Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Marehemu Magufuli alikuwa dikteta aliyekuwa amekosa werevu.

Magufuli baada ya kuona mambo yanaenda mrama, alizuia hadi watafiti binafsi au taasisi binafsi kufanya utafiti na kutoa takwimu ili akiwadanganya wajinga, waweze kuamini na kusiwepo wa kuhoji.
Yanaenda mrama kwenye sector ipi? Nilifikiri ingelikuwa vyema ungeorodhesha hizo taasisi binafsi ambazo alizizuia kufanya tafiti.
Wewe ndiye utakuwa mjinga. Umeshindwa kuelewa jambo rahisi hivi.
Ndio kusema IMF hawana vyombo au mbinu maalum za ku validate takwimu zitolewazo na kila Taifa?
Kama JPM alitoa tawimu za uongo,hizi za sasa tunauhakika gani kama ni sahihi?
Kadanganye wendawazimu wenzako😎
 
‘chema chajiuza, kibaya chajitembeza’

Wanaoangaika na kivuli cha Magufuli ni wanasiasa tu, lakini wananchi uwaambii lolote. Ata mkiwaita mazuzu walioaminishwa matajiri ni watu wabaya, alikuwa muongo, muuwaji na upuuzi mwingine.

Watanzania watamkumbuka Magufuli kwa muda mrefu sana. Jamaa akuwagusa kwa maneno bali vitendo, stability ya bei za bidhaa, umeme wa uhakika, deflation hasa kwenye rent, access za njia za uchumi, haki na usawa, kuwafanya watanzania maskini wajione wao ndio wanaimiliki nchi yao na list ndefu ya achievement zake.

Hiyo legacy ya Magufuli awawezi ishusha, kikitokea chama chenye uongozi makini na kutembelea upepo wa Magufuli ata kama akitoshinda uchaguzi 2025 kingewapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu wananchi wengi Magufuli bado anaishi kwenye vichwa vyao.

CCM washukuru hilo halipo kwa sasa kwa sababu wanasiasa wa vyama vyote hawana hamu nae kwa jinsi alivyowanyoosha jamaa alikuwa no nonsense.
JPM alikuwa siyo mnafki ndiyomaana alijua kabisa vita yake si nyepesi hadi alithubutu kusema" kasakrifai maisha yake kwa ajili ya watanzania maskini" [emoji124]
 
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafu
 
Ujinga huo ulio nao ndio Magufuli alikuwa anautegemea sana kutawala aliowaita wanyonge. Hata haujui kuwa IMF walipotaka kutoa takwimu halisi za ukuaji wa uchumi wetu, Magufuli aligombana nao. Kama siyo ujinga huo ni nini??
sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafu
 
Lipumbavu sana hilo Jamaa kisa tu chuki zinazomtesa, eti takwimu za IMF zikielezea uhalisia wa uchumi wa kati kwa uchanya juu ya TZ ni za uwongo, lakini hao hao IMF wakitoa taarifa kuwa TZ imetoka uchumi wa kati ni za ukweli [emoji1]
Huyo jamaa nimeshindwa hata kumuelewa.Kama IMF wanaweza kupokea takwimu hata kama ni za uongo kwa nchi yetu,vp kuhusu mataifa mengine!nimeshindwa kumuelewa kwa kweli.
 
Bado una mkejeli magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na Sera zako na za kukunana migongo na mafisadi halafu unafukarisha wanyonge waliowengi unategemea kupandisha uchumi vipi,unaondoa wachapakazi unaweka watumishi legelege wapigadili utapandisha uchumi upi loooooooooooh! Deadwood? Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tukakukumbuka sana
 
Hapo unatengeneza kanuni ya uzoeshi ili uanze kutuimbisha wimbo was CCM mafisadi kwamba "nchi hii Ni maskini mnooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo" umeanza kutuandaa kisaikolojia,kumbe wewe mwenyewe ndio failure leader
 
Asante sana mkubwa. Nimekuelewa sana tu.

Mambo mengine ukiwa na akili kidogo hata ya kukuwezesha kuvuka barabara bila kusaidiwa utayaelewa. Hili jambo lilitwangazwa kwenye TV hapa Tanzania na magazeti mpaka kiongiz mkuu wa IMF akaja Dar kuonana na Magufuli 2019. Lakini kuna watu wana akili ya kuku (kama wewe), hawaelewi kitu kabisa. Kweli ukitaka kumnyika mtu mweusi kitu kiweke katika maandishi. Jenga tabia ya kujisomea, wewe na wajinga wenzio: Subscribe to read | Financial Times.

CC: Crimea Ame
sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafu
 
Ukiwa mjinga kabisa wa masuala ya uchumi, utasema Magufuli alituingiza uchumi wa kati. Ukiwa na akili, japo kidogo sana, utafahamu wazi kuwa safari iliyoanzishwa na Mkapa ya kuufikia uchumi wa kati, Magufuli aliififisha.

Mkapa aliongeza Per Capita Income ya Mtanzania kwa dola 400 katika kipindi cha miaka 10. Kikwete dola 380. Magufuli dola 80.
Lete analytical data hapa jf uisongope we dada
 
Tanzania imechukua miaka 60 ya uhuru kufika uchumi wa kati (kipato cha Mtanzania kufika $1,026 kwa mwaka). Nchi iliyojaa rasilimali kama hii ingetakiwa iwe kwenye uchumi wa juu zamani sana. Lakini sera za Ujamaa na Kujitegemea zimetukwamisha.
 
A
View attachment 2176513

“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.

“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.

Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Aisee!🤔
 
Kwa nini hawa wachumi wetu wanamshauri visivyo rais wetu? GDP growth rate kufika 6.8% haimaanishi ndiyo kuwa lower middle income country. Na nchi nyingi zilizo uchumi wa kati na wa juu GDP growth rate zake ni chini ya 3%. In fact a health GDP growth rate is 2% to 3%.

Kipimo ambacho World Bank hutumia ni gross national capita in US dollar as per 1st July of the previous year. This is the sum value of all resident producers and net receipts of primary income from abroad adjusted for differences in inflation.

- Nchi za uchumi wa kati wa chini (lower middle income countries) ni zile ambazo GNI per capita ni USD 1,036 hadi 4,085. Julai 2019 ndani ya mlipuko wa uviko Tanzania GNI per capita ilipanda na kufika USD 1,100 na hivyo kuwa lower middle income country. Tulitarajia kupanda daraja hadi kuwa upper middle income country ifikapo 2025 au angalau kujiimarisha kwenye daraja hilo. Kwa sababu ambazo wachumi wetu hawatuambii, ilipofika Julai 2020 GNI per capital yetu iliteremka kidogo kwa 1.82% na kuwa USD 1,080 na tukabaki kwenye daraja hilo la middle income country.

Takwimu za Juai 2021 bado hawajatuambia, ila leo ndiyo tumesikia kwamba GNI iliteremka hadi kuwa chini ya USD 1,035 na hivyo kurudi kwenye nchi masikini wa kutupwa duniani. Sekta kubwa kuliko zote inayochangia kwa GNI per capita ya Tanzania ni kilimo kwa asilimia 30%. Kwa miaka ya awamu ya tano sekta ya ujenzi ilijitokeza kukua kwa kasi hadi kifikia 28% ya GNI per capita. Mchango wa sekta ya utalii si mkubwa sana na hasa baada ya ujio wa uviko. Sekta ya viwanda mchango wake umeteremka kwa sababu ya tanesco kufumuliwa. Baadhi ya viwanda vimefungwa na wawekezaji wapya hawaogopa tanesco! Wafanya biashara wanakwepa kodi hivyo kipato chao halisi hakipo kwenye takwimu. Mchango wa sekta ya madini nao umeteremka kwa kupungua usimamizi madhubuti. Tumerudi kuwa wategemezi wa mabepari.
 
sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe wanaoangalia indicators za ukuaji wa uchumi ni wataalamu wabobezi wanaangalia kwa ushahidi wa data Sasa ukiwehu wako unauleta humu sijui utakusaidia nn nyambafu nyamafu
 
Mkereketwa/chawa/kiroboto unajaribu kubishana na IMF. Kazi kweli kweli. Okay nakutakia kila la heri🤣

Back
Top Bottom