

We're in deep shit...
 
Hizo takwimu za wagonjwa kwanini zisiwe zinatolewa kwa public?

Rais anajitahidi sana kuendana na kile WHO wanataka, ningependa atuambie hao wagonjwa wamelazwa hospitali zipi? familia zao wameziweka karantini? na mikoa ipi inaongoza kwa maambukizi.

This is a wake up call, tuamke, ile likizo ya Corona imeisha, now kirusi kipo mjini.

Kweli kabisa mkuu....corona ipo watu wanaugua na wengine kufa kabisa. Almuhimu statistics zitolewe kwa public kama nchi zingine wanavyotoa.

Na inasemekana mlipoko huu hauchagui wa kumpiga, awe mtoto, kijana, mtu mzima ama mzee.

Tuwe na tahadhari. Ningependelea Mh Rais azuie kumbi zozote zile + Kumbi za harusi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hoja zako zinaonesha ni jinsi gani ulivyo mtoto mdogo!
.
Subiri chanjo ije nikushikie saburi hilo uchanjwe vizuri
Shauri yako ila sisi tunajua jamaa yako umeshakufa na hatuna habari wala nini! Ni kifo cha wakati wake na pahala pake.
 
Chanjo ya covid 19 ni hiyari siyo lazima!!!​

Mimi napiga nyungu na NIMCOF(home made) baasi! japo ni mlengwa wa wale wanaopewa chanjo wa kwanza kwa mazoea ya nchi zingine....
Kisa cha kuingilia mRNA yangu ni nini?
 
Andaa mazingira nije nikushike chanjo ikupenye vizuri
 
Huku kuchanjwa kutakuwa kama kumeza dawa za ARv na sidhani kama itakuwa waziwazi
 
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.

Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari...
Mama tunaomba lockdown kama Kenya na Uganda!
 
Magufuli hela yoote alimalizia kujijenga kule Chato, na kwa vile haukuwa mpango wa Mungu akafa huku hajakamilisha azma yake.

Wacha tu mama atembeze bakuli afufue uchumi, hakuna namna!
😆😅😄😃😂😁😀
Msemakweli Ni Mpenzi Wa Mungu
 
Back
Top Bottom