Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Kumbuka msajili wa hazina sasa amesema ni moja ya shirika linaloendeshwa kwa faida kwa sasa na linachangia hisa serikalini
Lilianza kujiendesha kwa faida tangu 2018 baada ya Magufuli kuzima mitambo ya symbion
 
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima,January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.

Legacy ya Makamba ni ipi hapo Tanesco?
Aibu naona mimi..
 
Ugali still alive.
Watu wema hawafyekwi..
416351085_b2f9159d44.jpg
 
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima,January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.

Legacy ya Makamba ni ipi hapo Tanesco?
January ndio Rais ajaye jamaa ni mtulivu sana, kuwa mpole.
 
Back
Top Bottom