Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 421
Yanaenda mrama kwenye sector ipi? Nilifikiri ingelikuwa vyema ungeorodhesha hizo taasisi binafsi ambazo alizizuia kufanya tafiti.Marehemu Magufuli alikuwa dikteta aliyekuwa amekosa werevu.
Magufuli baada ya kuona mambo yanaenda mrama, alizuia hadi watafiti binafsi au taasisi binafsi kufanya utafiti na kutoa takwimu ili akiwadanganya wajinga, waweze kuamini na kusiwepo wa kuhoji.
Ndio kusema IMF hawana vyombo au mbinu maalum za ku validate takwimu zitolewazo na kila Taifa?Wewe ndiye utakuwa mjinga. Umeshindwa kuelewa jambo rahisi hivi.
Kama JPM alitoa tawimu za uongo,hizi za sasa tunauhakika gani kama ni sahihi?
Kadanganye wendawazimu wenzako😎