Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Ni hiyari yako kumchukia mtu ila si uungwana kumzushia uongo. Marehemu hawezi kujitetea!
Rais Magufuli hakusema uongo, ila ndio ukweli wenyewe. Jisomee mwenyewe na kama ni muungwana tuone vitendo!

"Following two decades of sustained growth, Tanzania reached an important milestone in July 2020, when it formally graduated from low-income country to lower-middle-income country status. Tanzania’s achievement reflects sustained macroeconomic stability that has supported growth, in addition to the country’s rich natural endowments and strategic geographic position"

 
Awamu hii kila kitu tunarudi nyuma.
Ni somo kwa viongozi walio hai, kuchagua mtu kwa sababu ya jisia yake upate ushindi mnono badala ya kuchagua IQ, elimu na uchapakazi wake. Mama sasa hivi anakandia kazi za JPM kana kwamba haikuwepo kwenye hiyo serikali. Sasa hivi ni mwendo wa msoga tu. JK sasa hivi ana press button tu.

 

Haikuwa uchumi wa kati, bali uchumi wa chini wa kati. Ukiwa uchumi wa chini wa kati unakuwa karibu sana na uchumi wa chini. Tungekuwa wa kati isingekuwa rahisi kurudi wa chini.
 
Ajitahidi kufanya mambo yake tu maana kumkandia Magufuli hakumfanyi yeye kuwa bora.

Na aangalie tu kwa maana spidi yake hairidhishi kwani katika miradi yote alichokikamilisha ni daraja tu kwa mwaka mzima aliokuwa madarakani.

Yaani unakaa ofisini mwaka mzima unajenga daraja moja tu.
 
Alipoingia magufuli raia walishindwa kulipa ada na hata wengine kusitisha mipango ya kuwapeleka shule za kulipia kwa sababu maisha yalikuwa magumu Hadi watu walikuwa wakitumia msemo VYUMA VIMEKAZA !

Vyuma vimekaza mianya ya pesa za bure maofisini ilipungua..
Mbonq sie tuliokua tumejiajiri hatukuumia ?!
Wote waloumia hawakua wanapta pesa za halali
 
Awamu hii kila kitu tunarudi nyuma.

Tulikuwa nyuma, ila propaganda ndio zilionyesha tuko mbele. Tofauti ya sasa na kabla ni kujitahidi kusema ukweli kwa kiwango cha kuridhisha.
 
Ukishajua nabishana mtu asiyekuwa saizi yangu huwa nafanya hivi: 🙌
 
🙌
 
Ukishajua nabisha na mtu asiyekuwa saiziyangu huwa nafanya hivi: 🙌🙌
 
Kama haukuelewa nichoeleza kwa kurudia rudia basi. Watu wengine hatuna kipaji cha ualimu 🙌
Hujielewi wewe kwani Tanzania kufika uchumi wa Kati alijisemea tu Rais au walisema World Bank jifunze kufuatia jambo kabla ya kuropoka .
 
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Una allergy ambayo ni kali . Yaani benki ya dunia pia aliiweka mfukoni waripoti anachotaka
 
Reactions: nao
Hii hali haiwezi kubadilika tena kwani hatuoni mapya zaidi ya wenye nafasi kuwa wafalme tena hadi chai ya saa nne imeanza upya.
 
Hakuna mambo ya uchumi wa kati wala wa juu jpm alikuwa mwongo sana .alipenda sifa za kijinga kama mtoto wa miaka 3 kipindi cha corona halafu uchumi wa kati ilisikia wapi
 
Kwa maana hiyo sisi ni maskini kwa sasa, na ile ndoto ya mkapa ya 2025 inaweza kutimia tena kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…