Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Kuna tusharudi ? Anyway Huku kitaa kwa ninayoyauna hatujawahi kupanda na ni mwendo wa kushuka tu....
 
Mkereketwa/chawa/kiroboto unajaribu kubishana na IMF. Kazi kweli kweli. Okay nakutakia kila la heri🤣
Wewe ni mbwiga.

Taasisi kama IMF haiwezi kuidanganya dunia ili kumfurahisha Magufuli.

Wawekezaji wa level ya dunia wanatumia data za IMF na WB.

Ututusa wako wapelekee Bavicha wenzio!
 
Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka?
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Sula la JPM ni suala la muda tu kupendwa/kuchukia ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu ila kuogopwa ni lazima kwa kiongozi.

Tutaelewana tu, tunakoenda ni kuzuri tunachaana na "Ndiyo, mkuu" .
 
Watanzania ombeni tuwe kama USA / China. Ni lazima tuhoji si kufanywa kama mazwazwa.
 
‘chema chajiuza, kibaya chajitembeza’

Wanaoangaika na kivuli cha Magufuli ni wanasiasa tu, lakini wananchi uwaambii lolote. Ata mkiwaita mazuzu walioaminishwa matajiri ni watu wabaya, alikuwa muongo, muuwaji na upuuzi mwingine.

Watanzania watamkumbuka Magufuli kwa muda mrefu sana. Jamaa akuwagusa kwa maneno bali vitendo, stability ya bei za bidhaa, umeme wa uhakika, deflation hasa kwenye rent, access za njia za uchumi, haki na usawa, kuwafanya watanzania maskini wajione wao ndio wanaimiliki nchi yao na list ndefu ya achievement zake.

Hiyo legacy ya Magufuli awawezi ishusha, kikitokea chama chenye uongozi makini na kutembelea upepo wa Magufuli ata kama akitoshinda uchaguzi 2025 kingewapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu wananchi wengi Magufuli bado anaishi kwenye vichwa vyao.

CCM washukuru hilo halipo kwa sasa kwa sababu wanasiasa wa vyama vyote hawana hamu nae kwa jinsi alivyowanyoosha jamaa alikuwa no nonsense.
 
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Waliotuweka ni WB na waliotuondoa ni WB. Raisi Hana mamlaka ya kuwaamrisha WB
 
😍
 
Acha uongo. Toa ushahidi wa utafiti
 
Wote sisi ni watanzania, wote tunademka mdundo mmoja. Tunajenga nyumba mmoja/ ni suala la muda tu tutakuwa kitu kimoja.
 
WB wakati wanatoa hizo data wewe ulikuwa bado uko kiuononi mwa babako ndio maana hujui nini kinajadiliwa hapa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…